Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
Vijana someni msisikilize propaganda bado idadi ya wasomi wa Elimu ya Juu tupo wachache sana.
Just imagine nimeangalia watu tulio na degree tupo 2M+ Kati ya Watz mil 60+
Kiukweli kitu kinaitwa degree msikichukulie poa kina hadhi yake.
Ni hayo tu wasomi bado tupo wachache so hoja za kuwaponda...
Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7.
Bado haijajulikana shida hasa ni nini ila kwa mujibu wa wasimbe hao baadhi wanadai walikosa uaminifu huku wengine wakidai tamaa ya...
Zaidi ya wakimbizi, wahamiaji na waomba hifadhi 3,000 wamekufa au hawajulikani walipo kwa mwaka 2021 wakati wakijaribu kufika Ulaya kupitia Bahari ya Mediterranean na Bahari ya Atlantic.
Hayo yamebainishwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) katika ripoti yake...
The population of Kenya’s dollar millionaires in the study is significantly higher than estimates in other reports, indicating the difficulty of tracking the wealthy in Africa.
The latest Knight Frank Wealth Report put the number of Kenya dollar millionaires at 3,323.
South Africa has the...
Rasmi Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumanne ya Machi 25, 2022 waliidhinisha na kuikaribisha rasmi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwenye uanachama mpya wa jumuiya hiyo inayokuwa na wanachama saba sasa.
Hii ni kufuatia mapendekezo ya kikao cha baraza la mawaziri cha Machi 25...
Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi?
Ni umri upi wa kuacha kumtandika?
Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza?
Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi?
Idadi ya viboko?
Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
Nianze kwa kumpongeza Prof Adolf Mkenda kwa kazi nzuri aliyoifanya Baada ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu msingi, sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa sasa Idadi ya walimu wa kufundisha madarasa ni Waongezeka.
Hii ni baada ya malalamiko mengi kuandika Jf sasa...
Miili miwili kati ya mitatu ya watu iliyopatikana juzi Ijumaa ilikutwa ikielea katika Mto Yala Nchini Kenya.
Mmoja ulikutwa umetobolewa macho huku ukiwa umekunjwa na kitambaa katika mdomo, mwingine ukiwa umezungushiwa nailoni juu ya kichwa na kufunika uso.
OCPD Charles Chacha wa Yala...
Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone.
Pengine mtu anaweza kujiuliza kwanini kiwango hiki ni kidogo sana ukilinganisha na idadi ya watu waliopo...
Mashambulio ya Urusi dhidi ya Ukraine yaingia katika siku ya 11 huku idadi ya wakimbizi ikitarajiwa kufikia karibu watu milioni 1.5. Mataifa hayo yametupiana lawama kuhusu kukwama kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Idadi ya wakimbizi wa Ukraine inatarajiwa kufikia watu milioni 1.5 huku...
Urusi ina silaha ngapi za nyuklia?
Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
Kwanini gharama za ununuaji wa umeme zinatofautiana kati ya mtumiaji mmoja na mwingine ikiwa wote wana hadhi sawa?
Mfano, mimi nikinunua umeme wa sh.5000 napata Unit 14 lakini jirani yangu akinunua umeme wa kiasi hicho hicho cha fedha anapata zaidi ya Unit 40.
Kwanini TANESCO mmeamua kutoa...
AVERAGE COST
Kama tunavyofahamu neno average ni wastani, na cost ni gharama.
Hivyo Average cost ni kuchukua jumla ya gharama zote fixed na variable cost (total cost) alafu ugawe kwa idadi ya vitu ulivyovizalisha (output).
Mfano:
Muuza mihogo ya kukaanga ametumia gharama ya 50,000 na...
Kuna watu wanakazana kuwa wafugaji waachwe Ngorongoro sababu wameishi na wanyama miaka na miaka. Mmojawapo Shivji. Lakini kwa makusudi wanashindwa kusema kuwa kuna idadi fulani ya watu ikifika ecosystem inacollapse. Haiwezi kuwa hivyohivyo kila siku.
Sasa, kama kuna tafiti. Hifadhi ya...
Hali wadau wa JF, habari zenu.
Naomba kujua idadi ya Madarasa yaliyojengwa huko wilayani Ngorongoro. Ni kwa upande wa elimu ya Msingi na secondary.
Ikumbukwe hivi Sasa Kuna fukuto la kuwahamisha wananchi wa huko kwenda maeneo mengine. Lengo ni kuokoa hifadhi ya Crater ya Ngorongoro.
Lengo...
Imekuwa zaidi ya ugonjwa unakuta mtu amependeza hasa aila akikusogele kuongea mdomo wake unato harufu si nzuri.
Nashauri elimu itolewe kwa kila namna kuondoa hili tatizo.
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro ni zao la mkataba kati ya Serikali ya kikoloni ya Uingereza na viongozi wa kimila wa jamii ya kimasai na makubaliano yalikuwa ni kwamba, wananchi wenyeji wa Ngorongoro waondoke eneo la Serengeti na wasirudi tena waende Ngorongoro
Mkataba wa Serikali ya kikoloni ya...
Nawapongeza kampuni ya Azam media kwa kuonesha mechi za ligi kuu NBC live, kitendo ambacho kimeipa hadhi ligi yetu si tu Africa ya mashariki bali Africa nzima.
Wito wangu kwa wamiliki wa Azam media ni kuwa ongezeni idadi ya Camera katika production team yenu ili muweze kunasa matukio takribani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.