humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

    Nimeikuta mahali hii Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana. Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
  2. RWANDES

    Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

    Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa ===== WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE, Watu...
  3. kipara kipya

    CCM ni ile ile, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime

    CCM ni ile ile jana juzi na kesho, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime 2025 wakipatana mpate mavuno, tunawaona jinsi watu wanavyodemka kwa kufuata midundo huu ndio utamaduni wa CCM kupata mtikisiko na kuzidi kujititia zaidi ni ngumu kuing'oa. Kama haikuwezekana 2015 CCM walipoamua...
  4. GUSSIE

    Tulishiriki kutunga Sheria za TCRA, Humprey Polepole kwanini Unalia kuitwa na TCRA?

    Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja chamani, Sisi wengine na waomba msamaha wote kama Nape tuliogopa usalama wetu na Matumbo yetu JPM...
  5. THE BIG SHOW

    Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

    Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
  6. Vugu-Vugu

    VIDEO: Kiashiria cha mtu muhuni na asiyefaa kuaminiwa na Jamii yoyote iwayo duniani

    Je! inawezekana Mtu anayetutukania mama zetu wa kutuzaa Yeye akawa sio Muhuni ? #HUYU SASA NDIO MUHUNI WA WAHUNI MSIKILIZE KWA MAKINI,
  7. Yericko Nyerere

    CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

    CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA. Na Yericko Nyerere Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
  8. N

    Nani wapo nyuma ya Polepole? CCM wanamlinda?

    Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali. Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote. NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
  9. Jidu La Mabambasi

    Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

    Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa. He has not been a bright fellow all along. He is not even a Thinker. Opportunist?-YES. Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo...
  10. At Calvary

    Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

    Hi guys. Hope mnado poa. Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2. Hii ni nyepesi nyepesi. At Calvary. ==== Taarifa kwa Vyombo vya Habari. Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine...
  11. mtimawachi

    Humphrey Polepole na USEMI wa 'Mfalme mzee mjinga'

    Habari wanajamvi! Nimemsikiliza kijana mwenzetu ndugu POLEPOLE katika hoja zake nyingi sana na mwisho hapa juzi akihojiwa. IKANIBIDI nirudishe nyuma kumbukumbu hadi kipindi cha mchakato katiba mpya ulioongozwa na mzee wetu WARIOBA. Katika ile tume,POLEPOLE alipewa ''airtime'' sana...
  12. J

    Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

    Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati. Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema. Chanzo: Star tv PIA SOMA Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la...
  13. Nyankurungu2020

    Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

    Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu! NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
  14. CM 1774858

    Shaka Hamdu Shaka atoa mwelekeo mpya wa Chama Cha Mapinduzi sekta binfsi nchini

    Hakika Chama Cha Mapinduzi kina hazina ya viiongozi mahiri na hodari sana ndani na nje ya Tanzania, Toka enzi za Mhe Nape Nauye, Humphrey Polepole na Sasa Shaka Hamdu Shaka hakika wenezi hawa wanakitendea|walikitendea haki Chama cha Mapinduzi na Taifa kwa ujumla wake, HEBU SIKILIZA NA ANGALIA...
  15. M

    Unafiki wa Humphrey Polepole: Aikana rasimu ya Warioba waziwazi

    Wakati ule wa rasimu ya warioba, Polepole alizunguuka almost nchi nzima kuelezea uzuri wa katiba mpya(rasimu ya Warioba) na ubovu wa katiba ya zamani ya mwaka 1977. Wakati ule alisema katiba ya mwaka 1977 moja ya ubaya wake ni mamlaka makubwa ya raisi. Cha ajabu leo anageuka anasema eti...
  16. Vugu-Vugu

    Kwanini Hayati Dkt John Pombe Magufuli aliwafuta uongozi Humphrey Polepole na Dkt Bashiru Ally?

    === Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na Ukatibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Taifa ni Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli. Kwamujibu wa...
  17. M

    Humphrey Polepole alaani namna zoezi la kuondoa wamachinga linavyofanywa

    My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia katika hili, Samia anahusika, kama angekuwa hahusiki viongozi wanaotekeleza hili zoezi wasingekuwa...
  18. U

    Inawezekana Polepole alikuwa sahihi kuwa "Serikali ni mwanasesere"

    Kuna kauli moja alitoa pole pole kuhusu kuwa na parallel state, yaani nchi kuendeshwa na kikundi flani kimejificha nyuma huku serikali tunayoiona kubali kama pambo au MWANASESERE, hii inaweza kuwa kweli kwa upande mmoja kutokana na mifano hii. 1. Kesi ya Mbowe inaonekana kuna nguvu zaidi...
  19. Cannabis

    Humphrey Polepole: Kazi ya shule ya uongozi itawafurahisha wenye mamlaka, ukiona unataka kuruka na mimi kwenye mtandao ujue wewe sio kiongozi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mh. Humphrey Polepole amesema hayo kupitia kipindi cha Shule ya Uongozi ambapo alisema ni kipindi kinachofanya kazi ya kusema ukweli, jambo ambalo linaendana na kauli maarufu ya Chama Cha Mapinduzi inayosema "Nitasema kweli daima...
  20. F

    Humphrey Polepole huijui CCM wewe

    Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa. Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole...
Back
Top Bottom