DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ...............
(retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi.
..
Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
Pengine ni sababu ya kutumia muda mwingi kuzunguka Duniani. Nchi mbalimbali. Leo nilikuwa naangalia Ramani sijui nchi gani sijafika... Mbinguni tu ndo bado. Nmeshazunguka karibia Dunia nzima.
Hivi pale kwenye lile daraja la kigamboni gari huwa wanacharge kwa kuangalia thamani yake au inakuaje...
Said Ibrahim Stawi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), Tawi la SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), ambaye aliachishwa kazi kwa kile alichodai ni harakati zake za kupigania maslahi ya wafanyakazi kiwandani hapo amesimulia...
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
Ni dhahiri sasa kwamba Mh Rais alidanganywa na kuambiwa mambo ya uongo , kwamba kabla ya kukamatwa Mbowe alikimbilia nje ya Nchi baada ya kupata taarifa kuwa miongoni mwa watuhumiwa kwenye kesi hii wamekwishahukumiwa kifungo jela baada ya kukiri makosa yao ya Ugaidi .
Mh Rais alitoa kauli hii...
Habari Wakuu,
Leo 09/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake...
Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
Boss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels...
Ku-share data/taarifa binafsi imekuwa muhimu katika kufanya kazi zetu za kila siku na kushirikiana na watu wengine katika jamii.
Mwingiliano wetu na mashirika na taasisi mbalimbali unahusisha ubadilishanaji wa data/taarifa binafsi.
Hizi data/taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokuhusu, iwe...
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani.
Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati
Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda...
Nimefuatilia trend ya huduma za internet kwa mitandao kadhaa na kusema kweli hali ni mbaya na ya kusikitisha sana.
Kwa miaka kadhaa sasa, Serikali imejaribu mbinu mbalimbali za kubana uhuru wa watu kuongea. Siku za nyuma watu walikuwa wananyakuliwa kutokana na post zao. Lakini mbinu hiyo...
Nikiwa kama mshabiki wa simba nawapa pole wote mnaoshindwa kununua tiketi za Jumapili, msiwe na wasiwasi ikifika Jumatatu wahusika watarudisha system yao vizuri
Mwaka jana walifanikiwa ku frustrate wanunuzi wa tiketi na mwaka huu bado siku mbili jamaa wanaupiga mwingi sana hadi sasa huku kina...
Makaburi Kinondoni yamekuwa yakihujumiwa makusudi ili iweze kupatikana nafasi ya kuzika tena.
Leo nilitembelea makaburi hayo asubuhi kwa ajili ya kuangalia maendeleo ya ndugu yangu aliyelazwa kwenye makaburi hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.