Ninao watu wa hivi wengi sana, Blacklist siwaweki ila simu zao watapiga sana na sizipokei, labda atumie namba ngeni..
Huyu yeye anaomba hela mpaka anakera. Kuna kipindi alinichapa hadi 450,000 ila baada ya mwezi akarudisha😅😅😅
Kina mama mnakopa sana halafu marejesho yanawashinda!!