idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Tiktok yashtushwa na kushangazwa na idadi ya wasukuma katika mtandao wao. Waongoza kwa kutengeneza content

    Hakika si kilimo tu, sasa wameingia katika dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano kwa kasi kubwa.
  2. Setfree

    Anayejua idadi kamili ya nywele zake aniambie nimpe zawadi !!

    Ni ajabu sana mpaka leo, wanasayansi hawajaweza kujua idadi kamili ya nywele za mtu. Wana-estimate tu. Scientists and researchers estimate the average number of hairs based on hair type and color. On average: Blondes: ~150,000 hairs Brunettes: ~110,000 hairs Black hair: ~100,000 hairs Redheads...
  3. Waufukweni

    Nicole kufikishwa Mahakamani kwa Utapeli wa Mitandaoni

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia. Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
  4. Kidagaa kimemwozea

    Itakuwaje kama idadi ya wanawake itazidi kupungua?

    Mitandao mbalimbali pamoja na takwimu za dunia zinaoneshwa kwa zaidi ya miaka 23 sasa idadi ya wanawake imekuwa ndogo kidogo kulingamisha na idadi ya sisi wanaume. Kwa sisi washika dini baada hali itakuwaje maana kwa sasa ni Men 101 : 100 female ? huku tanzania ikiwa men 49% female 51 . nini...
  5. N'yadikwa

    Kwanini ukienda hospitali idadi kubwa ya wanaotibiwa ni wanawake?

    Nipo Muhimbili hapa...idadi kubwa ya wagonjwa na wapendwa wao ni wamama ... ni kwamba men hawaumwi!? No wonder men ndo sababu tunakufa fasta hatuna muda wa kupokea tiba
  6. R

    Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka tofauti na ndugu wa damu, Mnapoamua kupata mtoto moja wakati uwezo upo ni kumtesa mtoto, idadi nzuri ni 3+

    Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine. Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani. Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
  7. L

    Rais Samia: Taasisi Zenye Idadi Kubwa ya Wanawake Zinafanya Vizuri sana na Kufanikiwa.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Amesema ya Kuwa...
  8. crabat

    Idadi ya Daladala na upcountry buses

    Mamlaka ya usafiri nchini haijui idadi kamili ya dalada kila mkoa nchini. Pia haifahamu idadi ya mabasi ya yaendayo mikoani. Taasisi hii muhimu inapata fedha nyingi sana kutokana na fees na leseni lakini inashindwa kutoa takwimu hizi muhimu. Pia yapo mabasi yanatembea bila ya usajili wa Latra...
  9. Ojuolegbha

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) yakamata Kilogramu 2,327,983.66 za Dawa za Kulevya 2024, idadi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuanza kwa mapambano haya nchini. Dawa zilizokamatwa zilijumuisha bangi aina ya skanka na hashishi, methamphetamine, heroin, na dawa tiba...
  10. Ojuolegbha

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli

    Shehena za mizigo zaongezeka bandarini kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2020 hadi kufikia tani milioni 28.75 Desemba 2024. Vile vile idadi ya meli zilizohudumiwa katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara imeongezeka kutoka meli 1,547 mwaka 2020 hadi meli 4,487 mwaka 2024. Pakua Samia App...
  11. Poppy Hatonn

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  12. Waufukweni

    Rais Samia atishwa na kasi ya ongezeko la Idadi ya Watu, lisilioendana na kasi ya ukuaji wa Uchumi wetu

    Rais Samia, ameonya juu ya ongezeko la idadi ya watu lisiloendana na kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza leo, Februari 1, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014, toleo la 2023, uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Mrisho Kikwete, jijini Dodoma, Rais...
  13. L

    Idadi ya safari wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaashiria uhai na ufunguaji mlango

    Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii, kupanuliwa kwa sera za kutohitaji visa, na kuongezwa rasmi kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China...
  14. Lethergo

    Kumekua na ongezeko kubwa la Wanawake wenye msongo wa mawazo

    Wakuu! Naomba nielezee na hii walau kwa uchache. Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
  15. Yoda

    Tatizo kubwa la usafiri Dar inawezekana ni idadi kubwa ya watu na jiografia ya mji ilivyokaa

    Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi, halafu jioni tena karibia watu wote hao wanageuza kurudi makwao kwa pamoja kama kumbi kumbi. Kwa...
  16. DR HAYA LAND

    Jamii za watu weusi zina idadi kubwa ya Watu wenye Crab Mentality (Kaa kwenye ndoo)

    Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo. Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo. Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi...
  17. Mr Why

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  18. Mr Why

    Mdahalo wa ndoa, Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha, hoja zangu ni za upande wa hasara, weka zako

    Idadi kubwa ya Waafrika wanaamini kuoa au kuolewa ni kufanikiwa maisha ndiyo maana neno ndoa limekuwa likipigiwa kelele kila kona huku maswali ya kuoa au kuolewa yakizidi kusumbua akili za watu wanaoulizwa au kuwakera ikitegemea na namna mtu anavyochukuliwa Ukweli ni kuwa Kuoa au Kuolewa sio...
  19. Kyambamasimbi

    Je wanafunzi wataanza muhula ujao na walimu idadi ileile Huku idadi ya wanafunzi ikiwa imeongezeka?

    Binafsi najiuliza ufanisi utatoka wapi ikiwa idadi ya walimu ni ileile halafu wanafunzi wameongezeka kwa shule zote za msingi na sekondaril,mfano Kuna shule jirani watoto walidahiliwa kuanzia form one ni 500 je idadi ya walimu waliopo inatosha? Jibu ni hapana nn kifanyike au serikali haijui takwimu?
  20. milele amina

    Wagonjwa wa Kipindupindu wafikia 22 Mbeya, na Serikali imepiga kimya!

    Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na kipindupindu. Ugonjwa huu, unaosababishwa na bakteria wa Vibrio cholerae, unenea kwa urahisi kupitia...
Back
Top Bottom