Said Ibrahim Stawi alikuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), Tawi la SBC Tanzania (Kiwanda cha Pepsi), ambaye aliachishwa kazi kwa kile alichodai ni harakati zake za kupigania maslahi ya wafanyakazi kiwandani hapo amesimulia...