idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  2. E

    Kuongeza idadi ya wateja wa magimbi na viazi

    Wakuu, tupeane maujuzi ya kuongeza idadi ya wateja wa hizi bidhaa. Kuna siku namliza gunia la 25kg(magimbi) na siku nyingine znatoka fungu mbili tu daaah Hii ni kwangu tu au na nyie inawakumba/ga Biashara inatia stress!
  3. F

    Usiogope idadi series/movie yoyote

    Wewe ni mpenzi kufuatilia series/movie usiogope idadi nicheki whatsapp nitajie series unazohitaji usiogope idadi ziwe series 20 na zaidi ntakuletea kwa gharama ya 5000 tu ( Dar es salaam ). Whatsapp: 0685068828
  4. Ojuolegbha

    Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.

    Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.
  5. SAYVILLE

    Kwa idadi ya wana-Simba waliopo Yanga, msishangae siku Yanga ikapigwa goli 12

    Yanga washukuru sana kuwa Simba ni wastaarabu. Ukiangalia idadi na nafasi nyeti walizopo watu wa Simba ndani ya Yanga, kuanzia mwekezaji/mdhamini, baadhi ya wachezaji waliokuwa na mizizi ndani ya Simba hadi wasemaji, usishangae siku moja tukaamua tuipe Yanga aibu ya karne na hakuna wa...
  6. Lady Whistledown

    WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  7. Kessy jr

    Tanzania ya tano kwa idadi ya watu wengi Afrika. Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika

    Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060 • Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
  8. R

    Ndugu Mwigulu, VAT ikishushwa Kwa 2%, Serikali haitapata HASARA ya bil 600 Bali itaongeza idadi ya walipa kodi!!!

    Salaam, Shalom!! Sina ugomvi binafsi na Ndugu Mwigulu, ugomvi wangu ni juu ya Elimu ya Uchumi na maamuzi ya mtu huyu mwenye kibri ajiitaye msomi kuliko wasomi wengine. HIZI HAPA FAIDA ZA KUPUNGUZA KODI HASA KWA WATU WA KIPATO CHA KATI NA WA KIPATO CHA CHINI. 1. BIASHARA ZILIZOKUFA ZITAFUFUKA...
  9. Technophilic Pool

    Kwanini pgymies (mbilikimo) idadi yao inapungua na wakati hawatumii uzazi wa mpango?

    Wakuu hawa jamii ya watu inakaribia kupotea Africa? Sasa je nini kinasababisha na wakati wao hawatumii uzazi wa mpango, wala hawachangamani na watu kifupi hawakubali maisha tunayoishi sisi jamii nyingine. Ukienda Rwanda wanaitwa Twa, Wengine wapo cameroon Drc, zambia nk Au hanahujumiwa
  10. Mhaya

    Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  11. NALIA NGWENA

    Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC

    Sasa ni rasmi msimu ujao Klabu ya Simba itacheza Michuano ya Shirikisho barani Afrika baada ya kuzidiwa idadi ya mabao ya kufunga na Azam FC licha ya wote kuwa na pointi 69 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara iliyotamatika leo. Licha ya Simba kushinda mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania lakini...
  12. Deogratias Mutungi

    SoC04 Ujenzi wa vituo vya dharura bararani ili kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali itasaidia kupunguza idadi ya vifo hapa nchini

    Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
  13. Erythrocyte

    Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  14. K

    Uwakilishi wa ubunge utokane na idadi ya watu

    Naunga mkono uwakilishi ni lazima ulingane na idadi ya watu. Wanzanzibari mfano haijulikani kwanini wawakilishi wao ni wengi sana wakati wapiga kura ni 500k tu. Lakini kuna majimbo mengi yenye watu wengi sana. Utaratibu wa wabunge inabidi ubadilike. Hili halina Chama ni usawa na haki kwa raia...
  15. Huyaa Dr

    Maadhimisho ya miaka 60 ya muungano na idadi ndogo ya mahudhurio uwanjani, nini tatizo?

    Wakuu natizama maadhimisho ya muungano, idadi ya watu mpaka Sasa ni ndogo mno kulingana tukio lenyewe. Je, ni uwepo wa mvua ama ni watanganyika kutokuona umuhimu wa tukio lenyewe na kukatishwa tamaa na jinsi mambo yanavyoendeshwa nchini? Maoni yenu wakuu.
  16. Stephano Mgendanyi

    Idadi ya Wanawake Wanaomiliki Ardhi Nchini Imeongezeka Kutoka Asilimia 25 Hadi Asilimia 41

    "Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa "Serikali inatekelezeka mradi wa kuboresha usalama wa milki ya Ardhi kupitia mradi wa LTIP kwa mkopo wa fedha kutoka Benki...
  17. H

    Kwa hii idadi ya noti za tsh 10,000 ziazotoka kila dakika kwenye ATM kuna ulinganifu kweli na noti nyingine mtaani?

    Salam humu. Hizi noti zinasumbua Sana mtaani kwenye mzunguko wa pesa hasa kwenye biashara.Nahisi zimekuwa nyingi idadi tofauti na noti nyingine. Sasa hivi ukienda kwenye ATM hawatoi kabisa noti za elfu tano.Yaani wanakwambia kabisa tunatoa mafungu ya kumi kumi tu.Na hata ukienda ndani ya benki...
  18. Kasiano Muyenzi

    Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

    Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake. Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake. Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume...
  19. B

    Mbunge Kishoa aitaja tena Mkalama Bungeni, ahoji idadi ya watumishi kada ya Afya, Serikali kuipa kipaumbele mwaka huu

    Mbunge wa Viti Maalum kutoka Mkoa wa Singida Mhe. Jesca Kishoa leo alhamis Aprili 18, 2024 kwenye Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni amehoji Serikali kupitia Wizara ya TAMISEMI ,Serikali ina mkakati gani wa kuongeza watumishi kada ya afya kwakuwa idadi iliyopo ni watumishi 287 tu ambapo idadi...
  20. G

    Wafanyabiashara ni wengi kuliko waajiriwa lakini watanzania wanaoishi angalau maisha standard waajiriwa ni wengi, Tuendelee kuponda ajira?

    Ni ukweli usiopingika kwamba wafanyabiashara wana pesa nyingi, hata ukiangalia top 20 ya matajiri hapa Tz utawakuta wafanyabiashara wamejaa wao hasa wahindi , wasarabu na wasomali, hata baada ya hapo kuna watanzania wenye asili zetu wanaofanya biasbara. Lakini katika kigezo cha idadi ya...
Back
Top Bottom