Wabari wakuu,
Nimekuja kwenu na swali la kusindikiza 77.
Ikitokea umempa kazi fundi, inaweza kuwa kukujengea kibaraza nyumbani, kukushonea nguo, kutengeneza kabati, kurekebisha gari lako nk halafu fundi akazingua, tuseme kazi ilikuwa ya wiki mbili, siku ya kukabidhi fundi hajafanya chochote...