Habari za leo wanaJF,
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Goba ama Mbezi Africana/Luis yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala, choo, sebule, jiko na dining.
Umeme uwe wa kujitegemea, maji, pamoja na ulinzi salama.
Bajeti yangu mwisho ni 200k TZS, na ninahitaji ya mkataba wa kuanzia kwa miezi...