igp wambura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. πŸ“Œ Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. πŸ“Œ Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. πŸ“Œ Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  2. IGP Wambura: Jeshi la polisi litazingatia sheria na kupunguza matumizi ya nguvu

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema litaendelea kujikita katika kubaini na kuzuia uhalifu kabla haujatokea katika jamii pamoja na kupunguza matumizi ya nguvu kwa mujibu wa sheria. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura leo Disemba 2, 2024 wakati akifungua...
  3. Mambo yote Polisi huwa wanasingiziwa tu. IGP Wambura anapaswa kupongezwa kwa amani tunayoifurahia

    Jeshi letu la Polisi ni jeshi zuri sana na huenda likawa ni lenye weledi na utashi kuliko yote Afrika Mashariki na Kati. IGP Wambura ni IGP Bora zaidi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ana historia nzuri ya kushughulikia wahalifu na askari wakengeufu kila wanapojitokeza na ametengeneza...
  4. S

    KERO Wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tumechoshwa na vijana wasio wakazi kuugeuza kijiwe cha dawa za kulevya

    IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu. Vijana hawa Wala siyo wakazi wa nyumba hizi, hushinda maaneo haya kutwa nzima mbaya zaidi Kuna watoto wadogo wameanza kuwauzia...
  5. Kuwalinda Waziri Masauni na IGP Wambura Kunavyo Weza Chafua Nchi.

    Msingi wa mvutano wa serikali (ya CCM) na Wananchi kuhusu maandamano yao ya kuonyesha masikitiko kuhusu Utekaji, kupotea na mauaji na polisi kuhisiwa kuhusika ni kutaka wahusika wakuu wawajibishwe. Yaani Waziri yule Mzanzibari Masauni na mkuu wa Polisi IGP Wambura. Katika uwajibikaji, hata wao...
  6. Kitendo cha Rais Samia 'kutowawajibisha' Waziri Masauni na IGP Wambura ni dharau tosha kwa Watanzania

    Nina uhakika haya Matukio yangetokea katika nchi zenye Viongozi wanaojitambua hivi sasa Watu wenye Vyeo kama vya Waziri Masauni na IGP Wambura zamani sana wangekuwa wameshawawajibishwa kwa Kutumbuliwa na kuletwa Watu wapya wenye kujua Majukumu yao ila kamwe si kwa Tanzania.
  7. IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
  8. IGP Wambura: Hali ya Usalama nchini ni Shwari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camilius Wambura amemueleza Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Daniel Sillo kuwa kwa sasa hali ya usalama nchini ni shwari, na hivyo kuwapongeza Polisi, vyombo vya usalama na raia wapenda amani kuwezesha hilo. IGP Wambura ameyasema hayo katika ufunguzi wa...
  9. Masauni na IGP Wambura wakijiuzulu itatoa picha gani kitaifa na kimataifa?

    Wana JF Kumekua na maoni, mitazamo, mapendekezo na wito kutoka kwa watu mbalimbali mashuhuri, taasisi na vyama vya kisiasa kumtaka waziri mwenye dhamana ya mambo ya ndani ajiuzulu nafasi yake, lakini pia hata mkuu wa Jeshi la Polisi nchini nae kufanya vivyo hivyo kulingana na changamoto za...
  10. Waziri Masauni na IGP Wambura, mnasubiri nini kujiuzulu?

    Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea. Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania. Kwa kuwa...
  11. IGP Wambura na DCI Kingai wanawezaje kuongoza Jeshi la Polisi lenye maadili iwapo wao wenyewe historia yao ina walakini?

