Naona MaCCM humu yamechachamaa kufungua nyuzi ili kutafuta mbinu za kupaka tope uchaguzi uliofanyika Kenya, yanajaribu kutumia hizo mbinu kuficha aibu ya dhuluma zao kwao huko Tanzania.
Ifahamike kawaida baada ya kukamilisha zoezi la kuhesabu kura, huwa hatukimbilii kumtangaza mshindi na...
''Penye miti mingi, hapana wanjenzi''
Kauli hii imekuwa dhahiri sana na yenye uhalisia ukizungumzia suala kuu la uchumi na maendeleo ya jamii hasa kuhusiana na idadi ya watoto na ustawi wa kila mtoto katika suala zima za elimu, afya na mahitaji mengine ya kimsingi.
Tukiongelea suala la miti...
Habari wananchi na viongozi!
Serikali hii ina watumishi takribani laki 7(700,000). Hii idadi si kubwa sana ila ndani ya watumishi hawa kuna kundi halihitajiki sana kwa wakati huu.
Mfano: Kazini kwangu ofisi X kuna watumishi wapo wanadibiri kustaafu tu, uhitaji wao wa moja kwa moja umekomaa. Ni...
JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahimu Juma, amesema kuna haja ya kuweka utaratibu wa kila Jaji wa Mahakama ya Rufani kumaliza idadi fulani ya mashauri kwa mwaka ili kuondoa mlundikano wa mashauri mahakamani.
Alitoa kauli hiyo jana wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Majaji wa Mahakama ya Rufani...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu akiangalia mgawanyo wa majimbo yenye watu wengi zaidi anagundua kuwa haiwakilishi na idadi inayostahili ya wabunge. Wilaya ya Temeke mkoa wa Dar es Salaam Mwanzo
Mfano mkoa wa Dar es Salaam ulitakiwa kuwa na wabunge wasiopungua 25. Lakini una...
Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ambao ni wathirika wa Virusi vya UKIMWI (VVU) wamebainika kutotumia ARV ambazo ni dawa za kufubaza makali ya VVU wanazopewa vituoni kutokana na imani ya dini.
Mratibu wa Kudhibiti UKIMWI Mkoani Ruvuma, Josephat Kalipesa amesema hatua hiyo imebainishwa licha ya...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa jamiiforums. Mimi Infantry Soldier nipo mzima wa afya.
UTANGULIZI: MUUNDO WA MFUMO WA ELIMU NCHINI TANZANIA KWA UFUPI.
Mfumo wa elimu wa kitaifa kwa hapa Tanzania una ngazi kuu nne. Kwanza miaka saba ya elimu ya msingi ya lazima (kuanzia umri wa miaka sita)...
Wanabodi,
Wote tume shuhudia mabadiliko yaliyofanywa na serikali kwenye nyadhifa za wakuu wa mikoa hivi karibuni. Naamini kwa kiasi kikubwa kwamba maamuzi ya serikali mara nyingi huwa yame chambuliwa kwa kina na huwa sahihi.
Jambo ambalo bado sijapata ufafanuzi na kuelewa ni njia zinazotumika...
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
Idadi ya watu waliofariki kutokana na ghasia za Kikabila katika Jimbo la Blue Nile Nchini Sudan imefikia watu 65 na wengine 150 wakijeruhiwa tangu kulipozuka machafuko wiki iliyopita.
Waziri wa Afya wa Jimbo la Blue Nile, Gamal Nasser al-Sayed amesema vurugu hizo zimetokana na uchochezi wa...
Hadi sasa Urusi wamepoteza zaidi ya vifary 1,500 na ili kupata picha ya hasara yote hiyo, waza kwamba JWTZ ya Tanzania, yaani jeshi la nchi yote Tanzania lina vifaru 156, hivyo hasara aliyoingia Urusi inaweza ikafyeka mataifa yote ya EAC na kati na mpaka ufike Afrika magharibi, licha ya hasara...
Idadi ya watu duniani ilifikia Bilioni 7 mwaka 2011, na kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN) Idadi hiyo itafikia Bilioni 8 Mwaka 2022.
Tangu katikati ya karne ya 20 kumekuwa na ongezeko kubwa la idadi ya watu duniani, ikielezwa watu waliongezeka mara tatu zaidi kati ya 1950 na 2020.
Hata hivyo...
Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua.
Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa kufanya hivi kunaweza kuwa na faida lakini pia hasara kwa upande mwingine.
Hizi ni faida na hasara za...
Habari.
Miaka ya wazazi wetu mwanamke akiolewa ni kuzaa mpaka kizazi kiishe. Huku watoto wakipishana miaka miwili.
Ndiyo maana si ajabu kuona familia zenye watoto nane, tisa mpaka kumi. Lakini Karne hii mambo ni tofauti. Wanawake hawataki kuzaa watoto wengi. Utasikia wawili wanatosha. Akienda...
Nigeria imetangaza kuwa na visa 21 vya Ugonjwa wa MonkeyPox katika majimbo 9, ambapo mtu mmoja amefariki Dunia, ripoti hiyo ni kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Nigeria (NCDC).
NCDC katika ripoti yake imeeleza kuwa Taifa hilo limekuwa likiripoti visa hivyo tangu Januari 2022...
Kulingana na takwimu mpya za kiuchumi kutoka Ofisi ya Takwimu ya Kitaifa ya Kenya (KNBS), idadi ya watalii waliofika Kenya imevuka asilimia 85 katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 huku hali ikirejea kama kawaida katika sekta hiyo baada ya kukatizwa na COVID-19.
Takwimu hizo zinaonesha kuwa Kenya...
Nchini Marekani imegundua mashine ya kupima idadi ya wanawake au wanaume uliowahi kutembea nao, au unaotembea nao kwa wakati huu.
Akizungumza Dr andrew amesema, ni hatua kubwa kufikia kutengeneza mashine hiyo kwani wapenzi wengi wataacha tabia ya kutoka nje ya ndoa.
Amesema mashine hiyo...
Kulingana na UNESCO hadi mwaka 2015, kiwango cha watu wazima kusoma na kuandika cha ni 77.89% nchini Tanzania. Wakati kiwango cha wanaume kusoma na kuandika ni 83.2%, kwa wanawake ni 73.09%, kuonyesha pengo kati ya jinsia.
Kwa mujibu wa taarifa nyingi zilizopo ni kwamba Tanzania imeshuka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.