imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    Kwanini baadhi ya watu wenye dini zao hufikiri kila mtu anapaswa kuendana nao?

    Waumini wengi wa zinazoitwa dini mbili kubwa za Tanzania kuna mambo kadhaa inabidi mbadilike kuendana na mabadiliko ya wakati. 1. Kusalimia kila mtu "salameleko" Sijawahi kuelewa sababu za baadhi ya watu kumsalimia kila mtu anayeongea naye kwa hii salamu ya kidini ya salamaleko ukizingatia sio...
  2. Braza Kede

    Najuaje kama imani ninayoifuata ni ya ukweli?

    Eti wakuu? Majibu yawe mafupimafupi
  3. G

    Unaweza lazimisha mwili kutenda lakini huwezi kulazimisha Imani, Kwanini uislam unalazimisha imani ?

    Waweza kumlazimisha mtu kula bila hiari, waweza kumlazimisha mtu akusalimie, n.k. lakini hutaweza kumlazimisha mtu imani yake. Kuna watu huamini katika vidole vyao kwamba vinawapa rizki, wao mtawaita wasioamini ila wao wasichoamini ni kwamba hakuna Mungu ila vidole vyao vinafanya kazi za...
  4. Mto Songwe

    Hivi Mungu wenu bado yupo au amekufa? Au zile zilikuwa hadithi tu za vitabuni?

    Ujue siwaelewi. Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake. Angalia wafuasi wake pale Palestine wapo tayari kwa nguvu zao kulinda ule msikiti usitwaliwe na waisrael...
  5. G

    Tanzania na nchi za Afrika zilizojaa wakristo zina uhuru wa imani, Nchi za kiislam zinanyanyasa wakristo, Penye wakristo wengi pana amani ya imani

    Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya waislam huongezeka kwa kasi ya ajabu sababu imani zingine hupitia manyanyaso makali, vitisho mpaka...
  6. N

    SoC04 Vijana wengi wanapoteza matumaini na kuangukia sehemu mbaya sababu ya kujenga imani akimaliza masomo kupata ajira ni lazima

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana wengi kupoteza matumaini na wengine kuangukia kwenye matumizi mabaya ya mihadhalati na wengine kujitoa uhai na baadhi yao kuamua kuwa vibaka na majambazi hii yote kwa kutaa tamaa ya maisha (ukosefu wa ajira) Hii inatokana na mifomo yetu ya elimu hatukuweza...
  7. Kaka yake shetani

    Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  8. Billie

    Watanzania tuachaneni na imani zilizopitwa na wakati

    Habari zenu Watanzania, Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu. Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki yangu ambae alikuwa anafanya kazi shirika la Umeme TANESCO kuwa amefariki. Story yenyewe ipo hivi...
  9. Makirita Amani

    Vunja Imani Hizi Potofu Sita (6) Kama Unataka Kujenga Utajiri Mkubwa Kwenye Maisha Yako.

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu aliye hai, ambaye ana shughuli yoyote ya kumwingizia kipato, anao uwezo wa kujenga utajiri kwenye maisha yake. Ndiyo, nimesema kila mtu, hata wewe unayesoma hapa, bila ya kujali unaanzia wapi, uwezo wa kujenga utajiri tayari unao. Kama unashangaa huo uwezo uko...
  10. BigTall

    Wimbo huu ulisababisha gumzo 'Tata' kuhusu Imani za Dini ya Kikristu na Kiislamu

    Kuna wakati Rais Mobutu Seseseko alianzisha sera ya "African Authentication" iliyokuwa na lengo la Afrika kujitambua. Kama mfano aliamua kubadili jina la nchi hiyo kutoka Belgium Congo na kuiita Zaire. Hata yeye alibadili jina lake la ubatizo la Joseph Desire na kujiita Mobutu Seseseko Kuku...
  11. Nkobe

    Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo 1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha 2.Wote hawaamini katika utatu...
  12. M

    Hii ndio imani pekee kila jamii duniani inaamini

    Mzuka wanajamvi! Kila jamii duniani inaamini vitu flani hasi ama chanya. Kwa mfano hapa Tanzania kuna watu ukiwapa pesa kwa mkono wa kushoto hawakubali, kujitawadha kwa mkono wa kulia siyo sahihi, kwenda dukani usiku kununua chumvi unatakiwa kuita dawa ya mboga, kufagia usiku siyo sahihi...
  13. Kaka yake shetani

    Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

    Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri. Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
  14. Dr isaya febu

    Usimkatae mtoto anapozaliwa au kuwa na imani POTOFU pindi anapozaliwa na white stuff.

