ingekuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Tanzania ndiyo ingekuwa Norway tungekufa tunajiona

    kuna nchi japo na ufinyu wao wa rasilimali kama ardhi ila wanatumia walicho nacho kwa akili zao wote. Nchi ya norway kuna season inakumbwa na giza saa 24 yani hujui usiku wala mchana na muda mwingine jua linawaka usiku sio mchana. Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali...
  2. R

    Kwa Mfano Ndege iliyoanguka ingekuwa ni Ndege ya Adui kutoka Taifa jirani ingechukua Muda gani kukabiriana nayo?

    Wakuu nimejaribu kuwaza kiusalama zaidi. Mungu si athmani hii iliyoanguka na kuchukua muda mrefu kuokolewa kama ingekuwa ni ndege ya kivita kutoka kwa maadui wetu jirani. Kwa mfano lakini. Ingechukua muda gani kukabiriana na adui huyo? How fast is our rapid response teams for any aspect of...
  3. Swahili_Patriot

    Ingekuwa wewe ungelipia?

    Hiki kisa hakikunitokea mimi ila mtu wangu wa karibu though sio sana. Kv aliopoa chura fulani mweupe mwenye wowowo, nadhani ni mwanafunzi wa Mlimani na kwenda naye guest house. Baada ya kujiridhisha kuvutiana appetite, Kv akamuomba mwanamke cd then wakaanza mechi. Kv akiendelea na ukunaji...
  4. aka2030

    Baada ya video ya "Nikupe nini" ni muda sasa wa kutoa video ya "Ingekuwa vipi"

    Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi, Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu. Pia itawajengea kufahamika na kizazi...
  5. Mganguzi

    Hao ni vipers vipi ingekuwa RS berkane au Al masry ya misri?

    Najiuliza tu mechi ya Leo vipi ngekuwa ni caf champion league,.yanga walishapigwa tayari ,
  6. N

    Picha: Natamani hii ndio ingekuwa jezi ya Simba. Kali sana

    Hizi fans concepts huwa ni kali sana ila siku ya mwisho unashangaa watuwanakuja na utopolo wa kutisha kabisa, i like this one tamu sana
  7. Idugunde

    CHADEMA haipo hai kama mnavyojidanganya. Ipoipo tu kama ilivyo ili kutimiza matakwa. Kama ipo hai ingekuwa na nguvu ya umma

    Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao. Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii. Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
  8. Nyuki Mdogo

    Je ingekuwa ndio wewe ungefanyaje?

    Usikubali kutoa jibu pekeako😅😅😅 mi nasema nisingewapelekea bana si nimeshakula mboko zao!! Hii hela kesho yake naenda kuila na Joanah kimya kimya mtaa pili
  9. M

    Tanzania ingekuwa na 'Serious Opposition' hili la Wafanyakazi kufanywa Mazuzu wa kutopandishuwa Mishahara ingekuwa ndiyo Turufu yao kuingia Ikulu

    Yaani Matapeli ( wa Vyeti Feki ) wanapewa Vipaumbele kisha Wafanyakazi kila mwaka wanafanywa tu Mazuzu na bahati nzuri hata na Wao wamekubali kuwa Mazuzu kwa Gharama za Kuwaweka Wanasiasa Waigiza Filamu Madarakani. Kuna Bomu Kubwa tumeshalitengeneza ndani ya Watendaji wa Serikalini kutokana na...
  10. Analogia Malenga

    Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  11. Unique Flower

    Kwa wanaopenda mashepu: Je, huyu ndiyo ingekuwa umeweka ndani ingekuwaje?

    Mambo zenu? Huyu ni mdada wa Kisauzi ambaye aliuzika huko London na Ufaransa na baadaye akafia Ufaransa. Ila je, kama hii kitu ni yako ungeichunga au ungeifanyaje? ----- Soma: Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa
  12. Fursakibao

    Mama Ndie Amesababisha Dreamliner Kuingiza Hasara ya Billionii 23.6

    Habari za mda huu wadau. Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL. Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H...
  13. N

    Ingekuwa Mo Dewji kadhulumu kiwanja wachambuzi makanjanja yangeshuka naye jumlajumla

    Pongezi sana kwa club ya simba kwa kukataa kutoa bahasha za khaki kwa haya MACHAMBUZI FEKI yenye njaa hadi kwenye unyayo..akili zao ni kisoda sana .... Najaribu kupata picha kwamba Mo Dewji ndiye ana kesi ya kiwanja na Daud Bashite sijui ingekuwaje huko Ukanjanjani, redio zingewaka moto kipindi...
  14. sky soldier

    Angekuwepo Trump, Afghanistan ingekuwa chini ya Taliban? Kungekuwa na hii hali inayoendelea huko Ukraine / Russia?

    Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo aliyoyapa kipaumbele ni kupunguza misuguano ya uadui na kujikita zaidi...
  15. Nyuki Mdogo

    Ingekuwa mama yako ndio anafanyiwa hivi ungechukua hatua gani?

    ona hapa jamani
  16. M

    Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu: 1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo, Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai...
  17. GENTAMYCINE

    Tanzania ingekuwa na 'Strong Media' Kauli ya Spika Ndugai ingeeleweka vyema kwa 'Public' ila tuna 'Rotten Media' yenye 'Kujikomba' kwa Rais

    Kama ni Rais huyu huyu Samia Suluhu Hassan alishasema katika moja ya Hotuba yake Kubwa kuwa Watanzania tusiache na wala tusiogope Kumkosoa leo hii Spika Ndugai nae katoa Maoni yake kwanini aandamwe na aonekane Mkosaji Mkuu? Moja ya Kazi Kuu ya Media inayojitambua ( Siti hii yetu ya Waswahili )...
  18. F

    Kati ya Hekima na Fedha Kipi ni Muhimu Kuliko Kingine?

    Ingekuwa Mungu anawauliza vijana wa leo wachague kati ya Hekima na Fedha unadhani wangechagua kipi? Mfalme Sulemani akiongoza kikao cha Baraza la Wakeze. Taswira kwa hisani ya google.
  19. S

    Mnaoidharau TMA someni hapa, ndio mjue bila TMA, hata ujio wa ndege za kimataifa ungekuwa wa mashaka na hata Watalii kuwapata ingekuwa mtihani

    Nimesoma thread moja hapa JamiiForums watu wanaiponda TM. Nachowaambia hawa watu waachei kudhrau kazi za watu bila kufanya utafiti wa kutosha. Tambueni, mbali na huduma zingine, unaporuka na kutua salama kwa ndege hapa nchini, TMA inahusika pakubwa. Soma hii: Habari Imewekwa: Jan, 16 2021...
  20. K

    OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
Back
Top Bottom