imekaaje

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Imekaaje Bill Gates alivyofukuzwa Microsoft, kampuni aliyoianzisha mwenyewe?

    Inakuwaje wanaJF! Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke wake Melinda. Sababu zenyewe za kumlazisha a jiuzulu ni nyepesi sana halafu za kipuuzi kwa mtazamo...
  2. Je, Katiba yetu inamruhusu Rais Samia kukaa miaka 15 Ikulu?

    Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu? Maana: Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15. Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa. Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa...
  3. Morogoro: Kuna sehemu kunajengwa msikiti mkubwa unaopakana ukuta na kanisa, Je hii imekaaje?

    Manispaa ya morogoro Kuna eneo nadhani ukitoka hospital kubwa Kama unaelekea bigwa Kuna sehemu mkono wa kulia Kuna kanisa Kama sio yehova ni sabato; kanisa Hilo linapakana ukuta tu na eneo linapojengwa msikiti mkubwa Sana. Sasa naomba mamlaka husika za kiserikali zitolee ufafanuzi kwamba...
  4. R

    Tundu Lissu: Tusaidie kisheria imekaaje hii

    Zimenunuliwa ndege kwa mikataba ya kificho. Kuna na mikataba mingi tu imefanywa kwa kificho. Hoja ya msaada wako ni hii: 1. Kwa sheria za kimataifa (maana za ndani haiwezekani) Mtanzania ambaye ana maslahi na pesa zinazotumiwa katika kununua ndege hizo, hawezi kufungua kesi/mashitaka katika...
  5. L

    Hii imekaaje? Clouds Radio na EFM kuendesha kamari katika vipindi vyao?

    Kumekuwa na tabia watangazaji wa vipindi vya redio Clouds na E.fm kuchezesha kamari katika kila vipindi. Kwa nyakati tofauti watangazaji hao wamekuwa wanawashawishi wasikilizaji wao wawe mamilionea kwa kuwaambia watume pesa kwa namba wanazozitaja huku wakitaja dau. Mwisho wa vipindi huwapigia...
  6. M

    Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

    Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa. Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na...
  7. Hii imekaaje

    "Mwanamke mmoja wa kizungu aliniomba urafiki huko Facebook, nikakubali na akaruka inbox siku hiyo hiyo. Alijitambulisha kwa jina la Dkt.Christina kutoka London, Uingereza. Akasema yeye ni daktari bingwa wa magonjwa ya watoto katika hospital kubwa huko London. Pia anapenda kumtumikia Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…