Hello bosses and roses....
Nahitaji Apple Mac mini m1, kwa anaeziuza au anaefahamu zinapopatikana hapa Tanzania naomba anijulishe.
Note: inahitajika ikiwa mpya sio USED
Ahsante
Dukani bei yake si rafiki, kama kuna mtu anayo labda nyumbani kwake au kwenye gari lililokatwa screpa naomba tuwasiliane , pengine naweza kuipata kwa bei rafiki zaidi kuliko dukani inakopigwa AC na kulipiwa kodi kila mwezi 😂😂
Tafadhali kwa mwenye pc yaina tajwa hapo chini anicheck.
Core i3
RAM 4G
Hard drive: 1t
Inaweza DELL,HP au Lenovo. nikipata price ya hizo aina zote itakuwa sawa.
Nahitaji water bowser iwe imetengenezwa China, Faw, Sacman, Howo etc.
Iwe na uwezo wa kubeba lita 20,000 na zaidi. Pia iwe kwenye hali nzuri.
Njoo na offer yako.
0767/0717-45 44 55
Kwanza niseme mimi siyo wa kwanza kuwalalamikia hawa Bodi ya Mkopo Elimu ya Juu (HESLB). Ukiingia ATM uka-command kutoa pesa, ukapewa risti na pesa isitoke. Ukiingia ndani au ukapiga simu pesa yako inarudishwa muda huo huo.
Lakini hawa HESLB wanakata wanufaika wa mikopo Elimu ya juu kwa miaka...
Habari zenu wakuu,
Nahitaji kukodi gari zifuatazo, kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale ndani ya jiji la Dar es Salaam.
Yoyote mwenye moja kati ya hizi gari au zote kwa pamoja naomba aipost gari hapa tujadili au anicheki kupitia +255627315218 niione gari, kisha tuanze jadili gharama na...
Habarini wakubwa kwa wadogo, natafuta gari ndogo ata ikiwa namba A iwe ni corolla, carina n.k nitakayoweza kuingia mkataba kwa malipo ya awamu ili iwe naifanyia kazi, kwa mawasiliano zaidi 0688066177 ahsanteni.
Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya
Bajeti: laki saba Saba Kila Moja
Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane.
Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu
Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu
Karibu
Wakuu kherii!
Inahitajika gari tajwa hapo juu.
Iwepo dar.
Iwe rangi nyeusi.
Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara.
Nicheck 0747282028
Inahitajika gari ya kukodi box body kwa AJILI ya kusambaza mizigo kutoka Godown kwenda sokoni.
VIGEZO
1. Gari iwe na dereva wake.
2. Dereva atalipwa na mwenye gari.
3. Tani 3.
4. Gari itakodiwa kwa mwendelezo na malipo ni kila baada ya mwezi.
5. Kiwango cha siku ni makubaliano kutegemea na...
Wapendwa
Kuna dogo amemaliza Degree ya Ualimu ( Arts- Kiswahili & History)
Kama kuna mtu anaweza kumuunganishia kazi; karibu Inbox tuyajenge
Mwenyewe Yupo Dar ila anaweza kwenda mikoani kulingana na offer
Nataka upcoming architect anichoree ramani simple ya nyumba ya mkoani huko. Vyumba viwili kimoja master sebule, jiko choo cha master na public.
Sina budget kubwa.
Njoo dm na proposal yako tusaidiane.
Habari zenu
Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba.
Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.