idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

    Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita. Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza...
  2. GENTAMYCINE

    Naomba idadi ya Wachangiaji hapa Jamiiforums isipungue leo kuanzia Saa 1 Kamili za Usiku

    Halafu kuanzia Saa 1 Kamili hiyo ya leo tarehe 5 Novemba, 2023 ukija ( Uki Log In ) hapa Jamiiforums usije na Mihasira yako bali kuwa tu Mvumilivu kwani huo ndiyo Maana na Ukomavu wa Utani wa Jadi.
  3. Nyani Ngabu

    Hisia: Kuna idadi kubwa ya Watanzania wanaosumbuliwa na Stockholm Syndrome ikija kwenye kutawaliwa na CCM!

    Kama kichwa cha mada kinavyobainisha, hizi ni hisia zangu tu. Sijafanya utafiti ulio rasmi. Sina uwezo wa kiakili wala wa kiutaalamu kuweza kufanya utafiti wowote ule ulio wa kisayansi. Ni hisia zangu kama mtu na raia mwenye busara za kawaida tu [common sense] ambaye hupenda kuangalia na...
  4. MamaSamia2025

    Tujadili uwepo wa idadi kubwa ya wenye nyumba ambao ni maskini hapa Tanzania hasa jijini Dar

    Nini kifanyike? Kiukweli idadi ya wenye nyumba maskini ni kubwa mno jijini Dar na miji mingine nchini kwetu. Je, ni mitazamo mibovu ya wananchi wengi kuhusu kumiliki nyumba? Yaani kwa haraka haraka kuna wapangaji wengi wana maisha mazuri kuliko wapangishaji. Maeneo ya uswahilini ni kawaida...
  5. BARD AI

    Vodacom yaongoza Tanzania kwa idadi ya Wateja

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inayoangazia Takwimu za Mawasiliano Nchini, Mtandao wa Vodacom umeongoza kwa idadi ya Wateja ambapo hadi mwishoni mwa Septemba 2023 wamefikia 20,555,763 Ripoti imeonesha Mitandao yote kwa ujumla ilikuwa na ongezeko la 4.7% kutoka...
  6. S

    Machozi ya Waziri Byabato na idadi ya watu milioni 64 wanaoongezeka kila kukicha

    Nimeiona video ya Naibu Waziri wa Nishati Stephen Byabato anaonekana akilia mbele ya hadhira ya mkutano mmoja kule Bukoba. Sauti yake pia inatembea katika mtandao wa WhatsApp akisikika kama analia wakati akidai anahujumiwa ili asiweze kutekeleza ahadi zake za 2020. Muda unaenda kasi na ahadi...
  7. Mhafidhina07

    Kinachoendelea GAZA idadi ya vifo vinavyoorodheshwa ni uongo mtupu!

    Nakumbuka miaka 3 nyuma dunia ilishuhudia (COVID) HOMDA ambayo ilitaka dunia kujifungia kwa lengo la kuharibu uchumi wake "planned stories" siwezi kukataa hundred percent kwamba ugonjwa haukuwepo na haujaua!laa hasha ila its determined effects was totally wrongly. Imagine Ugonjwa huu uliuwa...
  8. BARD AI

    Serikali ya Nigeria inapanga kupunguza idadi ya Kodi kutoka 62 hadi chini ya 10

    Kwa mujibu wa taarifa ya Kamati ya Rais ya Sera, Fedha na Marekebisho ya Kodi, imeeleza kuwa Kodi zilizowekwa katika maeneo mbalimbali zinaongeza mzigo mzito kwa Wananchi, hivyo hatua ya kuzipunguza itarahisisha mfumo wa Kodi na kupunguza maumivu. Kamati imesema imefanya utafiti na kubaini...
  9. Miss Zomboko

    Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo ya Hifadhi ya Jamii

    Haki ya Ulinzi wa Kijamii bado haiwezi kufikiwa na Watu wengi Duniani, hasa wale wanaohitaji zaidi wakiwemo Watoto, Wanawake na Wasichana, Wazee, Watu wenye Ulemavu na Masikini Takwimu za Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa zinasema Asilimia 53.1 ya idadi ya Watu Duniani hawana malipo...
  10. K

