Habarini,
Nikiwa napitia Instagram stories sometimes nakutana na tags na nikitaka ku-skip nashindwa hadi liishe, tafadhali nisaidieni nifanyeje
Nawasilisha,
Nawategemea.
Moja ya habari kubwa inayogonga vichwa vya habari hivi sasa ni hii ambapo katika hali ya kushangaza, Ukurasa rasmi wa #Instagram wa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Franciscus umependa (ku-like) picha katika ukurasa wa mwanamitindo wa mavazi ya bikini, #NataliaGaribotto...
Habari wakuu.
Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako.
Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu tuliburuza sana aise bila shida yoyote maana hakukuwa na swagga za kuonekana wewe unamiliki simu kali...
Idadi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii Tanzania imeongezeka kwa kasi na kufikia 4.5 Milioni. Idadi hii imegawanyika katika makundi makubwa mawili,Kundi la kwanza ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa manufaa bila kuvunja Sheria,na Kundi la pili ni wale wanaotumia mitandao ya kijamii kwa...
Nataka kufahamu nikitaka kufanya biashara kwa kutumia Instagram. Je ni bidhaa ipi inayouza sana?
Wanasema vitu wanavyopenda wanawake ndio vina wateja sana.
Wengine wanasema watu wa maofisini (mashefa) ndio wanunuzi wazuri mitandaoni.
Ningependa kujua bidhaa moja
(niche) nayoweza kuuza kwa...
Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata.
Kuna yeyote anapata tatizo kama langu?
Natumia Mtandao wa Tigo
PIA SOMA
= >...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
Kwa wale wanaopenda kuboost account zao za instagram kwa personal uses au biashara unaweza kutumia telegram kutimiza lengo lako.
Pitia hapa kidogo
"
Also known as Telegram Pods, Telegram Groups, or Instagram Engagement groups, basically they are a group of people in a chat, created...
Sasa wale ma slay queen itakuaje jamen ?, nawaonea huruma akina huddah, tontoh dikeh, bobrisky, vera sidika and the rest, wamekula sana ma millions ya huyu jamaa in Dubai . Ila tuseme tu ukweli wanaijeria wanajua ku hustle bhana, embu imagine wamefanikiwa kuiba more than $100 millions , their...
Msanii wa muziki kutoka WCB wasafi, Zuchu amefikisha followers million 1 ndani ya miezi minne tu tangu kutambulishwa rasmi katika label hiyo kubwa Afrika Mashariki na kati.
Zuchu pia ana subscribers laki tatu katika account yake ya YouTube ambayo imefikisha viewers million 36 akiwaacha mbali...
Huku uelekeo wa TikTok ukiwa bado haujafahamika, Instagram inatarajia kuchukua baadhi ya mashabiki wa ‘App’ hiyo kupitia ‘App’ yake iitwayo Reels, inayozinduliwa leo katika nchi takriban 50 zikiwemo Uingereza, Marekani, Japan na Australia
Kama ilivyo TikTok, Reels inawezesha wadau kutengeneza...
Ipo haja ya kuanzisha Jimbo la Social Media. Kura zihesabiwe kwa idadi likes, followers etc. Humo kina Steve Nyerere, Pilipili, Kapiga, E.mbasha, Mpoki, Dr. Cheni na Zama ndo wachukue fomu, sio haya Majimbo halisi maana hawawezi.
Kama wewe ni mtumiaji wa Instagram na hukijui kitu kinaitwa "TWO FACTORS AUNTHETICATION"
basi ni vizuri ukasoma hapa.
Ni kitu ambacho kiko wazi kwamba Instagram ni moja ya mitandao ya kijamii ambayo inakuwa kwa kasi sana.
Ukuaji huu umepelekea wadukuzi wengi kuweka nguvu zao huko kushambulia...
Kwa wengi Hushpuppi alionekana kuwa ni mfano halisi wa mtu aliyefanikiwa,mtafutaji aliyezikamata pesa za kutosha na kutokuzionea huruma katika kuzitumia, kwenye akaunti yake ya instagram yenye followers million 2.4 na ikiwa na tiki ya sawati(blue) kumejaa picha za kuvutia za Hushpuppi, akiwa...
Mkuu wa polisi katika mji mkuu wa Iran -Tehran, Brigadia Jenera Hossein Rahimi, amesema kuwa mmoja wa watoto hao wachanga alikuwa ni wa siku 20.Mwingine alikua na umri wa mwezi mmoja.
Watoto hao wachanga walikua tayari wamenunuliwa kwa hadi dola $500 (£400), na walikua wanauzwa tena kwa dola...
Professionally, huyu jamaa ni muigizaji maarufu kidogo, tena ni mtanzania anaeongea kiswahili, na ni mwanaume aliezaliwa na kukulia Dar, aliigiza kwenye ile movie inayoitwa huba, half kimuonekano jamaa hana hela, wala ha-post maisha ya kifahari kwenye Instagram page yake. Anaji-post yeye akiwa...
Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa.
Kwa takribani miaka 3 kwenye game la Forex, imekuwa ni miaka ya kujifunza zaidi. Sikuweka nia ya kupata chochote kwa mda wa short term. Niliamua kupeleleza sana hii biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.