    Wengi hufikiri na kudhania kwamba hii hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito. ONDOA HOFU, hali hiyo Kitaalamu hujulikana kama “Vernix Caseosa” ambao ni utando mweupe unaomzunguka mtoto na wenye faida ya kulinda ngozi yake na kumkinga dhidi ya maambukizi. Ni hali ya kawaida na...
  15. matunduizi

    Kati ya imani za Kikristo, Kiislam na zile za asili ni ipi imechocheq umasikini kwa kasi nchini?

    Hadi sasa bado umasikini ni janga la taifa na mtu mmoja mmoja. Ukiacha CCM ambayo wanasiasa wanailaumu kwa kukaa madarakani miaka mingi na bado shida ziko palepale jamii mpya imeibuka inalaumu Mifumo ya imani. Je unadhani ni imani ipi imetoa mchango kwa asilimia kubwa katika umasikini wa...
  16. Tlaatlaah

    Je, hii inaweza kuwa ni kwa sababu za kisiasa, imani za kishirikina au ustaarabu?

    Tukiwa kwenye kampeni, walikuwepo wagombeaji wa kike na kiume. Katika baadhi ya maeneo huko vijijini, sehemu za kulala zilikua chache ukilinganisha na wingi wa wagombeaji na waongoza msafara. IIilazimu mahali fulani wagombea zaidi ya moja kulazimika kulala chumba kimoja. Na hii haikua tabu kwa...
  17. Lancashire

    Rais Samia kaza Roho usikubali kuyumbishwa, wananchi tuna imani na Uongozi wako

    Habari za jumatatu Mh. Rais Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na watu hao kwasababu ukiyumba wewe kama kiongozi wetu na sisi wananchi tutapoteza mwelekeo. Kama...
  18. FDR.Jr

    Mo Dewji soka ni siasa na kwa Tanzania ni dini, ondoa Try Again, Mangungu na umuonye Imani. Simba fans tunakusihi kwa sababu wakati ni ukuta...

    MOHAMED DEWJI ADUI ZAKO NI TRY AGAIN NA MANGUNGU SIYO WANACHAMA WALA SI WASHABIKI WA SIMBA, UNAPOTAKA KULA LAZIMA ULIWE , WAWILI HAWA SIYO WALAJI BALI NI WALAFI,WAONDOKE SASA AMA WEWE MWENYEWE UKUBALI KUWAJIBIKA ONCE AND FOR ALL…..WASHAKUWEKA KONANI, SIMBA FANS WANAPUNGUKIWA IMANI NAWE…..EMBU...
  19. Expensive life

    Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Kama haujawahi kukutana na matatizo basi unaweza kushangaa hili, watu wanamatatizo ndugu zangu. Nina ndugu yangu ni mtoto mdogo tu kama unavyojua tena maisha ya vijijini mabinti huolewa mapema, umri wa miaka 25 tu anatesea na masuala ya uzazi. Mume anataka mtoto, mimba akishika tumbo halikui...
  20. Jaji Mfawidhi

    Somo la ki-islamu lazua sintofahamu, Je, Sabato, Katoliki na walokole Imani inafanana?

    Kitendo cha serikali kuweka Somo la DIVINITY kwa wakristo wote ni kuwakosea wakristo,>imani zao ni tofauti sana, wapo wanao abudu sanamu, wapo wanao heshimu sanamu, wapo wakristo wnaopinga kuabudu na kuheshimu sanamu. Wapo wanao amini roho mtakatifu na wapo wanaokataa kabisa, wapo wanaosali...
Back
Top Bottom