Huruma Estate is a residential estate located in the northeast of Nairobi, the capital of Kenya. It borders Kariobangi and Dandora to the east, Moi Air Base to the south, Mathare to the north and Eastleigh to the west.
In April 2016, during Kenya's rainy season, a building collapse in Huruma resulted in the deaths of 52 people. The building's owner, Samuel Karanja Kamau, was charged with manslaughter.
Julius alikuwa na huruma juu ya raia wa chini. Hakutaka wateseke na tozo, kodi, ada za shule na hata kuhangaika kupata chakula.
Julius alipambana kila Mtanzania angalau asipate tabu sana ila mabeberu na vibaraka wa mabeberu walimkwamisha.
Hayati John Pombe alipambana masikini wasihangaike...
Debe la mahindi linacheza kwenye elfu 22.
Kipunga na maharage ndio kipepaa vibaya sana. Leo hii mchele ni sh 3000 na maharage elfu 3000.
Mkuu wa nchi yupo kimya na anachukulia poa tu.
Wananchi wa kawaida hawana uhakika wa kula
Habari wanajamvi,
Nina hali ambayo sijui niiterm kama tatizo au ya kufurahisha.
Ninajikuta navionea huruma sana viumbe hivi visivyokuwa na hatia wanyama, ndege na wadudu wa aina zote (kufugwa na wasiofugwa), ninapokutana navyo vikiwa kwenye hali yoyote itakayohatarisha uhai wao.
Nikupe...
Kwema Wakuu!
Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika.
Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
Marekani yalalamika kuwa Sergei Surovikin, kamanda mpya anayeongoza mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, ndiye aliyesuka na kutembeza jana kipigo kitakatifu kisicho na chembe ya huruma koote Ukraine sambamba na kuipiga kibeiriti Kyiv.
Kipigo ambacho vyombo vya magharibi vinakiri kuwa ni...
Wanateseka kutoroka huku wakiburuza majeruhi wao, jameni aliyewaponza yuko Kremlin anapiga gongo la Vodka ametulia hana habari.
The Russians were seen evacuating around 150 wounded soldiers in Kherson and Luhansk, using the nearest crossings across the Dnipro River.
After suffering a string of...
Raia wanalia kuwa kwa sasa hali ya kiuchumi ni mbaya. Mzunguko wa pesa ni duni na kila raia anapata magumu ya maisha. Rais hajali na hatusikii dokezo za kiuchumi kusaidia wananchi.
Police brutality? Mbona yupo kimya?
Tozo za kila namna ambazo zinamnyonya raia wa chini. Rais yupo kimya bila...
Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda.
Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno.
Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
Habari wandugu.
Niko hapa sijajua kama ni ku shauriaana au kuwa pasha habari?
iko hivi tokea juzi kuna jamaa alikuja kunitembelea mkoa x baada ya kukaa nae tokea jana akawa kama hayuko kwenye hali ya kawaida ikabidi nimuulize ila aligoma ikabidi jioni tutokea kwenda out kidogo baada ya ya bia...
Dunia nzima kiongozi wa namna hii huwa hana huruma.
Hawezi kujali kama wananchi wanahangaika juu ya ugumu wa maisha na ajira.
Atahakikisha wanakamuliwa kodi za kila namna bila ya huruma.
Wananchi huwa wananug'unika kama ilivyo kwa sasa Tanzania yetu. Ni manug'uniko kwa kwenda mbele.
Creative Monster
Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni swala zuri sana na la kuenzi.
Septemba mosi ndani ya daladala iliyokuwa ikitokea Mbagala kuelekea...
Kuna video inasambaa ikionyesha Putin anavyopata mrejesho wa vita kutoka kwa jenerali, huku amekumbatia meza kwa huzuni, huyu mwana kaanzisha shughuli ambayo inamtesa sana kwa kweli.....
Habari!
Nilileta Uzi hapa kuonesha matumizi mabaya ya serikali, au niite matumizi yasiyo na msingi.
Semina ya sensa wiki tatu ilikuwa haina ulazima. Siku 3 tu zingetosha. Sasa ngoja nitoe mfano mmoja tu ili mjue kuwa serikali hii haina huruma na mwananchi.
Mwaka huu serikali ilikuwa na zoezi...
Sikuwa shabiki wa yule mzee, kachangia pakubwa sana kuua demokrasia, keleta hali ya unafiki kwenye mahakama, bunge ndo kabisa aliligeuza kituko hadi kuna wabunge waliapishwa gereji wakitokea jela usiku uliopita.
Lakini one thing unaweza kumsifu ni connection yake na street na maisha ya mtu wa...
Katika maisha kuna hali tofauti tofauti. Hali zingine ni kutokamilika kwetu, au kujisahau kwetu.
Kwa tulipofikia sasa si kila mtu anastahili kuonewa huruma na kusaidiwa na jamii. Wakati mwingine ni mavuno ya alichopanda. Hebu fikiria hii;
1. UHALIFU
Ulikuwa mwizi, umewaibia watu sana...
Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo
Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah.
Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi.
Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
Katiba ni sheria au kanuni zinazoainisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shughuli zao.
Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huainisha haki za msingi za wananchi...
Licha ya baadhi ya Mataifa ya Afrika kukumbwa na changamoto ya Mafuta ya Nishati hususani Petroli, Diesel na Mafuta ya taa, hali imegeuka kuwa tete katikati ya Jiji la London kama inavyoonekana katika Video hii.
a
Wandugu,
Leo nilipita kwenye Viwanja vya Mahakama ya hapa Moshi kwa ajili ya kufuatilia suala langu fulani.Bahati nikiwa pale karandinga kutoka Magereza likiwa na watuhumiwa mbalimbali akiwemo Jenerali Sabaya likawa limefika na nikamuona Live Sabaya.
Ni kwamba ana Bandeji kichwani (nadhani...
Hizi huruma za taifa la Urusi kwa majirani zake na maadui zimevuka kiwango.Inashangaza adui zako wamepania kukuzingira na kukupiga lakini wewe unafanya mazungumzo nao,unawapelekea gesi ya kuplikia na kwa matumizi ya viwanda. Zaidi ya hapo halafu adui yako analia njaa na wewe unampelekea chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.