Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu...
Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini..
Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz
#forgive me.
Sasisho jipya la Instagram linawataka wote wanaojiunga na mtandao huo wa kijamii kuandika umri wao, vinginevyo hawataweza kujiunga na mtandao huo.
Hatua hiyo mpya ya Instagram haitawaathiri wote ambao wamekwishajisajili kwenye mtandao huo, lakini itawalenga wateja wapya wanaojisajili, ikiwa na...
Kuna video iko insta kwenye reels ikimuonyesha live malaika mweupe anatoka wingu moja kwenda jingine angani huku watu chini wakipiga mayowe je ni video ya kweli? Inatisha
Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria.
Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?
Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo Dewji' leo Ijumaa 06 Agosti 2021, alionekana kukerwa na kitendo cha mchezaji nyota wa Simba Clatous Chama kumsifia aliyekuwa msemaji wa klabu ya Simba ndugu Haji Manara katika instagram live aliyokuwa akiifanya na mashabiki wake.
Mo...
Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
Utandawazi umekuwa mkubwa sana. Vijana wanapenda kuwa inspired na vijana wenzao ambao kimuoneokano na picha nzuri za Photoshop wanazo-post mtandaoni na kuonyesha mafanikio fake yanavyo waharibu vijana wengine. Na kuhisi kama vile kila anaepost picha kali Instagram au Facebook basi amefanikiwa...
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza Kiburi na huenda mkapopoteza ushawishi wenu kabisa ndani ya miaka mitatu ijayo.
Ukienda kutazama post...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs.
Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri.
Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 katika mkutano wa mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala Tanzania Bara na...
Habari wakuu.
Hivi karibuni nimeanza kutangaza biashara instagram. Kwa kweli kuna tofauti kubwa kati ya biashara inayotangazwa na isiyotangazwa ila changamoto ni nyingi sana. Mara hela usikatwe na wasilipromote. Mara waseme hawawezi kutangaza, wanafungia account nk. Changamoto ni nyingi na...
Hapa sizungumzii warembo maarufu kama kina mobeto ambao watu wengi tunawajua, nazungumzia mabinti ambao ni raia wa kawaida tu, followers hata hawazidi elf 1.
Wengi ni wadogo wa marafiki zangu ambao nimewafollow ama majirani, marafiki zao, n.k
Ni mda mrefu sana nimekuwa nakutana sana na likes...
Habari, I hope u mzima wa afya unavyopitia thread hii. na kama hauko poa, i pray urudi katika afya yako mapema.
To cut the story short, Leo nitaelezea jinsi ya kutangaza biashara yako kwa Facebook ads (matangazo ya Facebook), kama haufahamu Facebook ads ni nini basi fanya hivi :- Fungua...
Shirika linalofuatilia upatikanaji wa huduma ya intanet la NetBlocks limesema huduma ya intaneti kwa majukwaa ya Facebook, WhatsApp na Instagram imerudi nchini Ethiopia baada ya kukosekana mwishoni mwa juma.
Taasisi ya Huduma za Habari ya Ethiopia na Kampuni inayomilikiwa na Serikali ya...
Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.