idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    #COVID19 India: Idadi ndogo zaidi ya maambukizi tangu Machi yaripotiwa

    Visa vipya 28,204 vya COVID19 vimerekodiwa ndani ya saa 24 zilizopita, idadi ambayo kwa mujibu wa takwimu za Serikali ni ndogo zaidi kurekodiwa katika Taifa hilo tangu Machi 16. Kwa ujumla, maambukizi yapatayo Milioni 32 yamerekodiwa India hadi sasa. Wizara ya Afya imesema vifo 373 vimeongezeka...
  2. MK254

    Michuano ya Olimpiki inafika kikomo huku Kenya ikiongoza Afrika kwa idadi ya medali

    Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili. ======== Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge challenges, most significantly rising coronavirus cases and growing opposition to the staging of the...
  3. Kijogoodi

    Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

    Kwa wiki moja sasa Chadema walikuwa wakihamasishana kuhudhuria kwa wingi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wao Mbowe. Kuanzia katibu mkuu wa chama John Mnyika alitokwa povu sana akiwaambia polisi liwalo na liwe maelfu ya wananchi watafurika mahakamani Kisutu siku ya tarehe 5, akaja...
  4. Kinuju

    Mahakama yaita mashahidi katika kesi ya Ole Sabaya

    Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai. === Hakimu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, alitoa agizo hilo jana mahakamani huko baada ya kushindikana...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Ushauri: Idadi ya Wabunge ipungue ili kupunguza gharama za mishahara na kuwahudumia

    Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge. Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni. Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo haiongozwi na wingi wa watu. Tukipunguza idadi ya wabunge bungeni tutaokoa fedha nyingi sana ambazo...
  6. Analogia Malenga

    #COVID19 Hatujazidiwa na idadi ya wagonjwa - uongozi wa Dodoma

    Wakati wakazi wa Dodoma nchini Tanzania wakitakiwa kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19, uongozi wa mkoa huo umesema hospitali zake hazijazidiwa na idadi ya wagonjwa. Aidha, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imeanza kufua hewa ya oksijeni ambapo kwa siku wana uwezo wa kuzalisha...
  7. wajingawatu

    Idadi ya ya mabati na mbao

    Ninaomba wenye utaalamu wa kukadiria vifaa/gharama za ujenzi anisaidie kupata idadi ya bati kwa hali yenye ukubwa wa 15.3 x 13.5. Paa nne
  8. N'yadikwa

    #COVID19 Idadi ya Watu baada ya COVID-19 itapungua?

    Ukifuatilia mwenendo wa ukuaji wa idadi ya watu duniani kwenye tovuti ya Worldometer World Population Clock: 7.9 Billion People (2021) - Worldometer utagundua kwamba idadi ya watu katika karne za nyuma kuanzia Karne ya 19 ilisalia bila kuongezeka hadi karne ya Ishirini Idadi ya Watu ilipoanza...
  9. peno hasegawa

    Waziri Ummy Mwalimu kupunguza idadi ya idara ndani ya Halmashauri nchini ili kupunguza matumizi na kuongeza ufanisi

    Mh. Waziri Ummy Mwalimu. Pamoja na jitihada zako za kupambana na tamisemi, ni vema sasa ukapunguza idadi ya idara zilizopo ndani ya Halmashauri na kuongeza vitengo zaidi ilu kupunguza matumizi na kuongeza utendaji. Mfano, kuunganisha idara ya elimu msingi na elimu secondary kuwa idàra moja ya...
Back
Top Bottom