humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. Humphrey Polepole andaa Suti

    Mheshimiwa Balozi nikipata nauli nakuja kukupa hi hapo ubalozini, Andaa Suti kabisa tusalimiane ukiwa tumevaa suti , ingae Kama ya Makatibu katibu wakuu fulan hivi Aisee wanajukwaa Karibuni Moscow tupate vodka Britanicca
  2. Pre GE2025 Cyprian Musiba: Polepole, Bashiru warudishwe kupambana na CHADEMA ya Lissu

    Cyprian Musiba amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwarudisha wanachama wake wenye nguvu ambao wanaweza kupambana na ajenda zitakazokuwa zinaibuliwa na wapinzani kutokana na ingizo la uongozi mpya wa CHADEMA ukiongozwa na Tundu Lissu. Soma, Pia: Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu...
  3. Ni Humphrey Polepole Na Tashtwiti Yangu...

    Wandugu Habarini... Nimepata Tashtwiti Ya Kuandika Leo Juu Ya Humphrey Polepole Baada Ya Kutafakari Kwa Kina. Ni Wazi Hakuna Mpenzi Wa Siasa Za Tanzania Asiyemjua Huyu Jamaa. Naweza Sema Kwa Namna Moja Au Nyingine Alikua Nyota Ya Mchezo Sana Katika Kubadilisha Siasa Za Nchi Hii Kipindi Cha...
  4. Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  5. Pre GE2025 Kampeni meneja wa Rais 2025 awe Humphrey Polepole, Luhaga Mpina, prof. Kitila Mkumbwa na Ally Bashiru

    Rais nakusalimia kwa jina la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Pole na heka heka za NYERERE day, huku mwenge, pamoja na kufanyia kazi mafaili mbalilimbali yanakuwepo kila siku juu ya meza Yako. Hakika Mungu akutie nguvu na akuponye na kikohozi pamoja na mafua yaliyokutinga jana pale mwanza, bila...
  6. Humphrey Polepole: Tuwe makini na wahuni, wanaweza kuipiga copy serikali

    Msipokua Makini Kwenye Political econommy ya Nchi yetu hapa unaweza kujikuta kikatengezwa kikundi cha Watu ndio kinakula KODI ya Nchi hii, kikatengenezwa kikundi cha Watu ambacho ndio kina Bagaza watu wote na maelekezo yanatoka kwenye Kikundi. Kule Angola kikundi hicho kinaitwa FUTUNGO. Wahuni...
  7. Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
  8. Anayokutana nayo Makonda ziarani mikoani ni yaleyale ambayo yangetatuliwa kupita shule ya uongozi ya Humphrey Polepole bila matumzi makubwa ya fedha

    Katibu Mwenezi, Itikadi na sisa wa CCM Paul Makonda, yupo barabarani akizungukia maeneo mbalimbali ya nchi ambako amekutana na shida lukuki. Kuna shida zingine ni rahisi sana kutatuliwa bila kutumia nguvu wala migogoro. Shida zingine wananchi hukutana nazo kutoka kwenye idara za serikali...
  9. R

    Humphrey Polepole anafanya kazi ya Ubalozi hasa! Anatafuta fursa kwa nchi. Kwa hili, nampongeza

    Diplomasia ya uchumi anaimudu na hii si mara ya kwanza. Kiwanda cha biological pesticide hicho hapo kinakuja Kibaha. Msikilize hapa kwenye video clip hii
  10. Balozi Polepole jitokeze sasa tukuunge mkono kuwakataa wahuni

    Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025! CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia! Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
  11. Nitaenda Chato kuwashitaki Polepole, Kabudi na Bashiru; nitapitia Butiama kuwashitaki Butiku, Warioba na Prof. Shivji

    Natambua hii vita ni ya kiuchumi na vita ya kiuchumi kupiganwa paspo kushirikisha marehemu walio kwisha tangulia mbele ya haki hatutoshindwa. Wakati wenzangu wanaandamana kwenda ikulu Mimi nipo njiani naelekeA Chato Kwa mzira nkende mwenzangu nampalekea mashitaka, ninao kwenda kuwashitaki ni...
  12. Balozi Humphrey Polepole ateuliwe Waziri wa Habari

    Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza. Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole kwa nafasi wa Waziri wa Habari. Werevu na hekima ya Polepole ni muhimu ktk kipindi hiki ambapo...
  13. Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa? 1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu, 2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu. 3.Ni mzalendo na mwadilifu 4...
  14. Leo Humphrey Polepole ameprove ukubwa wake kwenye diplomasia yetu ya nje

    Katika kipindi cha miaka mitano sijawahi kuona mjadala mkubwa kuhusu uhamisho au uteuzi wa Mabalozi wetu zaidi ya mjadala wa uhamisho wa balozi Humphrey Polepole. Pongezi zimekuwa nyingi sana kwake kuliko wateule/Uhamisho wengine wa nafasi za Ubalozi kwa leo! Mh RAIS Samia Suluhu Hassan...
  15. B

    Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview

    23 January 2023 Amb. Humphrey Polepole MBC exclusive interview Mahojiano ya Balozi Humphrey H. Polepole, Balozi wa Tanzania 🇹🇿 Nchini Malawi 🇲🇼 na Shirika la Utangazaji la Malawi (MBC) leo tarehe 22 Januari 2023. Malawi Broadcasting Corporation (MBC) exclusive interview with Ambassador...
  16. Bila Bashiru na Polepole, Kenani Kihongosi asingekuwa hapo alipo

    Ama kweli mkuki uusafishao kila siku ndiwo wenye kuweza kukujeruhi hapo siku za mbele. Kenani Kihongosi ni jina lililopendekezwa na Polepole kwa Bashiru ili lipelekwe Ikulu kwa Mamlaka za juu ili pamoja na yote aweze kuwa miongoni wa Wakuu wapya wa Wilaya kupitia nafasi za upendeleo kwa UVCCM...
  17. Sifurahishwi na Matusi ya Nape, Kingwangalla na Humphrey Polepole kwa Dkt. Bashiru

    Mimi binafsi kama kijana wa kitanzania, ambaye utawala wa awamu ya Tano nusu unitoe roho Kwa presha pale nilipoenda TRA na kukutana na kikosi kazi kilichoundwa na Mh. Makamu wa Rais wa Sasa enzi hizo akiwa Waziri Wa fedha kwa kweli sifurahishwi na Matusi ya rejareja anayotukana Mh Waziri wa...
  18. Bashiru avuliwe ubunge, apewe ukatibu tawala wa wilaya. Ni wakati sasa watu wajue hii ni Awamu ya Sita

    Ni wazi kwamba watu wenye uroho wa madaraja, wanayataka hata kama eakimeaga damu, ambao walikuwa hawamtaki SSH, na Wana kundi lao dogo sana linaloongozwa na NDULI Bashiru (chasaka wa kisiasa, alikuwa CUF, mpaka leo ana kadi huko)na Mpina. Linazama majini kujificha pumzi ikikata linaibuka juu...
  19. Comrade humphrey PolePole akiiwakilisha nchi

    Hebu msikilize hapa chini.
  20. Malawi: Balozi Humphrey Polepole awasilisha hati za utambulisha kwa Rais Lazarus Chakwera

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…