idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boqin

    SI KWELI World Economic Forums, Bill Gates na Albert Bourla wana mipango ya kupunguza idadi ya watu duniani

    Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazohusisha taasisi na watu maarufu duniani kuwa na mpango wa kupunguza idadi ya watu duniani. Miongoni mwa mambo hayo ni pamoja na Bill Gates kuelezwa kuandika katika mitandao wa kijamii akimshauri kiongozi wa World Economic Forums (WEF), Klaus Schwab juu ya...
  2. Bushmamy

    SoC03 Uanzishwaji wa Viwanda vijijini Sera mojawapo ya kupunguza idadi ya watu na vijana wasio kuwa na Ajira katika Miji mikubwa

    Kwa nchi kama Tanzania ambayo ipo katika nchi zinazoendelea duniani inahitajika jitihada kubwa kutoka kwa viongozi wetu katika kujenga uchumi wa nchi yetu hasa kupitia katika nyanja kuu ya uchumi ambayo ni kilimo Imo na viwanda . Endapo sera hii ikitumika vyema Na Serikali basi manufaa...
  3. BARD AI

    Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  4. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  5. N

    Idadi ya bia kunywa kwa siku yawa gumzo

    Dar es Salaam. Kauli ya watalaamu wa afya kuhusu kiwango cha bia kinachoshauriwa kutumiwa na mtu kwa siku, imezidi kuibua maoni tofauti, safari hii wachambuzi wakijikita katika ujazo wa chupa, wingi wa kileo, afya ya mnywaji na mchanganyiko wa kinywaji chenyewe. Akizungumza na Mwananchi jana...
  6. Influenza

    Siku ya Idadi ya Watu: Je, wajua idadi ya watu duniani ilitoka Bilioni 7 - 8 kwa miaka 12, ila inakadiriwa itachukua miaka 15 kufikia Bilioni 9?

    Ilichukua mamia ya maelfu ya miaka kwa idadi ya watu duniani kukua hadi bilioni 1, kisha katika miaka 200 tu au zaidi, iliongezeka mara saba. Mnamo 2011, idadi ya watu Ulimwenguni ilifikia bilioni 7, ilikuwa karibu bilioni 7.9 mnamo 2021, na inatarajiwa kukua hadi karibu bilioni 8.5 mnamo 2030...
  7. Econometrician

    Hali ni tete sana, nini kifanyike?

    Kama humu ndani kuna walimu kuanzia ngazi ya awali mpaka university mtakubaliana nami katika Idadi ya watoto wa kike katika shule za awali hadi Msingi ni kubwa kuliko watoto wa kiume,nenda shule yoyote ya msingi, sekondari au chuo kikuu utagundua hilo. Mfano kwa sasa hapa University of Dar es...
  8. M

    Idadi ya wataalamu wa kilimo Tanzania

    Jamani Tanzania ina wataalamu wa kilimo wangapi na ni kwa mujibu wa bajeti ya mwaka gani
  9. BARD AI

    Dkt. Mwigulu: Idadi ya Benki imepungua nchini, zimebaki 45

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi Desemba 2022 kulikuwa na benki 45 ikilinganishwa na benki 46 katika kipindi kama hicho mwaka 2021. Amesema Kupungua kwa idadi ya benki kulitokana na Exim Bank Limited kuinunua benki ya First National Bank Tanzania. Hata hivyo, amesema...
  10. JanguKamaJangu

    Senegal: Idadi ya Waliofariki kutokana na maandamano yafika 15

    Hali ya wasiwasi imeendelea baada ya mapigano mapya ya muda wote wa usiku ndani ya siku mbili tangu Mahakama imhukumu kiongozi wa upinzani, Ousmane Sonko (48) ambaye amehukumiwa kwenda jela miaka miwili. Sakata hilo la Sonko limesababisha Nchi Washirika kutuma ujumbe wa kusikitishwa na...
  11. Suley2019

    Dkt. Slaa: Msimamo wangu ni ule ule, wananchi wasipangiwe idadi ya watoto

    NI nadra kusikia jambo hili likizingumzwa na wanasiasa na hata viongozi wa serikali, lakini ni kweli kwamba miaka 1980, Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alipendekeza kuwe na Sera ya Watu. Katika sera hiyo, Mwalimu Nyerere alitaka kuwekwe masharti kwamba kila familia isiwe na zaidi...
  12. beth

    Ripoti: Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia Bilioni 8.5 Mwaka 2030

    Kwa Mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) kufikia Novemba 2022, idadi ya Watu Duniani inakadiriwa kuwa Bilioni 8. Ongezeko la Watu katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini linakadiriwa kuongezeka mara mbili zaidi kati ya Mwaka 2022 na 2050 Kufikia Mwaka 2022, idadi ya Wanaume Duniani...
  13. Mufti kuku The Infinity

    Idadi ya Waislamu duniani yafikia Bilioni mbili mwaka 2023

    Kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) na taasisi nyingine za utafiti, idadi ya Waislamu duniani inakadiriwa kufikia zaidi ya bilioni 2. Kwa sababu ya kiwango cha juu cha uzazi na kasi ya kuenea kwa dini hiyo kwenye maeneo mengi duniani, inatarajiwa kuwa...
  14. Heart Wood.

    Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  15. Notorious thug

    Idadi ya Nguruwe yaongezeka nchini

    Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M)...
  16. Mpinzire

    India yaipiku China kwa idadi ya watu

    Nchi ya India imeipiku nchi ya China kwa population. Population: 1. India [emoji1128] 1,426,409,584 2. China [emoji630] 1,425,731,257 3. USA [emoji631] 339,688,556 4. Indonesia [emoji1129] 277,148,717 5. Pakistan [emoji1191] 239,693,115 6. Nigeria [emoji1184] 222,914,017 7. Brazil...
  17. N

    Utata wa idadi ya followers wa Diamond huko Youtube

    Haya kama kawaida jamaa wameendelea. Last time walituambia Mandonga kapigwa Kenya kabla hata ya pambano kufanyika. Tulipopoint that out wakafuta uzi. Leo hii wanatuambia Diamond ndo anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi (bilioni 7.65) 😂😂😂😂😂 Sasa hii taarifa hawakuipitisha huko kwenye jamii check...
  18. JanguKamaJangu

    Sudan: Idadi ya Watu waliouawa katika mapigano yafika 185

    Idadi hiyo ni taarifa ya Umoja wa Mataifa (UN) ikielezwa kuwa imefikiwa baada ya mashambulizi ya siku 3 mfululizo kati ya Jeshi la Serikali na Wanamgambo wa Kundi la RSF. Wakati huohuo, Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) Nchini Sudan, Aidan O'Hara amejeruhiwa baada ya nyumba yake kushambuliwa Jijini...
  19. Prakatatumba abaabaabaa

    Hongereni Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli

    Natoa nafasi ya pekee kwa Yanga kwa kupunguza idadi ya magoli, nadhani mmeijua Simba ni watu wa namna gani. Nimepata taarifa hapa kwamba Haji Manara amekamatwa akicheka chooni. Simba nawapongeza pia kwa kuwaheshimu Yanga na kuwafundisha Mpira wa kimataifa ulivyo.
  20. mdukuzi

    Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

    Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais . Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK. Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao...
Back
Top Bottom