hukumu

Kokborok tei Hukumu Mission was formed on 10 August 1993, in Agartala, Tripura, India as a non-political, non-religious organization whose sole mission is to serve to promote to develop and to preserve the Tripuri literature, culture, tradition and its heritage.

View More On Wikipedia.org
  1. John Manoni

    Kwa hukumu ya Sabata naona kivuli cha sababu Za CCM kupora kila chaguzi

    Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
  2. Fundi Madirisha

    Ushauri kwa Mwanajamiiforum Frey Cosseny baada ya hukumu.

    Napenda kumshauri kada huyu wa CCM ambaye alitumia nguvu nyingi sana kumtetea ole Sabaya kwakua walikua ni genge moja, ametishia sana watu na kujiona kua yeye ndio chama na yeye ni kila kitu. Asome alama za nyakati, kuishi kwa kutegemea kuumiza wenzako laana ya Mola haitakuacha salama. Tena ana...
  3. Mindi

    Mamlaka iliyomteua Sabaya na kutomtumbua, inahusika pia na hukumu hii

    Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha. Katika kujitetea, mara nyingi amesema kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka iliyomteua. Kwa maoni yangu, hata bila utetezi wake huo, kitendo cha mamlaka ya uteuzi kunyamazia vitendo vyake vya ujambazi, ni kuhusika...
  4. William Mshumbusi

    Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

    Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania. Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu. 1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg. 2. NI ishara...
  5. Ngengemkenilomolomo

    Je, hukumu ya Sabaya ina mtazamo gani juu ya kesi ya Mbowe?

    Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba imetenda haki? Kwa hukumu hiyo ya Sabaya inaleta taswira gani kwa hukumu ijayo ya Mbowe?
  6. MUSIGAJI

    Lengai Ole Sabaya na Wenzake wawili wahukumiwa miaka 30 Jela kwa kosa la unyang'anyi wa kutumia silaha

    Wanajukwaa poleni kwa kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa Taifa letu,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Bila shaka baada ya Hukumu ya Lengai Ole Sabaya kuhairishwa tarehe 1/10/2021 ilipangwa kwamba itatolewa leo. Hivyo tuelekeze masikio yetu katika viunga vya mahakama. ======= Aliyekuwa...
  7. Erythrocyte

    Hukumu ya Kesi ya Membe dhidi ya Cyprian Musiba yaahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Mahakama Kuu leo inatarajiwa kutoa Hukumu ya Kesi inayomkabili Musiba na Mhariri wa gazeti la Tanzanite , ambao kwa pamoja wanadaiwa kumchafua Benard Membe kwamba alikuwa anamhujumu aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 , John Magufuli . Membe anadai Mahakamani fidia ya Tsh Bil 10 . ===UPDATE===...
  8. S

    Leo ni hukumu ya kina Aveva pale Kisutu, tuwaombee

    Leo tarehe 06 October 2021 ndio siku ya kusomwa hukumu ya kesi inayowakabili aliyekua Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na wenzake. Katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa kula njama, matumizi mabaya ya ofisi, kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pesa za mauzo ya Emmanuel Okwi...
  9. Halim1997

    Kuna hukumu gani endapo mwanafunzi akimpa mwalimu mimba?

    Ikitokea mwalimu mwanamke akabeba mimba ya mwanafunzi kisheria nani mkosa na ipi hukumu yake?
  10. beth

    Afrika Kusini: Jacob Zuma ashindwa kushawishi Mahakama kubadili Hukumu yake

    Mahakama ya Juu zaidi imeamua kwamba aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma ameshindwa katika azma yake ya kutaka kifungo chake cha miezi 15 kibadilishwe. Mwezi Julai, Zuma aliomba Mahakama kutengua Hukumu dhidi yake akisema kifungo cha jela kitahatarisha Afya pamoja na maisha yake, hoja...
  11. S

    Wahisani wanasubiri hukumu ya Mbowe na wao watoe hukumu yao kimyakimya au vinginevyo

    Kitendo cha Wahisani/Wadau wetu wa Maendeleo kuhudhuria kesi ya Mbowe lengo lilikuwa ni kutuma ujumbe kuwa kesi hii tunaofuatili na tunasubiri kuona mwisho wake(hukumu itakuwa ni ipi). Baada ya hukumu kutolewa, ni wazi na wao wataamua nini cha kufanya na kwakuwa hawezi kuhoji maamuzi...
  12. BabaMorgan

    Nini hukumu ya mtu anayeshindwa kurudi kwao kushiriki katika shughuli za kifamilia kama sherehe au misiba?

