idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chance ndoto

    Nimegundua idadi kubwa ya Watanzania au Africa tumetumia camera moja kuangalia shuti la Ki Aziz

    Nawaeleza lile sio goli, nimeshangaa kuona viongozi wengi wa Tanzania wakishupaza yanga waandikie barua CAF, Kwaajili ya shuti la Aziz ki katika mechi kati ya yanga na mamelodi. Kwenye angle ambayo nyie wote na mimi lile tunaliona kama limedundia ndani. Ule mpira umedundia kwenye goal line. Na...
  2. DodomaTZ

    TANAPA: Idadi ya Watalii nchini imeongezeka kutoka 997, 873 hadi kufikia 1,670,437 (2021/2022 hadi 2022/2023)

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limefanikiwa kuongeza mapato katika kipindi cha miaka mitatu kutoka shilingi 174,715,158,494 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia shilingi 337,424,076,896 kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023. Akizungumza Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam katika...
  3. G

    Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki Ukristo kwenda uislam 5. Mwijaku - journalist infuencer Ukristo kwenda uislam 6. Young killer -...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali kama imeshindwa Kuweka mishahara ya watumishi katika usawa ni vizuri ipunguze idadi ya watumishi

    Mara nyingi viongozi wakigusiwa jambo hili hutoa wito kwa mashirika mengine ya umma kuongeza ubunifu na uzalishaji ili nao walipane vizuri. Kuna mashirika ya umma Kuna taasisi za umma Kuna wakala wa serikali. Kuna Mamlaka za udhibiti na usimamizi. Kuna bodi mbalimbali Kuna tume mbalimbali...
  5. Suley2019

    Mnyika: Tukitaka kuongeza idadi ya wapiga kura imani katika mifumo ya uchaguzi iongezeke

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema Serikali inakwepa kutoa tathimini ya kwa nini idadi ya wapiga kura inapungua nchini, ila kwa tafiti walizofanya, wamegundua wananchi wamepoteza imani na mifumo ya uchaguzi nchini. Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Njooni tujadili zinakokwenda fedha za umma

    Maskini Watanzania walipa kodi nawaonea huruma mno. Simlsumu Rais Samia bali naulamu mfumo wetu wa kutawala. Leo tumeona notice ya wateuliwa wapya na wengine wengi wamepata uhamisho kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine, wengine kutoka wilaya moja kwenda wilaya nyingine. Hapo fedha...
  7. Lady Whistledown

    Ripoti: Idadi Ya Wabunge Wanawake 2023 iliongezeka

    Muungano wa Wabunge duniani (UIP) unasema wanawake wameongozeka katika bungu kwa mwaka 2023 ambapo wanawakilisha ongezeko la asilimia 0.4 mwaka baada ya mwaka, kiwango sawa cha ukuaji kwa mwaka 2022. Hata hivyo, ukuaji huo ni wa polepole kuliko miaka iliyopita kwani chaguzi za 2021 na 2020...
  8. Ricky Blair

    Je tunaamini izi idadi?

    Je tunaamini kwamba Tanzania yote kuna Wahindi Elfu 60 na Waarabu elfu 70 tu???😂😂😂😂
  9. MK254

    Hadi sasa hivi Wapalestina wanaendela kufa kwa mamia kwa siku, idadi sasa 27,365

    Yaani Israel imedhamiria, sio mchezo....HAMAS waligusa pabaya. GAZA, Feb. 4 (Xinhua) -- The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks in the Gaza Strip has risen to 27,365, while 66,630 others were wounded, the Hamas-run Health Ministry said Sunday. During the past 24 hours, the...
  10. GENTAMYCINE

    Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Halafu Bishop Gwajima nasikia kwa sasa unaomba sana Mungu mpango wa Mamlaka (Serikali) kuligawa Jimbo la Kawe ambapo kutakuwa na Kawe A litakaloishia Afrikana au Mbuyuni na kuwe na Jimbo lingine la Kawe B ambalo litaanzia Tegeta kwa Ndevu na litakaloijumuisha hadi Mapinga ambayo taarifa za chini...
  11. MamaSamia2025

