Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona.
Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman.
Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...