Olesya Krivtsova (20) yupo kwenye uangalizi maalum akituhumiwa kuhusika kwa ugaidi baada ya kuweka maudhui katika ukurasa wake wa Instagram akiikosoa Serikali ya Urusi kwenye vita dhidi ya Ukraine.
Amefungwa kifaa mwilini ambacho kinaonesha mwelekeo wake popote alipo akifuatiliwa na Polisi...
Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani.
Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli.
Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny ,
Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
Mtandao wa Financial Times umeripoti kuwa kampuni ya Meta Inc inajiandaa kutangaza iwapo itamruhusu Rais huyo wa zamani wa Marekani kurejea #Facebook na #Instagram.
#META imeunda timu ya Wafanyakazi wa Sera za Umma na Mawasiliano pia, kuna timu ya Maudhui ambao watajadili na kuamua kuhusu suala...
Ni kilichokuwa kikijiita Micky junior.
Naona wajuba wamesepa naye na mitandao yake haipo hewani tena na haijulikani kafanyaje.
Ikumbukwe, mara zote kalikuwa kakitumiwa na Babra kuiharibu image ya Yanga makusudi.
Profile visits ni idadi ya watu wanaotembelea ukurasa wako wa Instagram
unaweza kuangalia kupitia insights kufahamu kuhusu profile visits kupima maendeleo ya ukurasa wako
Ili kuwa na profile visits kubwa unapaswa kufanya mambo yafuatayo
BIO OPTIMIZATION
Hiki ni kitendo cha kutumia maneno...
Nimeliongea hili kwenye uzi wangu VYAMA VYA UPINZANI AZIENI HAPA... kuhusu ndoa ya CCM na Serikali ambapo hii akaunti inayojinasibisha kuwa ni ya serikali ikitumika kama eneo la kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za uongozi ndani ya chama dola
Akaunti ya Instagtam kwenye bio yake
Hivyo...
Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za Instagram zingegawanywa katika klipu za sekunde 15 lakini jukwaa linalomilikiwa na Meta linasema...
Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
naweka dau kwa mtaalam atakaye weza kunisaidia kuscrape followers katika account yenye followers 51k
kama unaweza tupatane PM kwa mazungumzo ya kina.
Asante:
Sehemu hii itakuwa inawezesha mtumiaji ku-repost post ambazo amezipenda. Mfano ukiona post ambayo unatamani kuonyesha followers wako, unaweza ku-report na itakaa katika profile yako upande mpya wa posts ambazo ume-repost.
Hii inafanana kabisa na “Retweet” ya Twitter.
Ku-share post ambayo sio...
Wakuu, naamini mmeakuwa na weekend njema, na mmeianza Jumatatu vyema. Back to me it was boring baada ya kukutana na hiki kisanga.
For the last six months nimekuwa mtu wa kusafiri safiri kidogo ndani ya hii Tz. Napenda sana kampani hasa maeneo ninayotembelea, hii imenifanya kujuana na watu...
Nimepata changamoto App ya Instagram haifunguki.
1.Nimejaribu kuingia kwenye settings na kuclear cache still ni vilevile.
2.Nikatoa App na kuinstall tena bado vilevile.
3.Nikazima simu na kuiwasha bado ni vilevile.
4.Nikajaribu kuinstall old version ya nyuma still bado haifunguki.
Mwenye...
Mathalani, kumekuwepo na madai ya kwamba mtandao mkubwa wa kijamii ujulikanano kama ''Instagram'' kunakili na kuiga vipengele mbalimbali vya mtandao mwingine unaukua kwa kasi na kupendwa na watu wengi maarufu kama ''TikTok'' ambaye ni mpinzani mkuu wa mtandao wa Instagram kwa kuzindua baadhi ya...
Katika msimu huu wa vifurushi bei juu. App zinazokula sana data ni pamoja na instagram
Yaani kumaliza GB MOJA NI KUGUSA!
Nimejaribu kusette data saver lakin naona kama haisaidii.
Je, wewe unafanyaje kupunguza matumizi?
Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote?
Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Habari wana jukwaa, samahani naomba kufaham jinsi ya ku-unfollow kwa pàmoja watu niliowafollow instagram maana niwengi nataka nibakishe wachache tu kama sio kuondoa wote kabisa. Binafs nimejarbu kuinstall apps playstore znazosolve ilo swala lakn imeshindkana nahitaj msaada wenu. Asanten
Bongo Movie actress Frida Kajala has raised eyebrows among her 6 million followers after unblocking and even following back her ex-boyfriend Harmonize after months of begging for forgiveness.
The Konde Music Worldwide CEO went public asking his fans to convince Kajala to unblock him on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.