    Pre GE2025 Gharama zitazoongezeka endapo hoja ya CHADEMA kuongeza idadi ya wabunge itapita

    Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge wapya takribani 135. Kimsingi hoja namba 5 ni hoja yenye nia ovu. Kwa sasa bunge zima la Tanzania lina...
  12. S

    Miji yenye Uwiano wa Idadi kubwa ya Wanawake kuliko Wanaume

    In this article, we take a look at cities with the highest female to male ratio in the world. You can skip our detailed analysis on migration, economy and gender ratio and go directly to the 5 Cities with Highest Female to Male Ratio in the World. As of 2023, there are 8 billion people in the...
  13. JanguKamaJangu

    Idadi ya raia walioathirika kwa milipuko yaongezeka kwa 112% mwaka 2023

    2023 umetajwa kuwa Mwaka ulioshuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo na majeruhi ya raia kuliko wakati mwingine wote ndani ya kipindi cha miaka 10 iliyopita, hiyo ni kutokana na Utafiti wa Shirika la Kutoa Misaada Kuhusu Vurugu za Kivita (AOAV) la England ambapo Utafiti wake unatumiwa na majukwaa ya...
  14. S

    Makusanyo ya Mapato Kanda ya Kaskazini Bilioni 1600 versus Bilioni 648 kanda ya Ziwa: Bado mnadai mna nguvu? Nguvu ni uchumi siyo idadi ya watu

    Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar. Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa...
  15. M

    Pamoja na taifa kuwa na Rais Mwanamke, idadi ya watoto wanaojilea kabla ya muda imeongezeka

    Hakuna sera nzuri za kulinda maisha ya watoto. Watoto wengi wanaanza kufanya kazi za majumbani kama kupika, kufagia na kuosha vyombo wakiwa na miaka minne hadi saba. Hii ni asilimia 90 Tanzania nzima. Lakini ni kwa sababu wazazi wao hasa akina mama wanahangaika kufanya biashara ndogondogo...
  16. Dalton elijah

    Idadi ya vifo kwa Waandishi wa Habari imeongezeka zaidi mwaka 2023

    Idadi ya waandishi wa habari walio fariki mwaka jana, imefanya 2023 kuwa mwaka mbaya zaidi katika muongo mmoja kwa wafanyikazi wa vyombo vya habari. Shirika lisilo la kiserikali Press Emblem Campaign (PEC) yenye makao yake makuu mjini Geneva ilitangaza hapo jana (Jumatano). Kulingana na PEC...
  17. KENGE 01

    WHO: Takriban nusu ya watu duniani watakuwa na matatizo ya macho kufikia 2050.

    Na Dr.Kenge MD, Jini makini,vidole Madini 2024, Tabasamu la furaha linashamiri nyusoni kwa wengi.Ni saa ya Kirumi inaposoma kukamilika kwa Majuma 365 ambayo kwa wanajiografia wanasema "Earth completes its orbit within 365½ days" .Kukamilika kwa mzunguko wa dunia ambao ndani kuna misimu minne...
  18. Kidagaa kimemwozea

    Idadi ya watu Duniani kufika bilion 8+ mwaka 2024 huku wanaume tukitarajiwa kuongoza

    Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufika Bilioni 8, kunako January 1 huku sisi Me tukitarajiwa kuongoza kwa asilimia chache. Ongezeko la watu duniani linachangiwa na vitu vifuatavyo; ✓ Kuboreka kwa huduma za kibinadamu hasa teknolojia ya matibabu ✓ Upatikanaji wa vyakula Ongeza zakwako.
  19. MK254

    Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

    Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army...
  20. Kabende Msakila

    Tanzania tukipunguza idadi ya vyama vya siasa kutoka 26 hadi 4 itapendeza?

    Jf team, Salaàm! Binafsi sioni haja ya kuwa na vyama vya siasa lukuki hapa nchini. Na huenda uwepo wa vyama lukuki ni chanzo cha matumizi ya fedha za umma kuwa makubwa kupitia ruzuku. Nashauri:- 1. Tuone iwapo itapendeza kupunguza vyama hivyo toka idadi ya sasa 26+ na vibakie 3 au 4 tu. 2...
Back
Top Bottom