The Chronicle of Huru (Romanian: Cronica lui Huru) was a forged narrative, first published in 1856–1857; it claimed to be an official chronicle of the medieval Moldavian court and to shed light on Romanian presence in Moldavia from Roman Dacia and up to the 13th century, thus offering an explanation of problematic issues relating to the origin of the Romanians and Romanian history in the Dark Ages. Publicized and endorsed by the Romantic nationalist intellectuals Gheorghe Asachi (who edited the published version) and Ion Heliade Rădulescu, it was argued to have been the work of Paharnic Constantin Sion (or another member of his family) or that of Gheorghe Săulescu, Asachi's friend and lifelong collaborator.
Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kati ya 2022 na 2023.
Mbali na Mahakama ya Wilaya ya Iringa kumuhukumu kifungo cha maisha Oktoba...
Hakuna namna Lissu hataki siasa za maridhiano za Mbowe na kwenda kulia lia kwa wakubwa wa Dunia baada ya kujitoa pale rafu zinapokithili. Lissu anasema ukiteuliwa na Chadema ukajitoa au maafisa uchaguzi ngazi za vijiji na kata wanaoishi nao au polisi wakishiriki kuiba kula itakuwa halali yao...
CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali.
Hoja za Kushiriki
1...
JIWEKEE AKIBA UWE HURU KIUCHUMI
Katika hali ya kawaida watanzania wengi hatuna tabia ya kuweka akiba. Hii imetokana na mazoea ya kawaida ya kuishi kutokana na kipato tunachopata. Tabia hii imejengeka kwa watu wa kipato cha chini hadi wale wenye kipato kikubwa, watu wasio na kipato rasmi hadi...
Bunge lilipitisha sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi na kupitisha kuwa kutakuwa na Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi.
Mbona mpaka leo bado wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ndiyo bado wako ofisini na wanaendelea na majukumu kama kawaida licha ya Sheria ya Tume Huru Kupitishwa na Bunge.
Naomba...
Tanzania huru
Tanzania tuitakayo ni ile itakayo mupa uhuru wa kutoa maoni kuhusu selikali yetu ,
Siasa huru. Siasa huru ni ile inayo mpa mwanachama au mfuasi wa hicho chama kutoa maoni yatakayo isaidkia selikali kujua niwapi wanatakiwa kuongeza kuvu katika utendaji Kaz...
Habari Wanajukwaa wote!
Poleni na hali ya kimaisha ambayo tumekuwa tukiishi nayo kwa muda mrefu ambayo haikuwa na budi kutokea ila imefika wakati inabidi kuachana nayo kwa ustawi wa kila mmoja wetu ili kuendana na uchumi wa kudunia unaoendelea hivi sasa.
Rejea na kichwa cha andiko hili, nchi...
Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana.
Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana.
Kamati...
Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa.
Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
Wapiga kura wapya 224,355 wanatarajiwa kuandikishwa mkoani Kigoma wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika mkoani humo kwa siku saba kuanzia tarehe 01 hadi 07 Julai, 2024.
Uboreshaji huo wa Daftari utatanguliwa na uzinduzi wa zoezi hilo utakaofanyika...
Wanajamii,
Tuendelee kudai uchaguzi huru navhaki kupitia katiba mpya na tume huru ya uchaguzi.
Hii itasaidia kupata viongozi tunaowachagua wenyewe ambao watafuata matakwa yetu.
Ona Afrika kusini uchaguzi unavyoenda, ANC inaenda kupoteza wingi wake bungeni na hivyo itabidi kama kinataka...
Enyi mlioamini! Kuweni watu wenye kusimamisha haki, mashahidi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, hata kama ni juu yenu wenyewe, au wazazi wenu au jamaa zenu karibu. Kama mtu ni tajiri au masikini, Mwenyezi Mungu ni bora kwao wote. Basi msiwafuate matamanio, ili msiwe wakosefu." (Qur'an, Surat An-Nisa...
Israel imekasirika mpaka imeita mabalozi wao kutoka nchi hizo, kwasababu kutambua nchi ya Palestine ni kama kusema Isreal ni mvamizi rasmi na anapaswa kuondoka.
Tena kibaya zaidi Rais wa Norway amesema Nyatanyahu ikija Norway atakamatwa na kupelekwa ICC, hili ni pigo kubwa kwa Israel.
Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wabunge, madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.
Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni kulalamikiwa na ACT wazalendo na hata kususia uchaguzi uliofanyika mwezi huu Zanzibar. Hivyo...
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu.
Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji, uteswaji wa watuhumiwa na ushirika wa Jeshi la Polisi kwenye matukio ya mauaji ya rai vimerudi kwa kasi...
Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu.
Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi.
Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI.
Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je, ni kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.