Bingwa yeyote humtazama adui na kumdhoofisha nguvu zake! Miaka yote ambayo ccm ilikung'utwa sana majimboni zilitumika mbinu za kijasusi kuwafarakanisha 'na kuwatafuta wale ambao ni turufu yao kubwa waje upande wa pili ili kuwapandisha presha na kunogesha mpambano ,hapa haihitajiki Tena cv ya mtu...
Kuwa Introvert iko personal zaidi ila social anxiety iko mental zaidi.
Yani mtu anaweza kuamua kutokuwa na ukaribu pia anaweza aka -develop tabia tangu utoto kwa maana akiwa namna hii hujisikia amani ndani yake. Hivyo inakuwa sehemu ya style yao maisha, lakini kwa baadae pia anaweza akabadirika...
Lissu ameanza kampeni kabla ya wakati.
Kama sio huruma ya uongozi wa Chadema basi anastahili kukatwa jina lake maana ni mtomvu wa nidhamu na much know.
Lissu hufati sheria na kanuni za chama kazi yako ni kuropoka kila siku unataka ukae kwenye camera. Sasa umaejiweka kwenye mtego wa kukatwa...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI.
Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara.
Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
Naitwa bora Simon Joseph natafuta muwekezaji awekeze coaster yenye dhamani ya 50ml anipe mkataba wa miaka 3 yaan miez (36)nalipa 2.4 kila mwezi kwa mawasiliano na maelezo zaid 0764764214 napatikana dar es salaam
Hello wakuu,
Inahitajika TV ya kununua bei ndogo inavyowezekana, kuanzia inch 32 na kuendelea, used or mpya bajeti ni 200,000 hadi 300,000/=
Location: Dar es salaam
ikipatikana hadi kufikia kesho ntashukuru sana.👏
Natafuta mtu anayemiliki app iliyopo playstore ili aniuzie google console yake kwa milioni 2 (2,000,000).💲💲
Ikiwa utaniunganisha na mmiliki wa console na akaweza kuniuzia nitakupatia laki 1 (100,000) 🤑🤑🤑
☎️👉 0711707070
Sifa za account
1.Iwe na zaidi ya mwaka tokea isajiliwe
2.Iwe na app...
Kwa kuwa latra wameshindwa kusimamia bajaji na bodaboda japo wanawapa leseni, kuna uhumuhimu wa kuwa na chombo cha kudimamia hawa vijana maana wasipo simamiwa na janga la taifa.
Bajaji na bodaboda wanafanya kazi nzuri sana hasa maeneo ambayo mabasi na usafiri mwingine haufiki. Pia wanafanya...
Habari zenu
Ndugu zangu nina ofa ya mil 15.7 (hela hii pamoja na udalali kama una wewe ni dalali unaeuza) cash nahitaji mwenyewe moja kati ya gari hizo mbili ambazo ni Toyota Vellfire au Toyota Alphard (model mpya)
Sio lazima iwe namba E lkn ikiwa D basi iwe ya mwisho mwisho au hata E ya mwanzo...
Habarini wadau wa JF!
Naomba ushirikiano wenu kwa mtu ambae atakuwa anajua sehemu yenye one bedroom apartment yaani chumba, sebure choo ndani na stoo pia kiwe ndani fensi, eneo liwe karibu na barabara kuu na pia liwe linaingilika ata wakati wa mvua kubwa.
Itapendeza zaidi ikiwa maeneo ya...
Najua wengi mnapambana na hii roho huoo kwenu
Kuna mdada khangu yaan kalijitunza kakaolewa
Kakazaa sasa kakachika kanagawa hatare mbaya kalishachika kakarudi hme wazazi wakiwemo
Kakabadili dini kakavutwa na kakazetu wenye ruksa wa4
Majuzi amerudishwa na mamboyetu talaka
Nahisi anapoelekea...
Wasalaam waungwana.
Kwa unyenyekevu mkubwa sana, ninapenda kuwasilisha ombi langu rasmi la kuhitaji msaada wa kupata Gear box ya
Volkswagen Polo 2008 ABA-9NBUD
Namba ya Gearbox ni: V W AC AW5 096 321 107 AL SI 9CU JK
Nipo Dar es Saalam.
Ninahitaji kwa ajili ya kuinunua.
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.