Ilani (Persian: ايلاني, also Romanized as Īlānī) is a village in Behi Dehbokri Rural District, Simmineh District, Bukan County, West Azerbaijan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 163, in 29 families.
Katibu halamshauri kuu ya ccm taifa itikadi na uenezi Shaka Hamdu Shaka awahakikishia wananchi wa Geita kukamilika kwa miradi yote ilivyoahidiwa katika ilani CCM.
Katibu wa nec itikadi na uenezi wa ccm, shaka hamdu shaka, leo tarehe 16 novemba 2021, amewahakikishia wanananchi wa halmashauri...
DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025.
Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na CEO bado anachekelea kwenye V8, full kiyoyozi.
**** Na OPRAS anajaza kila Quarter.
NB: Enzi za Mwamba...
Nimeingia ofisi nyingi za ma-RPC na OCD hapa nchini, kitu utakachokiona kwa haraka na uwazi kabisa juu ya meza zao ni Ilani ya CCM. PGO ambayo ndiyo inayotoa mwongozo wa utendaji wao wa kazi za kila siku utaiona kwenye shelf.
Ni kwa bahati mbaya au kutokujua kwa viongozi hawa wa askari kuwa...
Nawasalimu kwa jina la JMT,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na...
Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo...
KATIBA MPYA NI KETE KWENYE ILANI YA CHADEMA 2025.
Leo 09:15hrs 07/07/2021
Je CCM itakuja na agenda hii kwenye ilani ya kutafutia kura? Je tumeutafakari uzuri na ubaya wa katibs tuliyonayo!? Je tumeshatafakari uzuri na ubaya wa katiba Mpya tunayoitaka!?
Katiba tuliyonayo haikutuvusha wakati wa...
Lipo wimbi la waliokosa hoja za maendeleo kutaka kutuyumbisha.
Rais Samia atapimwa kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM tu kwani huo ndio mkataba rasmi na wananchi kati yao na Serikali iliyopo.
Katiba mpya haipo kwenye Ilani ya CCM na mgombea (Hayati Magufuli ) na mwenza wake (incumbet president)...
Kwenye uchaguzi mkuu option huwa ni mbili kuna wanaochagua chama na Ilani yake na kuna wengine wanachagua mtu bila ya kujali itikadi za kisiasa.
Kuna wakati RC mstaafu wa Mbeya Albert Chalamila aliwahi kusema kwa utendaji wa Magufuli ulivyo inabidi kianzishwe chama kingine kitakachoitwa...
HAIWEZEKANI Chama cha Siasa kuibuka na kusema kinataka masuala ambayo yapo kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wanachama waeleze changamoto katika jamii zinatatuliwa kwa njia gani?
Umoja wa Vijana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kupitia Mwenyekiti wa Vijana Taifa TLP, Eng.Aivan...
Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami.
==========
Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
Ukikubali cheo cha bure lazima ukubali na masharti ya mtoa cheo , Mtaka cha uvunguni sharti ainame
Ifahamike kwamba hapa duniani hakuna kitu cha bure , nipe nikupe , haiwezekani Magonjwa Mtambuka aliyepigania ccm kufa na kupona atelekezwe halafu upewe wewe ukuu wa mkoa bila masharti yoyote ...
Awali ya yote nimshukuru mbunge wa Mbeya ambaye pia ni naibu Spika kwa kutufumbua macho kwamba kuna maeneo fulani ilani inasema tofauti na uhalisia unaosemwa na serikali.
Natoa rai kwa wananchi tulioichagua CCM kwa kishindo kikuu tuipitie kwa makini Ilani ya uchaguzi hasa katika maeneo...
Mbunge wa Mbeya mjini Dr Tulia Ackson amesema kuna mkanganyiko mkubwa kati ya Ilani ya uchaguzi ya CCM na bajeti ya wizara ya Ujenzi kuhusu Ujenzi wa barabara ya Tanzam.
Ilani inasema upembuzi yakinifu umekamilika lakini waziri katika bajeti yake anasema upembuzi yakinifu utafafanyika mwaka...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Waziri wa zamani na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM) ameishangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2015 na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.