imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. nyboma

    Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
  2. John Haramba

    Tabora: Maiko Jacobo amuua baba yake kwa shoka kisa imani za kishirikina

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia Maiko Jacobo mwenye umri wa miaka 25 mkazi wa Kijiji cha Upungu, Wilaya ya Nzega mkoani hapo kwa tuhuma ya kutenda kosa la kumuua baba yake mzazi mzee Jacobo Lubela mwenye umri wa miaka 88 baada ya kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya nyumba yake na...
  3. B

    Christmas alikuwa mahabusu, Mwaka Mpya mahabusu, Kwaresma mahabusu; ila haachi kutabasamu na kuonesha Imani thabiti kwa Mungu wake

    Tunapoanza Ibada ya Kwaresma tunapaswa kutambua ibada hii inalenga Toba. Tumesimama kizimbani kumfurahisha Mwanadamu tukamsau Mungu; tumetafsiri vibaya neno lake tukaacha kuwaeleza ukweli wanasiasa tukiamini wao Wana nguvu kuliko Mungu; tulikaa Kimya tukiamini ayatuhusu Hadi tulipobaini kwamba...
  4. 4

    Sisali katika makanisa yao, ila naeshimu imani zao, watendewe haki

    WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi. Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza. Leo Tanzania tupo na dini nyingi ambazo zimebeba imani za watu mbalimbali, na sio mbaya Kama hakuna hukiukwaji wa SHERIA za nchi maana...
  5. Deogratias Mutungi

    Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania

    Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania Deogratias Mutungi Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa kisiasa ndani ya taifa letu katika nadharia ya siasa, itikadi sambamba na kusimamia na kuenzi falsafa ya...
  6. GAZETI

    Rais Samia, wakazi wa Mtwara hatuna Imani na Jeshi la Polisi

    Muheshimiwa Rais, Bila shaka una taarifa juu ya mauaji yaliyofanywa na maafisa 7 wa Polisi. Ni taarifa ambayo imewashtua wengi kwa kuwa imetoka hadharani lakini tabia hii ya ujambazi na kudhulumu mali za watu haikuanza leo wala Jana na bila kufanya Reform ya Jeshi la polisi mkoa wa Mtwara (huko...
  7. L

    Imani kubwa ya Wachina kwa Serikali yao imethibitisha nini?

    Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%, na kushika nafasi ya kwanza duniani. Katika miaka ya karibuni, nchi za Magharibi zimekuwa...
  8. M

    Ni imani potofu: Mwanamume kufika haraka ni wingi wa nguvu za kiume na si upungufu. Pia mwanamke kuchelewa kufika ndio upunguvu za nguvu za kike!!

    ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!! Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni haraka (ndani ya dakika 5 goli tayari). Kwa hiyo wanahitaji dawa au virutubisho!! Hii ni biashara...
  9. Ngungenge

    Imani ya Bunge haiwezi kujengwa chini ya Tulia Ackson

    Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais. Pili ni mtu asiyeamini katika kazi za Rais Samia, Tulia hakuwahi kuvaa barakoa wala kuhamasisha chanjo hadharani sio ndani wala nje ya...
  10. N

    Hakuna Kilicho Wazi Bado; Mambo Mengi Hatujayajua Bado - Juu ya Yote Imani

    Ni kama kila kitu bado ni fumbo. Si mwanzo wala si hatima ya mtu, maisha ya mtu bado ni fumbo. Kuna hatua muhimu za kujivunia katika kuelewa mwanzo na hatima ya mtu. Lakini, hatahivyo juhudi hizo mara zote zimekuja na kasoro nyingi katika kufumbua fumbo la maisha na ulimwengu. Huwezi kusema...
  11. Zainab j

    Fungu la kumi / kwa imani zote linatumikaje?

    Wakuu morning, Hivi fungu la kumi kwa wakristo na Waislamu linatolewa ipasavyo kweli, mbona level ya umasikini kwenye jamii inaongezeka. Au huwa ZAKA hailekezwi kwa masikini Kama inavyotakiwa? Waislamu nasikia wao zaka ni kwajili ya masikini, wakristo pia nasikia ZAKA nikwajili ya wachungaji...
  12. Nyankurungu2020

    Watanzania hawana imani na Waziri wa Nishati January Makamba, anapaswa kuachia ngazi, asipoachia Rais amuondoe

    Kila kona manug'uniko ya Watanzania ni juu ya dalili za wizara nyeti ya nishati na umeme kuwa na waziri ambae watu hawana imani nae. Tangu ateuliwe kuwa waziri basi taifa limekuwa na mauzauza tu juu ya upatikanaji wa umeme na hata uongozi na uendeshaji wa Tanesco. Kitendo cha watanzania...
  13. VUTA-NKUVUTE

    Sasa ni dhahiri kuwa CHADEMA si Mbowe, Dr. Slaa, Lissu wala Lema. CHADEMA ni imani na haitakufa kirahisi!

    Kwa wasionifahamu (angalau kwa ufahamu wa humu JamiiForums), mimi ni kada kindakindaki wa CCM. Nimejiunga na chama hiki miaka ya mwanzoni mwa 80 baada tu ya kuhitimu shahada yangu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nilisomea sheria. Nikafanya kazi chamani, serikalini na hata kwenye vyombo vya ulinzi...
  14. Nyankurungu2020

    Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  15. 6321

    Hili jambo limenitatiza na kufanya niwe na wasiwasi za vijana wa iPhone

    Nawasalimu kwa JMT Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+. Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
  16. P

    Abdulrazak Gurnah na imani hasi tuliyonayo juu ya uraia pacha

    Wengi wetu ndio kwanza tumefahamu kuwa mshindi wa nishani ya Nobel wa mwaka huu kwa upande wa fasihi ni Mtanzania mwenye asili ya Zanzibar Abdulraza Gurnah. Ndio kwa mara ya kwanza tumeviona vitabu vyake mitandaoni, vilivyompatia nishani yenye heshima na yenye kuambatana na pesa nyingi takriban...
  17. and 300

    Imani, Upendo, Miujiza: Kutawala Dar leo

    Leo ndio Ile siku ya kutawanya Imani, Upendo na Miujiza jijini Dar. Karibuni Sana Kawe, Mbagala, Gongo la Mboto na Kimara. Hatumwi mtoto dukani leo.
  18. Fundi Madirisha

    Siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi mkuu 2025

    Kila nikitazama maisha yanavyozidi kua magumu, watu wanavyolia na ugumu wa maisha na hali inazidi kua mbaya kuliko siku za nyuma, siioni imani ya CCM kushinda uchaguzi 2025. Ugumu wa maisha hua ni sababu tosha kukiondoshea mapema chama ukombozi. Mtapiga watu, wagombea kupitia vyama vya...
  19. 0743919950

    Dini na Imani za watu

    Imani kwa tafsiri ijulikanyo na wengi nikuwa na matumaini na mambo yatarajiwayo.Unapokua na tumaini na jambo ambalo hulijui kwamba jambo hilo lipo na linawezaje kubadii maisha yako tunasema wewe una imani.Watu wengi huzani imani ipo kwenye dini tu, lakini la hashz imani ipo katika nyanja...
  20. Jeef George

    Jenga imani nyuma ya unachoamini

    Karibu na asante kwa kuwa nami katika andiko hili. Habarini wanajamii forum! Natumaini tupo vizuri katika story for change nimekuleteeni andiko la ufahamu ndani imani na mafanikio . karibu ndimi mwandishi wako jeef george. tujadili mambo yafuatayo yenye mvuto kimaendeleo,kiuchumi,kijamii na...
Back
Top Bottom