instagram

  1. kjoo255

    Tatizo la ku access instagram na twitter

    Habari ndugu zangu, Mimi natumia internet ya Ofsini kwetu Ethernet/WiFi iliyowekwa na Internet Providers....tatizo ni kwamba huwezi kutumia mtandao wa Instagram na Twitter mpaka uwashe VPN. Naombeni msaada wa kutatua changamoto hii kama naweza kutumia mitandao hiyo bila VPN coz mitandao...
  2. warumi

    Fred Vunja Bei na Hamisa Mobetto wadaiwa kumwagana; Fred amu-unfollow Mobetto Instagram

    Wanaodaiwa kuwa Wapenzi, Mwanamitindo na Mwingizaji, Hamisa Mobetto na Mfanyabiashara Fred "Vunja Bei" wanadaiwa kumwagana. Ikumbukwe kuwa Mobetto na Vunjabei hawajawahi kutangaza wazi wazi kuwa wapenzi zaidi ya kupostiana kwenye mitandao wakiitana shemeji na pia kuonekana sehemu kadhaa za...
  3. Shadow7

    Kajala na Harmonize wameachana? Kajala afuta picha za Harmonize Instagram na kumu–unfollow

    Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya viashiria vya mazingira vilivyojitokeza. Taarifa hiyo imekuja baada ya Kajala Masanja kufuta picha zote...
  4. chief_

    Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram ilitoweka hewani, yarejea tena (19/03/2021)

    Tupeane updates... Ni makampuni ya Facebook pekee au! Au wamefanya yao 'wazee' ===== Mitandao ya kijamii WhatsApp, Facebook na Instagram yatoweka hewani muda huu. Mtandao wa Facebook ambao ndio mmiliki wa mitandao hiyo hawajatoa taarifa yoyote kwa wateja wao mpaka sasa. ===== Baada ya...
  5. sonofobia

    Account yangu ya Instagram imekuwa restricted, siwezi fanya activity yoyote

    Wataalam, nimefungua account ya biashara Instagram kwa ajili ya kupost matangazo yangu. Sasa tangu nifungue nashindwa kufanya baadhi ya activity nachoweza ni kusoma post za watu tu. Nilipofungua account nilianza kupost baadhi ya picha ila nikiweka captions hazionekani na nikirudia bado...
  6. Sam Gidori

    Facebook kuanzisha mradi wa kufundisha mfumo wake wa ufahamu bandia kwa kutumia video

    Kampuni ya Facebook imesema inaanzisha mradi wa kuifundisha mifumo yake kujifunza picha, video na sauti kutoka katika maudhui yaliyopo katika jukwaa lake. Mradi huo unaoitwa "Kujifunza Kutokana na Video" una lengo la kuufundisha mfumo wa Facebook wa ufahamu bandia (artificial intelligence...
  7. isajorsergio

    Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki

    Baada ya majaribio kadhaa sasa Facebook imeanzisha Instagram Lite rasmi Afrika Mashariki na takribani mataifa 170. Instagram Lite inakuja kama mtoto anayefuata baada ya Facebook Lite. Instagram Lite itachukua MB2 tu ya nafasi katika simu yako. Kupitia aplikesheni hii mpya utaweza kukomboa DATA...
  8. A

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads)

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads). Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
  9. isajorsergio

    Instagram yaanzisha "Live Rooms" sasa unaweza kwenda live na watatu

    Rasmi: Instagram imeanzisha "Live Rooms" sasa unaweza kwenda live na watatu. Kupitia live rooms utaweza kuendesha tukio mubashara huku ukiongeza watu zaidi, jumla ya watu wanne wataweza kuonekana kwa wakati mmoja. Unaweza kuanza na mmoja au zaidi au kubadili wakati ukiwa hewani (Host + 1 or 2...
  10. Sam Gidori

    Unaishiwa bando haraka? Fahamu namna ya kudhibiti matumizi yako ya data mtandaoni

    Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni. Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
  11. Kibenje KK

    Do you need Social Media manager?

    It is no doubt that SOCIAL MEDIA is fast becoming a part of our everyday day lives. Currently, over 50% of the world's population use social media. With the rapid increase of active social media users, you should figure out that social media is for your brand/business. The big question is...
  12. Mkogoti

    Msaada: nawezaje kuzifanya video za Instagram zisiplay zenyewe?

    Habari humu wadau wa jukwaa hili? Aseee naomba kujua Instagram niende wapi ili nikiwa naingia kuangalia video za mule zisiwe zinacheza maana naona bando linakuwa linaisha sana, yani niweke off kama inawezekana tafadhali 🙏
  13. sky soldier

    Inadaiwa kuwa Instagram inalazimisha Wamarekani kufollow page ya Biden bila hiari yao. Je, umaarufu ni lazima?

    Jipya limeibuka wamarekan kulalamika account zao za instagram kufollow account ya Biden bila ruhusa yao. Kwa tafiti zilizofanywa ni kwamba ilikuwa ni aibu kwa Biden kuwa na followers chini ya milioni 1 hivyo uamuzi wa haraka ilibidi ufanyike kuhakikisha kwa namna yoyote ile Biden inabidi apate...
  14. Kweli

    Tafadhali jihadhari na tapeli huyu wa Instagram!

    Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers. Lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa...
  15. isajorsergio

    Instagram yaongeza kipengele cha kuonesha picha ni halisi au imehaririwa

    Mtandao wa kijamii maarufu duniani kwa matumizi ya picha na video Instagram, yaongeza kipengele cha utambuzi picha endapo ni halisi au imehaririwa. Kipengele hiki kinaongezwa kuweka msukumo kwa watumiaji wachanga wa Instagram kuona si kila chenye kuonekana na mvuto ni halisi. Kipengele hiki...
  16. The Palm Tree

    Ni ajabu! Account za FB, Instagram na Twitter za Rais Donald Trump wa U.S.A zafungwa kwa muda usiojulikana

    Sasa ni wazi kabisa Urais wa Donald Trump unaisha kwa aibu na fedheha kubwa. Kitendo cha kuhamasisha wafuasi wake jana kuvamia jengo la Bunge la Congress (Capitol Hill) ili kuzuia bunge lisifanye kazi yake kumwidhinisha Rais Mteule Joe Biden (D) na makamu wake Kamala Harris ilikuwa ni ishara ya...
  17. isajorsergio

    Tatizo la upakiaji maudhui Instagram katika tovuti kupitia kompyuta

    Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?
  18. U

    Post ya Harmonize kuweka rekodi Instagram bongo

    Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram. Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku...
  19. True_garden_designers

    Kwa mahitaji ya mafundi wazuri wa garden watafute instagram kwa jina la true garden designers au wapigie simu namba 0687239674

    Kama unatafuta mafundi wa garden/bustani nzuri na zakuvutia kwaajili ya majumbani,maofisini,shuleni,hotelini n.k tutafute kwa namba za simu 0687239674,0717580898 WhatsApp/calls popote tunafika Tz kwa Sasa tupo Dar es salaam..na Bei zetu ni nafuu.
  20. M

    Aliniacha mwenyewe sasa hivi yuko busy kuangalia Akaunti yangu ya Instagram

    Niaje niaje. Moja Kwa moja kwenye mada, niliwahi kuwa na demu mmoja mkali sana, yaani yule manzi alikuwa ni mkali sana katika wanawake niliowahi kuwa nao wote yule demu bado ni namba mmoja .ila ALINIACHA vibaya Sana na Kwa kunionea yaani nilikaa miezi 3 sina appetite ya kula kitu chochote maana...
Back
Top Bottom