Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari.
Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo kachumbari unafakamia. Magonjwa mengi sana yanaenea kwa mtindo huu.
Amiba, vidonda vya tumbo, typhoid...