ingekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Yanga ingekuwa ni CHADEMA ndiyo wanazuia CCM kufanya mkutano wao kingetokea nini?

    Nimeangalia Clip Moja inayoonesha jinsi makomando wa Yanga walivyokuwa wanazuia timu ya Simba kuingia uwanja wa Mkapa kufanya mazoezi usiku wa Jana ikanifikirisha Sana. Pale kwenye eneo la tukio kulikuwa na Polisi lakini walikuwa nao kama ni waangaliaji tu wa purukushani ile. Nikawaza ingekuwa...
  2. Wanayopitia Man City & Man U ingekuwa Yanga au Simba sijui ingekuwaje?

    Jinsi Simba na Yanga zinavyoendeshwa kisiasa, hali ya uduni wa uchezaji na uhaba wa matokeo ya ushindi wanayokumbana nayo Manchester United na Manchester city, ingekuwa Kwa timu hizo za Kariakoo sijui ingekuwaje🤔 Mawaziri mpaka Rais angeingilia kati. Simba na Yanga zinaua Mpira wa Tanzania kwa...
  3. D

    Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  4. Mashabiki wa Simba na Yanga Wangekuwa Wanaijenga Nchi, Tanzania Ingekuwa Singapore: Taifa la Wapumbavu wasioelewa dhana ya Vipaumbele

    Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa. Wanavalia jezi, wanajichora...
  5. Kama tungemsikia Luhaga Mpina na wenye viwanda, leo kilo ya sukari ingekuwa zaidi Tsh 10,000/=

    Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
  6. Tanzania bila wachaga ingekuwa nyuma sana kimaendeleo

    Habarini! Kama ni mtu uliyezunguka angalau robo tatu ya hii nchi na ukiangalia biashara kubwa kubwa zinazoingiza mapato ya pesa nyingi serkalini basi kama siyo mmiliki ni mchaga basi wachaga hao hao kwa kiasi kikubwa wanachangia kwenye mzunguko wa hyo biashara kwa kufanya manunuzi ya Hali ya...
  7. Walugaluga crew - Ingekuwa soo

    Tunaendelea tulipoishia diss track za sister p kuhusu ngoma ya mwana fa na jay moe " ingekuwa vipi.? Leo tunakutana na clew ya " walugaluga crew " na ngoma yao inaitwa "ingekuwa soo" Unaweza kuona kama majina hapa idea zinafanana twende kwenye maada.. Sehemu ya majibu ya Walugaluga clane...
  8. R

    Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM ingekuwa inagombewa Wasira angepata kura au kuthubutu kugombea?

    Mitandaoni watu wote wanaonekana kutokukubaliana na Mzee Wasira 80yrs kuendelea kuwepo kwenye nafasi za juu za uongozi wa chama. Its like siyo maono ya wana CCM kuwa na viongozi hawa tena kwenye ngazi muhimu kama hizi kwani wanaleta mkwamo wa fikra kwa Gen Z ndani ya chama. Ushukuriwe utaratibu...
  9. Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

    Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima! Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali! Magorofa makubwa na mall pamoja...
  10. D

    Kama sio hujuma za kina Gamondi, Yanga ingekuwa top two kwenye kundi lake

    Yanga iliyumba kwa hujuma tu. Hii ndio ndio Yanga na walipaswa kuwa vinara wa kundi. Tunawaombea wazidi kufanya maajabu, kazi iliyombele Yao sio ya kitoto.
  11. Pesa ingekuwa msanii ingetutungia dis track mbaya kuliko ile ya 2pac

    Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
  12. Sipatii picha hio outrage ingekuwa vipi kama ndio single father angemuachia boda boda mtoto wake kupelekea maafa yake.

    Nakuambia hadi vyama vyote vya wakina mama wangepiga kelele karibia mwezi mzima. Wakina jackline na tv showz na hawa wabunge wa nafasi maalum wa kike bungeni.. "Ooh hayo ndio matokeo ya kuwatesa wanawake mnakataria watoto alafu watotonashindwa kuwalea" Lakini imewatokea kwa single mother...
  13. Iran ndiyo ingekuwa Israel, Ritz na FaizaFoxy wangekuwa wanajidai hao

    Kwa bahati mbaya Iran haina uwezo huo, jambo hili linamuumiza sana Ritz bila kusahau bibi FaizaFoxy Mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran imedufuliwa mpaka Iran imekuwa kibogoyo yani Iran ikiambiwa sema Ubwabwa inasema Wawa maana meno ya mbele yamedufuliwa yote. Aah Israel ni Israel tu, yani...
  14. Bien Sauti Sol: Wasanii wa Tanzania wangewekeza kwenye Singeli kama Amapiano, kushinda Tuzo ya Grammy ingekuwa rahisi sana

    Mwimbaji hodari kutoka nchini Kenya Bien-Aime Baraza amesema, Wasanii wa Tanzania wangeweka nguvu na bidii kwenye muziki wa Singeli kama ambavyo waliweka bidii kwenye Amapiano, basi muziki wa Tanzania ungekuwa umeenda mbali sana. Bien alienda mbali zaidi na kusema, hata kushinda Tuzo ya Grammy...
  15. Waafrika kujikuta tunaishi Afrika Wala si Bahati mbaya,ni sahihi kabisa na tena tushukuru

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kuna wakati huwa nalaumu sana lakini kwakuwa nina IQ kubwa,nimekuja kugundua sisi waafrika kujikuta tupo kwenye hili Bara la Afrika,ni jambo ambalo inapaswa Tushukuru usiku na mchana! Bara la Afrika ni bara ambalo linaendana sawia na akili ya...
  16. Leo ndîo ingekuwa Siku yangu kufanya usaili lakini utumishi wamenikatili

    Utumishi Wana loho mbaya Sana. Walijua nitapasua. Nimekeleka Sana. bakini na ajila zenu. Mtu amejianda Zake vidhuri hamtaki kuona. Bakini huko
  17. K

    Pre GE2025 Kama kweli CCM ingekuwa inabebwa na Tume Huru ya Uchaguzi, tungeshuhudia...

    Kwa kuwa tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ndio yenye jukumu la kuratibu na kusimamia zoezi la Uchaguzi Tanzania basi kwa mamlaka iyonayo kama kweli ingekuwa inaibeba CCM, tungeshuhudia : Tusingeshuhudia mahali popote upinzani wakishinda kwenye sehemu yoyote lakini kwa sababu tunaona ushindi wa...
  18. Hivi ndivyo airpot ya bongo ingekuwa kama usingekuwa kuna ulinzi.

    ******
  19. Yanga ingekuwa na dini yakee hata wach tungepiga hela sana

    Mungu fundi kweli Wacha tuendekee kuishabikia tu Nawaza haka katimu kanavyotrsa watu hivi Laiti inggekua na dini yake nahisi wach wangepiga hela sana Wacha kabaki hivihici
  20. IGP Wambura hali ya Usalama nchini ingekuwa Shwari Kibao angeuliwa vibaya na akina Sativa yangewakuta? Huoni Aibu Kudanganya BBC?

    Nasikiliza sasa BBC Dira ya Dunia na nimekusikia katika Teaser yao ukisema kwa Kujiamini kabisa na ukiwa huna haya (aibu) ukisema hali ya Usalama kwa sasa nchini Tanzania ni Shwari na ukiwapongeza Maaskari Polisi wako. Hovyo kabisa Wewe na Umetuaibisha sana wana Mkoa wa Mara (Musoma) wote kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…