Wakuu habari ya uzima?
Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
Habari zenu wakuu,
Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo.
Katika kutekeleza mpangokazi wangu wa mwaka 2020/2021 nina mpango wa kufungua ofisi maeneo ya kurasini (Along Nelson Mandela au...
Habari za leo wanaJF,
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Goba ama Mbezi Africana/Luis yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala, choo, sebule, jiko na dining.
Umeme uwe wa kujitegemea, maji, pamoja na ulinzi salama.
Bajeti yangu mwisho ni 200k TZS, na ninahitaji ya mkataba wa kuanzia kwa miezi...
Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama.
Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya...
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Toyota Wish au Toyota Volt basi mteja ushampata.
No C/D
Wasiliana na mimi kwa sms/whatsapp/ call 0699494650
DSM
Update1
*Nahitajii raum au ist namba d offer ya mteja million 6,
Whatsap picha 0699494650
Kwamba eti ukiwa unaendesha Gari, umebeba Watu/ Abiria na uko mwendo mkali sana ( bati kinoma ) kisha ukaona Mtu anakatisha mbele yako iwe kwa Miguu au akiwa katika Baiskeli au Pikipiki 'Sheria' inakuruhusu kuwa kuliko 'Kujihatarishia' Maisha yako na ya wale 'uliowabeba' basi 'uwagonge' na...
Habari zenu wadau, kama kuna mtu anahama hivi karibuni maeneo ya Makumbusho, Ubungo, Kijitonyama na maeneo ya karibu naomba anicheki.
Kama kodi imebaki miezi kadhaa tutamlipa.
Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania.
Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa, jana nilipigiwa simu na binti wa pale kijijini kwetu kamaliza form 4 akapata DIV III ya 25 bahati...
SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya virusi vya corona viwanjani.
Katika mchezo huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...
Habari za jioni wakubwa na wadogo.
Naomba kuzamia kwenye mada
Nahitaji gari kwa ajili ya mizunguko ya hapa na pale kwenye mkoa wa Singida si unajuwa tena kipindi cha kampeni, gari hiyo ikipatikana itafanya kazi mkoa wa Singida ila anaeitaka kwa sasa yupo Kahama unakuja nyumbani mnaweka mkataba...
Hili ni swali ninalompelekea IGP Simon Sirro, kwamba Ili RPC aonekane ameshindwa kazi ya kulinda usalama wa Raia na mali zao kunahitajika uhalifu wa kiwango gani utokee?
Jana ni Lissu, leo ni Mbowe, kesho ni nani?
Ili ionekane RPC kishashindwa kazi ni kipi kinatakiwa kitokee, na je ni Umri upi...
Nianze kwa kuipongeza serikali na mamlaka husika kwa kutilia mkazo suala la kuweka vifaa vya kunawia mikono karibu katika maeneo yote ambayo watu wanaingia. Utekelezaji wa hili umekua mkubwa na kwa sasa maeneo mengi sana wameweka vifaa vya kunawia mikono.
Kilichofanya niandike uzi huu, ni...
Habarini za muda huu, naomba kujuzwa ni duka gani Dodoma, morogoro au iringa na weza kupata simu za samsang s10+,S20 na S20+. Kwa moja ya mikoa twajwa ,shukran kwa details n PM.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.