    Maandalizi muhimu kabla ya uchaguzi ili kuepuka kusema umeibiwa kura Chama chako kinaposhindwa

    Hii ni kwa vyama vyote vinavyoshiriki uchaguzi ,uwe uchaguzi mdogo, uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu. Kila chama ni muhimu kufanya maandalizi ili kuepuka kutupa lawama kusikostahili. Kwanza, Kila chama kinatakiwa kihakikishe kina wanachama wafia chama ambao watakuwa pamoja na...
  11. JanguKamaJangu

    Makamu wa Rais DKT. Philip Mpango ahutubia Mkutano wa Idadi ya Watu nchini Hungary

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia katika Mkutano wa Tano wa Idadi ya Watu (5th Budapest Demographic Summit) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Museum of Fine Arts Jijini Budapest nchini Hungary. (Tarehe 14 Septemba 2023). Makamu wa Rais...
  12. BARD AI

    Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya Watu Wanaojiua

    Wakati Bara la Afrika likiendelea kukabiliana na masuala muhimu kama vile Umaskini, ongezeko la Magonjwa Yanayoambukiza na Yasiyoambukiza, na Mtikisiko wa Masuala ya Kiutawala katika baadhi ya Nchi, Matukio ya Watu kujiua nayo yanaendelea kuwa janga linalokua kwa kasi. Mbali na changamoto za...
  13. JanguKamaJangu

    Rais wa Misri atoa wito hatua kuchukuliwa ili kupunguza Uzazi Nchini kwake, ni kutokana na idadi ya watu kuongezeka

    Egypt President Calls For Measures To Slow Birthrate Egyptian President Abdel Fattah al-Sisi called Tuesday for measures to slow the birthrate in the Arab world's most populous country, citing China's one-child policy as an example. "We need 400,000 births per year," said the leader of the...
  14. Pfizer

    Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa linamiliki idadi ya Leseni 143

    STAMICO YAIELEZA KAMATI YA BUNGE LESENI INAZOMILIKI Yaelekeza Mkakati wake wa kuendeleza Mgodi wa Makaa ya Mawe Vituo vya Mfano Vyatajwa kuongeza tija, wataka viongezwe uwezo Dodoma Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini kuwa...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Wakristo hawahitaji Sensa kujua idadi Yao. Kwa sababu Ukristo wenyewe ni Hesabu

    WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo. Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
  16. dogman360

    Idadi ya waanzilishi wazaliwa wa kigeni ambao walianzisha makampuni ya Marekani yenye thamani ya dola bilioni

    🇮🇳 India - 66 🇮🇱 Israel - 54 🇬🇧 United Kingdon - 27 🇨🇦 Canada - 22 🇨🇳 China - 21 🇫🇷 France - 18 🇩🇪 Germany - 15 🇷🇺 Russia - 11 🇺🇦 Ukraine - 10 🇮🇷 Iran - 8 🇦🇺 Australia - 7 🇮🇹 Italy - 6 🇳🇬 Nigeria - 6 🇵🇱 Poland - 6 🇷🇴 Romania - 6 🇦🇷 Argentina - 5 🇧🇷 Brazil - 5 🇳🇿 New Zealand - 5 🇵🇰 Pakistan - 5...
  17. MK254

    Idadi ya wanajeshi wa Urusi wanaojitoa uhai yazidi kuongezeka

    Wengi wanaamua hamna haja ya kuhangaika, bora wajifie... The number of suicides among Russian officers has increased significantly since the Russian full-scale invasion of Ukraine began. Source: Ukrinform news agency, citing Andrii Yusov, Spokesman for Ukraine's Defence Intelligence, on air...
  18. benzemah

    Idadi ya Watalii Wanaoshuka "KIA" Yazidi Kuongezeka

    Idadi ya wageni wanaoshuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), imeongezeka kutoka 300 hadi kufikia 2000. Ongezeko hilo limechangiwa na Filamu ya The Royal Tour iliyoigizwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan. Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uendeshaji...
  19. T

    Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

    Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha. Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea. Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
  20. Replica

    Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
Back
Top Bottom