    Katika hali ya utafutaji imesababisha watu kutoka katika mikoa yao ya asili na kwenda mikoa ya mbali au hata nchi tofauti na walikozaliwa na kama ilivyo kwenye kutafuta wapo waliofanikisha kupata huku wengine wakiwa bado wanatafuta. Kwa mtu ambaye yupo mbali na kwao panapotokea msiba au sherehe...
  13. S

    Jaji au Hakimu anapoandaa hukumu, huwa ni siri yake au hupaswa kushirikisha watu wengine kabla ya kusoma Mahakamani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani. Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi. Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
  14. sajo

    Hukumu ya Gwajima na Silaa: Je, lilikuwa ni tukio la kupangwa?

    Taarifa ya Kamati ya haki, maadili na Madaraka ya bunge iliungwa mkono na Spika wa Bunge kabla ya kuanza kujadiliwa na bunge (baada tu ya Mwenyekiti wa kamati kutoa hoja). Tafsiri ni kuwa ilielekeza wabunge nini kinachotakiwa na Spika. Muelekeo ulikuwa ni kuunga mkono hoja na sio vinginevyo...
  15. B

    Kwa hukumu ya Jerry Silaa, Bunge linategemea kuaminiwa?

    Hii ni kwa kutuona je? 1. Kadhia ya mbunge Jerry Silaa ambapo yeye akiwa Mbunge na bila kushawishiwa na mtu anaona wabunge akiwamo yeye hawalipi kodi stahiki. 2. Wananchi tunajua zipo njia nyingi ambazo watu wasiokuwa na uzalendo huzitumia kukwepa kulipa kodi. 3. Hukumu ya bunge kwa mbunge...
  16. Erythrocyte

    Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO. Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
  17. Miss Zomboko

    Hukumu ya Ole Sabaya kutolewa Oktoba 1, 2021

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, hukumu ya Kesi hiyo sasa ni Oktoba 01, 2021. === Kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha namba...
  18. Kichwa Kichafu

    Simba SC mnalijipa hukumu gani baada ya madudu mliofanya kwenye usajili wa Yusuph Mhilu

    Habari. Hizi habari naona Simba SC wanazichukulia poa sana kwa haya madudu waliyofanya juu ya mchezaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu. Wamemsajili na kumtambulisha kabisa kwa wanachama wao wote kupitia social media kama walivyofanya kwa wachezaji wao wengine. Japo Yusuph Mhilu bado ana mkataba...
  19. Erythrocyte

    Ni akina nani waliohukumiwa kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Mbowe kama alivyosema Rais Samia?

    Namba hazijawahi kudanganya, kwa mujibu hati ya mashitaka ,Mbowe ameshitakiwa pamoja na wenzake watatu, kwa mashitaka kadhaa huku Mbowe akikabiliwa na mashtaka mawili, hawa wote wako rumande na kesi yao inaendelea. Nukuu Rais Samia: Mimi sidhani kama yamechochewa kisiasa kwasababu navyojua...
  20. Miss Zomboko

    Utekelezaji wa hukumu ya vifo umeongezeka Saudi Arabia

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema idadi ya matukio ya utekelezaji wa hukumu ya kifo nchini Saudi Arabia imeongezeka tena baada ya nchi hiyo kukamilisha muda wa urais wa kundi la nchi zilizostawi na zile zinazoinukia kiuchumi duniani za G20 katika...
Back
Top Bottom