Ni kawaida nchini kwa kila kiongozi mpya anapoingia madarakani, kuwepo kwa genge la wanufaika wa uongozi uliopita kulinda na kusukuma maslai yao. Mwinyi – kama alivyoandika kwenye kitabu chake – alisumbuliwa sana na ‘watu’ wa Nyerere, ikiwemo Nyerere mwenyewe. Mkapa hakusumbuliwa sana na hili...