Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kujiona wewe ni mungu, ni mkubwa sana.
Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile.
Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano.
Unaweza ukajiona...
Habari wadau....Hawa Azam fc walichukulia poa sana CAF champions league mapema tu wamerudi nyumbani, ikiwapendeza sisi Simba watupe Feisal na sillah kwakuwa hata kwenye ligi msimu huu watashika nafasi ya tatu tunashida na hao watu wawili tu kutoka kwao. Nawapa pole wanarudi kinyonge sana
Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu.
In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na macho ya watu wala huwezi kuwa na creativity za kusisimua.
Angalia jinsi filamu za kikorea...
Kwa namna mja au nyingine mwanamke bila mwanaume hakuna mtu au binadamu.
Mwanamke ananafasi kubwa kuifanya dunia iwe hapa ilipo leo.
Hii picha haimaanishi jambo baya mimi kama mwanamke naona kabisa ningeishi kwa amani na mume wangu mmoja.
Hata huyu mwanaume angishi maisha marefu tu. One...
Hii Treni ya Sgr ingepita Karibu na miji Midogo ya Mdaula, Chalinze, Mlandizi na Kibaha Ingekuwa fursa kubwa sana kiuchumi na Watu wengi wangeishi katika miji hii na kufamya shughuli zao Dar es Salaam kwa Urahisi sana Sijui kwa nini Wenye maamuzi hawakuliina hili
Hii tabia ya kupitisha treni...
Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini maovu yanaendelea, je ingekuwaje kama dini hazikuwepo kabisa? Inamaana maovu yangezidi na hakuna wa...
Jana au juzi Hersi ameulizwa kuhusu Aziz kuendelea kuwepo yanga ama ataondoka na akajibu vema TU kuwa mazungumzo yanaendelea na Aziz bado hajasaini huku jibu lake likionesha wazi kukata matumaini ya kumbakisha jangwani Aziz (kwangu mi sio shida maana ni kawaida wachezaji kupitia tz sababu sio...
Friends and Our Enemies,
Bila shaka madai ya Mchungaji Msigwa kuondoka na Kutimkia CCM ni Yale Yale ya siku zote ambayo makada wengine wamekuwa wanayatoa pindi tuh wanapoamua kumwaga manyanga,siyo mapya...point ni zile zile ..nakumbuka enzi zile tunasoma history swali likija Majibu ni Yale...
Moja kwa moja kwenye kiini.
Jana nimepokea simu kutoka kwa jiran yangu mahali nilipokuwa naishi.Jamaa ni mtu mzima anakaribia 47 ni vile tu anajitunza na hela ya kula haimsumbui kwa hiyo anaonekana kijana ila ni old school na pia alichelewa kuoa kutokana maisha yalimchelewesha. Ana mtoto wa...
Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe
Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
Ndugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia katika vyama hivyo nafikia hitimisho kuwa kama siyo uwepo wa CCM Madarakani basi Taifa hili lingekuwa...
Bado serikali yetu jambo ambalo nafikiri linawasumbua moja ya kukosa mapato makubwa ni real estate ambazo lile wazo la majengo ya urafiki dar es salaam lingeendelezwa lingekuwa msaada mkubwa ya watu kutofikiria ugumu wa nyumba za kupanga.
Ni vizuri kuwa mliweka NHC ila yenyewe imekuwa kama...
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.
Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
Bayer Leverkusen yatwaa ubingwa. Mashabiki wameingia kusherehekea na wachezaji.
Amani imetawala iko shwari. Ingekuwa bongo hiyo simu ya huyo mchezaji sasa hivi ingekuwa wapi?
Mwenendo wa Timu hii kwa sasa hauridhishi , na kwa kweli ni kama wameamua kwa makusudi kutudhalilisha sisi mashabiki na wanachama wake .
Kila tunapopita tunachekwa na kunyooshewa vidole , huko maofisini hali ni mbaya zaidi , kuna wakati matokeo ya timu yetu yanasababisha baadhi wasiende...
Kuongoza nchi si kitendo Cha kusema tumpe nani nafasi tujaribu kuona atafanya nini ila kitendo Cha kuwa na Imani nani kabeba matarajio ya wapiga kura na wananchi Kwa ujumla.
Vyama vya upinzani Bado ni vichanga kiuongozi na ni mapema mno kutaka kuaminiwa Kwa Urais nafasi inayoamua hatima ya...
Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani.
Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995.
Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale...
Kuna vurugu CCM Mara ambazo zinasababishwa na watu kukitafuta kiti cha ubunge cha 2025. Kwa hiyo inatokea hali kwamba watu wanatukana,pia hawasiti kushambuliana kwa silaha.
Ni jambo baya. Kama alivyokuwa anasema Mhe.Kiboye,"Sisi wore ni CCM,kwa nini tunagombana.?"
Nawaomba hawa watu watanzue...
Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji.
Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.