Naam, kama ilivyo katika maisha ya kawaida, kila kitu huwa na pande mbili zinazokinzana, kama vile mrefu na mfupi, mweupe na mweusi, na kadhalika. Vivyo hivyo, imani ina pande mbili: kuamini au kutokuamini, ukweli au uongo. Mfano, unaweza kuamini timu yako itashinda mechi kesho kwa vile ina...