Ndilo jani litakalovunja mgongo wa ngamia.
Yule Sabaya ni prince of the nation. Mtu yeyote anayekuwa na cheo Kama kile anaitwa "prince".
CCM imetisha watu imeshinda Uchaguzi na Sabaya alikuwa katika Frontline katika kutisha. Sabaya alisema,"watu wanajikamatisha,wanaenda jela,wakitoka...