Viongozi wetu wa dini, kemeeni wananchi wanapoonewa na serikali inapofanya vibaya. Hususan huu kamata-kamata unaoendelea sio wa kisheria. Ni wa kinyanyasaji na ni mbaya sana kwenye taifa.
Kwa sababu mnapokemea unyanyasaji, hata pale mnapokuja kuleta wito wa amani watu bata waelewa. Ninyi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.