ibada

Ibadah (Arabic: عبادة‎, ‘ibādah, also spelled ibada) is an Arabic word meaning service or servitude. In Islam, ibadah is usually translated as "worship", and ibadat—the plural form of ibadah—refers to Islamic jurisprudence (fiqh) of Muslim religious rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Nifanye ibada kwa njia ipi ili Mungu wangu ajibu maombi yangu kwa haraka?

    Mwenzenu nina shida ya haraka, ambayo nikiweza kutatua ndani ya siku 3, maisha yangu yatakuwa yamefunguliwa upya. Kila nikiwaza binadamu gani wa kunisaidia simuoni. Tumaini ninaloliona ni kupata msaada toka kwa Mwenyezi Mungu. Wana bodi, nifanye ibada gani Ili Mungu anisaidie kwa uharaka?
  2. Padre afariki akiendesha Ibada ya Mazishi Mtwara

    Mchungaji wa Kanisa Katoliki kijiji cha Liputu, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Laurence Milanzi amefariki Dunia maeneo ya makaburini alipokuwa akishiriki mazishi ya mwanakijiji mwenzao aitwae Daudi Veno Mashuhuda wa tukio hilo wanasema mchingaji huyo alianguka ghafla wakati...
  3. Wafuasi wa Askofu Mwaikali wasusa ibada Mbeya

    Mbeya. Baadhi ya waamini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde usharika wa Ruanda, wanaomuunga mkono Askofu Edward Mwaikali aliyeondolewa katika kanisa hilo, wamesusia ibada kwa kile kinachoendelea juu ya mgogoro katika kanisa hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya...
  4. M

    Sekretariet ya ajira katika utumishi wa umma kuendesha usaili siku ya ibada Jumapili

    Huku ni KUPITILIZA na tunasema HAIKUBALIKI KABISA. Haiingii akilini watu na akili zao kuamua kutokuheshimu kwa makusudi imani ya watu ambao wanapaswa kuwa kwenye ibada KANISANI na kuipanga siku hiyo kuwa ni siku ya kuwasaili waombaji wa ajira. Ina maana wanaoendesha usaili huu kama ni wakristo...
  5. Utandawazi kwa viongozi wa nyumba za ibada, mchungaji wangu amenifikirisha sana

    Wadau habar za asubuhi, niwatie moyo katika shughuli zenu za ujenzi wa taifa na wale mlioko kwenye harakati za kutafuta mkate wenu wa kila siku, one day yes mtatoboa tuu, endeleeni kupambana bila kukata tamaa..Kwa waajiriwa pia, usiache kumtumikia kafiri ili upate ujira wako. Habari hii ni...
  6. U

    Sahihi kwa Muislamu kuingia na Kufanya ibada ndani ya masinagogi yanayotumiwa na Wayahudi?

    Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
  7. Kwanini hutakiwi kucheza ndani ya majengo ya ibada?

    Habari wapendwa katika Kristo!!!! Suala la kucheza katika majengo ya ibada limekuwa ni changamoto katika madhehebu mengi ya Kikristo, na kwa kadri siku zinavyozidi kusonga mbele hali ya kucheza inazidi kuvuka mipaka na kufanana na Ulimwengu, yaani imefikia wakati sasa imekuwa ni vigumu...
  8. Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Habari Wakuu! Mwakinyoni mpiganaji mzuri lakini moja ya udhaifu wake ni majivuno ambayo hayana manaa yoyote kwenye kazi yake. Kwenye masumbwi yapo majivuno yenye maana katika ubondia lakini Kwa mwakinyo majivuno yake nayaona Kama hayana maana kwani hayamsaidii lolote. Siku za nyuma Mwakinyo...
  9. Ibada ya kusali huku mkizunguka kitu(Circumambulation) ni upagani?

    Hii ishu ya kusali mkizunguka kitu ipo karibu katika dini zote kubwa duniani. Wakristo hufanya hivi. Wakatoliki husali kwa kuzunguka sanamu ya Bikira Maria, Yesu, au mtakatifu mwingine. Huzunguka mara tatu kama ishara ya utatu mtakatifu. Wabuddha na wahindu na nao husali namna hii ya...
  10. Kuna waamini wanapata raha sana ktk hizi nyumba za ibada wanapoenda abudu.

    Hivi unaweza kosa ibadani kweli. mungu ka huyu anapoongoza ibada..😂😅😆🤣🤣
  11. F

    Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

    Habari wadau wa JF. Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula. Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda...
  12. S

    Ushauri: Mbowe, Jumapili ya kwanza baada ya kutoka Mahabusu/Jela, itumie kushiriki Ibada katika kanisa la Mzee wa Upako

    Pamoja na mapungufu yake yote, Mzee wa Upako ni mmoja wa viongozi wachache wa dini waliojitokeza hadharani kukemea kitendo cha wewe kuwekwa ndani bila kujali gharama anayoweza kulipa kwa uamuzi wake huo. Hivyo, Mheshimiwa Mbowe, katika kuonyesha shukrani zako kwa vitendo, nakushauri Jumapili...
  13. Makanisa mengi hayana mvuto katika ibada

    MAMBO YANAYOFANYA VIJANA WA KARNE YA 21 WASIENDE KANISANI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Anayeandika hapa ni kijana msomi mbobevu wa Biblia, na vitabu mbalimbali. Mbali na hivyo ni msomi wa ngazi ya shahada. Hivyo anaandika akiwa na Uelewa wa kiwango cha juu wa kile akisemacho. Vijana hawaendi...
  14. A

    Hivi kuna kipengele chochote cha Katiba au Sheria kinatoa tafsiri ya neno 'Dini' na 'Ibada'?

    Kwa utafiti niliofanya kuhusu Taifa kutokuwa na Dini au Taifa kutofata dini yeyote, maneno haya yanapatikana katika katiba iliopo ile ya kiswahili pekee. Bali sijaona maneno hayo ktk katiba ya kiingereza. Nilitatajia nikute katiba ya kiingereza ikitamka maneno haya; Our state has no official...
  15. Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

    Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge. Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema. Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni
  16. J

    IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

    IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
  17. Viongozi wa CHADEMA washiriki ibada ya kumuaga Johara Mtei, Salamu za rambirambi zaendelea kumiminika

    Viongozi wa Chadema wakiongozwa na Katibu Mkuu wake Mh John Mnyika , wameshiriki ibada ya kumuaga Mke wa Muasisi wa chama hicho Mzee Edwin Mtei , ibada ambayo imefanyika katika kanisa la Azania Front , Mkoani Dar es Salaam Mungu ibariki Chadema
  18. Kamati ya Amani ipo wapi wakati huu Polisi wakivamia makanisa na kuvuruga ibada?

    Nauliza viongozi wote wa dini pamoja na ile inayojiita kamati ya amani iliyojitokeza kupiga marufuku matumizi ya neno mwendazake wako wapi muda huu ambapo polisi wameanza kuvamia makanisa na kukamata watu kwa kisingizio kuwa wamevaa nguo za CHADEMA. Toka lini ikawa ni utaratibu kwa polisi...
  19. Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

    Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu...
  20. J

    #COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

    Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona. Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…