Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu.
Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
Kuna idadi kubwa sana ya Waafrika nchini China, Waghana na Wanajeria wana mpaka food joints zinazopika vyakula vyao, hii yote ni kuhudumia idadi kubwa ya watu wao waliokwenda kutafuta maisha huko.
Canada wanatoa offer za scholarships kwa undergraduates kusoma degree katika vyuo. Lengo kuu ni...
Kujiuzulu kwa Ndugai kumeambatana na hisia tofauti za wananchi. Lipo kundi la wananchi libalooamini kuwa kilichomfanya Samia akasirike, kuwa mbogo na kukunjua makucha dhidi ya Ndugai kinyume cha haiba yake ya upole ambayo wananchi wameizoea ni. kutokana na Ndugai kuonyesha mshangao bungeni wa...
Hili suala linazid kukua kila siku movies mbaya zinaongezeka kwa kasi kubwa sana, Movie nyingi siku hizi zina agenda za ajabu hadi unashangaa hivi waliwaza nini kutengeneza huu upuuzi, hapo chini nimekuwekea list ya baadhi ya movies ambazo nimeziona ziko hovyo mwaka huu 2021.. unaweza kuongezea...
Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure.
Wanaume hawa wamekua washauri wetu wazuri wa nywele za kutumia kwa style mbali mbali.
Tunashukuru mchango wa makaka hawa katika mzunguko...
Shirika la afya duniani WHO, limesema idadi ya wavutaji sigara duniani imepungua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. WHO imezitaka nchi kuongeza hatua zaidi za udhibiti wa kukomesha uraibu wa Tumbaku.
Katika ripoti iliyotolewa leo, WHO inasema kwa mwaka 2020 watu bilioni 1.30 walikuwa...
"Pls ninaomba huu uzi wangu usifutwe au kuunganisha, manake siku hizi JF hamnipendi nyuzi zangu nyingi mnazifreeze! WHY?"
Mwaka huu Benki zimeambiwa zipunguze riba kwa kuwaneemesha wakulima (Rais Mama Samia alienena haya akijisahaulisha kabisa kuhusu watumishi wa umma ambao ndiyo wakopaji...
Naona hawa wafanya takwimu kujua idadi ya wanaume na wanawake kuna vitu wanakosea kukusanya haya maelezo.
Idadi tunayo ambiwa ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume kama wanavosema. ila kila mwanamke unaye mtongoza lazama ana mahusiano au alikuwa na mtu!.
Nauliza idadi ya wanawake ni wengi kuliko...
Mazoea ni kwamba, Ndoa za siku hizi zinavunjika mara tu baada ya kufungwa maana wanawake hawasemi idadi ya wanaume walio-fanyana nao ili mume mpya ajue reli anayopitia.
Ni muhimu mwanamke kumwambia mwanaume idadi ya wanaume alio tembea nao ili mume mpya aongeze juhudi kitandani, maana kila...
Itifaki imezingatiwa!
Moja kwa moja kwenye maada. Nimekutana na nyuzi nyingi humu jamii forum zikionyesha juhudi za Mama yaani raisi SSH juu ya uagizaji wa kujengwa kwa madarasa manne manne kila shule. Hizi ni juhudi za makusudi kabisa anazozifanya rais wetu mpendwa ili kutatua changamoto ya...
Wakati Dunia ikiadhimisha Siku ya Afya ya Akili kesho Jumapili Oktoba 10,2021, imeelezwa kuwa Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili.
Hata hivyo, sababu mbalimbali zimetajwa kusababisha matatizo ya afya ya akili huku Jiji la Dar es Salaam...
Hawa jamaa siyo tu wataambiwa wabadili rangi simba awe wa njano ila watapigwa mkwara waweke hata swala wataulizwa ushawahi kuona simba na mambo ya cement wataambiwa kama vipi iteni hata Dar es salaam cement
Fatuma
Katika wanawake Kumi nchini Tanzania wanane Kati yao wanaitwa Fatuma.
The name is also pronounced as Fatma when used by Muslim girls and Fateema/Fatima when used by the Catholic girls.
Baadhi ya wakazi wamekwama katika maeneo ya chini ya nyumba zao yaliyofurika maji pamoja na ndani ya magari yao
Rais wa Marekani Joe Biden anasema "uwekezaji wa kihistoria " unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo ya kaskazini-magharibi mwa nchi yakikabiliwa na mafuriko...
Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali itaendelea na Kasi hii itachukua miezi 3 na kadhaa kuzimaliza hizi chanjo.
Hoja yangu kwa serikali, Kama...
HII NCHI NGUMU SANA|WATU WANAPINGA TOZO ZA HIARI WANATAMANI ENZI ZA TRA NA MITUTU YA BUNDUKI,
_________________________________
Kazi iendelee|Tozo ziendelee
Sikilizeni, Mfano, kutoka Wizara ya Maliasili & Utalii FY2021/22 tulitegemea kukusanya jumla ya Tshs 2.7trl kama mapato...
Leo Nyumba duni zenye umeme ukinunua umeme lazima utakatwa kodi ya jengo, hii ni kwa sababu hakuna mfumo wowote TANESCO unaoonyesha nyumba duni na nyumba bora. Mfumo wao unatambua namba ya mita tu baasi.
Je, ule usambazaji wa umeme wa REA vijijini ulilenga kuongeza kodi zaidi ?
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesco, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku
Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia
Na pia ninahakika, Sheria...
Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu.
Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya Wachezaji wa Kigeni kufikia 12
Sasa yametimia! Mabadiliko hayo ya kikanuni yamefanyika ndani ya...
Kuna tetesi za chini ya kapeni zinazo sema bodi ya wakurugenzi ilipokaa kikao chake wiki kadhaa zilizo pita imeafikiana kumuomba ndugu Walace Karia aongeze idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kucheza Ligi KUU Tanzania.
Pendekezo ni kuongeza nafasi ziwe 12 kutoka 10 za sasa.
Changamoto hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.