Mainda Mhando, Mwananchi
[email protected]
Dodoma. Mahakama imemuachia huru mtuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ambaye aliieleza mahakama 'utundu' wake kwenye tendo la ndoa ndio ulisababisha kifo hicho.
Sambo alikuwa akituhumiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa...