huruma

Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Usimuonee huruma Mwanamke

    Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi. Hata zamani walipokuwa wanasifa za wanawake hawakuonewa huruma sembuse sasa ambapo wamepoteza sifa ya...
  2. karv

    Mchepuko hauna huruma

    Habari yako wapendwa poleni na changamoto za usafiri kwa wale wanaowahi sensa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naomba moja kwa moja niende kwenye uzi husika bila kupoteza muda. Imekuwa ni tabia ya kawaida kwa baadhi ya wanaume kutafuta nyumba ndogo (mchepuko) kwa ajili ya starehe binafsi...
  3. I

    Nawaonea huruma wabunge wa CCM, wengi hawaturudi 2025 Bungeni

    Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo. Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema tu basi ajihesabu hana kazi na hakuna aliyekuwa tayari kupoteza kazi kisa kumpa ulaji mwingine. Kwa...
  4. FRANCIS DA DON

    Serikali imehamishiwa Dodoma kwa gharama kubwa, kwanini bado mnatutesa kwa misafara isiyoisha huku Dar? Hamna huruma?

    Kweli mnasubirisha watu maelfu kwa maelfu lisaa lizima, tena peak ya Rush hour, halafu gari zenyewe za msafara hata 10 hazifiki. Jamani, kama mna haraka sana wekeni utaratibu wa kupanda bodaboda, kwani nyie ni nani msipandishwe pikipiki?!
  5. Idugunde

    CHADEMA msitake kupata huruma kwa kulihusisha JWTZ na uhalifu wa watuhumiwa walioachishwa kazi huko nyuma. Pambaneni mahakamani ili kupata haki

    Hata kama kusaka huruma ili mwenyekiti wa chama chenu aachiwe sio kwa namna hii sasa. Ni kweli watuhumiwa wenzake na Mbowe walikuwa watumishi na makomando wa JWTZ, lakini kumbukumbu zinaonyesha walishaachishwa kazi. Karibu wote waliachishwa kazi baada ya kupata matatizo ya afya wao wanadai...
  6. BAKIIF Islamic

    First borns (wazaliwa wa kwanza) wanapaswa kuonewa huruma

    Je umeshawahi kukutana na mtu akakueleza kwamba ''Huyu ni mdogo wangu'', lakini huyo mdogo mtu akaonekana ni mbavu nene na mkubwa kimaumbile kuliko mkubwa mtu? na wakati mwingine hata urefu mdogo mtu humzidi mkubwa mtu. Wazaliwa wa kwanza hufubaa sana kutokana na majukumu wanayo beba japo...
  7. polokwane

    Kwanza mwanafunzi asichapwe, pili akipata mimba arudi shuleni, tatu kama ana utovu wa nidhamu pia arudi shuleni. Waoneeni huruma walimu

    Nyie wanasiasa waoneeni huruma hao walimu mnao wakabidhi watoto wa aina hiyo. Wazo la kwanza kuwawekea mfumo wao lilikuwa zuri sana lakini hili la kuwachanganya na wanafunzi wengine katika mfumo rasmi hapana. Nitajieni ni nchi gani Ulaya na Amerika ambayo inatumia mfumo huu unao letwa...
  8. Idugunde

    CHADEMA huruma za kisiasa kupitia mitandao ya kijamii haziwezi kusaidia Mbowe na wenzake kushinda kesi, kesi ni ushahidi

    Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe. Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha. Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
  9. liwaya

    Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  10. A

    Viongozi wa NHIF Chuo Kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu

    Viongozi wa NHIF chuo kikuu cha Dodoma wamekuwa wabishi, wamekosa huruma na utu hivyo kusababisha mateso makubwa kwa baadhi ya wanachuo Kwakiutl was I lists michango ya bima ya afya sehemu husika. Tangu mwaka jana baadhi ya wanachuo hawajapata vitambulisho vyao vya bima ya afya. Kumekua na...
  11. britanicca

    Wadada watanzania wanaodanga Ughaibuni Jiheshimuni pia waonee huruma Kaka zenu wanaowasaidia

    Mwezi wa Kwanza Mwaka huu nilikutana na mdada maeneo wanapojiuza Waafrika Mara nyingi uwa najitambulisha Kama mkenya Kwa sababu wakenya wanajulikana zaidi hata ukisikika unabonga Kiswahili wanajua from Kenya! Nikawa napita eneo fulani nikakutana Na mdada Sintha si jina lake halisi...
  12. sky soldier

    Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
  13. Napoleone

    Dunia hii haina huruma, muhimu ni kwenda kama inavyotaka -- jino kwa jino

    The world is full of evil deeds. Evil pipo, evil plans evil evil evil evil Ili twende sawa sasa inabid tutembee humo humo tu. Jali wanaokujal peke yake, usiemjua achana nae NO1 will save you brother/sister Nobody cares. Mengi yamejifcha katika mapambano haya ya kusaka maisha bora Nitoe...
  14. M

    Anawaonea huruma CHADEMA lakini.....

    Nimesoma mahali andiko la Jasusi Chahali kuhusu Mbowe kuwa mahabusu kwa siku tisini. Katika andiko lake hilo amesikitishwa na kitendo hicho lakini kama nimemsoma vizuri mwishowe amewaangushia jumba bovu Chadema.Amewalaumu Chadema kumkumbatia Kigogo wakati wakijua fika Kigogo alikuwa mwizi...
  15. nyboma

    Watumishi wengi wa serikali mnatia huruma mno, ni katikati ya mwezi ila nimepokea zaidi ya simu 10 mkiomba msaada wa pesa

    Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi. Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali? Niwaase...
  16. M

    Wizara ya mambo ya ndani iwaangalie graduates kwa jicho la huruma

    Mtaani kuna graduates wengi sana wenye elimu ya vyuo vikuu.Kinachouma na kuumiza ni pale hizi ajira za wizara ya mambo ya ndani(polisi,magereza ,uhamiaji na zimamoto) kuwabagua vijana wenye elimu za shahada.Vijana wadogo wenye elimu za kidato cha NNE wanaajiriwa wenye shahada wanaachwa hii...
  17. Idugunde

    CHADEMA wanahitaji huruma ya kisiasa. Mbinyo waliopata unatosha

    Kwa ujumla wamepata fundisho kuwa taifa letu linahitaji amani ndio maana kila mtanzania anataka kila hitaji la kisiasa lipatikane kwa amani. Hakuna haja ya kulumbana na kuvutana juu ya suala lolote ambalo ni hitaji la kisiasa. Hakuna haja ya kuleta jazba na vitisho juu ya hitaji la kisiasa...
  18. Idugunde

    Kwanini CHADEMA wanakosa huruma ya kisiasa toka kwa watanzania? Wanapuuzwa na Watanzania

    Kila jambo mnalolizua wananchi wanalipuuza maana halina ushahidi wa moja kwa moja. Mnadai kila mara Tume sio huru lakini kila chaguzi zikifanyika matokeo ni kama mnaliwa kichwa na wananchi na hakuna sapoti ya wananchi. Sasa hivi mmezirukia mahakama kuwa hazitendi haki kwa sababu tu Mbowe...
  19. MWALLA

    KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Mwenyekiti wa chama taifa Mhe. Freeman Mbowe amewasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo leo Agosti 23, 2021 kesi Na.63/2020 ya Uhujumu Uchumi yenye mashtaka ya Ugaidi ndani yake itaanza kusomwa kwa hati ya mashtaka na ushahidi kwa hatua ya awali. UPDATE: Mashtaka Mwenyekiti wa...
  20. Mtu Asiyejulikana

    Video: Ni Askari hawa mnaotaka tuwaonee huruma?

    Hawa wanaofanya hivi kwa Raia? Inaumiza sana. Watanzania wameshachoka sana na haya mambo. Mimi nawaambia tunakoenda ni kubaya sana.
Back
Top Bottom