    Kila mtu alishangaa sana Rais Samia kuwapa nafasi hizo maaskari hawa (Camillius Wambura - IGP na Ramadhani Kingai - DCI) Hawa ndiyo waliokuwa vinara wa kutengeneza kesi bandia ya ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa CHADEMA - taifa Mh. Freeman Mbowe mwaka 2020. Tuliwaona walivyokuwa wababaishaji na...
  12. Mzee Butiku ashangazwa na IGP Wambura kutojiuzulu

    Mzee Joseph Waryoba Butiku, Mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere amshangaa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Camilius Wambura "anasubiri nini kujiuzulu?" kufuatia matukio ya kuuawa na kutekwa kwa raia nchini. Soma pia: => Ni nani hasa anaamuru watu kutekwa na...
  13. Lema: Nilitegemea mpaka sasa baada ya statement ya Rais Samia kuhusu mauaji ya Ally Kibao basi Waziri Masauni, IGP wawe wamejiuzulu

    Godbless Lema ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini akieleza kushangazwa kwake mpaka sasa kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi Hamad Masauni na IGP kutujiuzulu kufuatia tukio la kutekwa na kuuawa kwa Ally Mohammed Kibao. Niliposikia Ali amekamatwa ameshushwa kwenye basi...
  14. Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

    Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
  15. L

    IGP Wambura, nakutafutia ushahidi wangu kuhusu vurugu wakati wa uchaguzi

    Bw IGP Inspekta General Camilius Wambura, mimi ni mtanzania mwema na na nia ya dhati kabisa Kusaidia nchi kufichua maovu yote yanayoendelea nchini hasa mienendo ya chama hiki cha Kaskazini. Namba za Jeshi la Polisi ktk tovuti yenu naomba mzihuishe, nitakuwa napiga simu kwenu mchukue hatua...
  16. Wadau wa Haki msiache machozi ya watu hawa yakaenda bure

    TLS, LHRC , Vyama vya Siasa na wadau wote wa Haki Nchini. Haya Machozi ya Hawa wazazi yasiende Bure . Wakati tunapaza sauti zetu kuhusu yule Binti alobakwa, Tukumbuke hapa Kuna Kijana Mdogo ambaye Ameuliwa kama alivyouliwa yule Binti wa Chuo wakati wa maandamano. Pia Soma - Simiyu: Mkuu wa...
  17. L

    IGP Wambura, nakushauri mtafutieni kazi nyingine ya kufanya RPC Mbeya, amenikwaza sana

    Nimesikiliza kwa umakini Mbowe, Lissu na Mnyika kuwa wamepigwa sana na Jeshi la Polisi.Mbowe amedai kuwa hawataenda kuripoti katika vituo vya Polisi kwa madai kuwa ni kesi hewa. Asante babanMbowe, Lissu na Mnyika wameeleza katika madai yao kuwa CP Awadhi Haji alimfokea RPC wa Mbeya kwa kuwalea...
  18. R

    IGP Wambura, ukijiuzulu hutapungukiwa chochote zaidi ya kujiongezea Heshima mbele ya Jamii

    Salaam,Shalom!! Kujiuzulu nyadhifa yoyote katika utumishi wa umma,Si lazima utokane na mapungufu binafsi katika ofisi Yako, la hasha, inawezekana kabisa kujiuzulu Kwa makosa ya Walio chini Yako Kwa uwajibikaji wa pamoja, Mtu anapotea, ndugu wanazunguka vituo vyote vya polisi, polisi wanadai...
  19. IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

    Hakuna haja ya kuongeza neno, Taarifa yake hii hapa. --- Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura amesema jeshi hilo halihusiki na matukio yanayodaiwa kuwa ni ya utekaji, kwani jukumu lake la msingi na la kikatiba ni kuhakikisha linalinda usalama wa raia na mali zao. IGP Wambura...
  20. IGP Wambura ni kweli jeshi lako limeshindwa kuwakamata hawa watu kwa Utapeli na udhalilishaji wanaoufanya kwa Watanzania?

    Afande IGP Wambura, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa mujibu wa Sheria, Kanuni ,taratibu na tamaduni mbalimbali zilizopo. Iweje Leo watu waamue tu kuwaibia Watanzania wenzao na ninyi mliopewa dhamana ya ulinzi wao na mali zao mkae kimya? Mfano, hawa wanajiita Mkopo Fasta walimpigia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…