intaneti

Intaneti (kutoka Kiingereza Internet) ni mfumo wa kushirikiana kwa tarakilishi nyingi unaowezesha watu mbalimbali duniani kuwasiliana baina yao. Kupitia mtandao huo, watu huweza kutembelea tovuti mbalimbali, kupiga gumzo, na kuandikiana barua pepe.

Intaneti ni mfumo wa kimataifa wa mitandao ya tarakilishi inayotumia itifaki inayokubalika ya intarnet Suite (TCP/IP). Intaneti hubeba safu kubwa ya huduma na rasilimali za habari hasa hati za HyperText zilizoshikanishwa za wavuti wa ulimwengu mzima (www) na miundombinu ya kusaidia barua pepe.

Mbinu nyingi za jadi za mawasiliano ya habari, kama vile huduma za rununu na runinga, zimeundwa upya kutumia teknolojia za tovuti, na kusababisha huduma kama vile itifaki ya kupitisha sauti kwa kutumia tovuti (VoIP) na IPTV. Uchapishaji magazeti umeundwa upya katika tovuti, ubadilishanaji maoni, na kupatikana habari zinapotokea tu. Intaneti imewezesha au kuharakisha uundaji wa aina mpya za mafungamano za kibinadamu kupitia ujumbe mbashara, majukwaa ya tovuti na mitandao ya kijamii.

Kuna mawasiliano ya tarakilishi pamoja na habari zinazotunzwa kwenye mashine na kupatikana kwa programu za kutafuta wavuti (kama google) au kwa kamusi elezo kama wikipedia.
  1. chizcom

    Tuvalu: Nchi Inayojipatia Mapato Kutoka kwa Kikoa Chake cha Intaneti (.tv)

    Tuvalu ni nchi ndogo ya visiwani iliyoko katika Bahari ya Pasifiki, kati ya Australia na Hawaii. Inaundwa na visiwa tisa vidogo vya matumbawe na ina idadi ya watu takriban 11,000, hivyo kuwa moja ya nchi zenye idadi ndogo ya watu duniani. Mji mkuu wake ni Funafuti, na lugha rasmi ni Kiingereza...
  2. mike2k

    Fursa Mpya kwa Tanzania! Starlink Kuleta Mapinduzi ya Intaneti kwa Bei Nafuu na Ubora wa Juu

    Wakuu wa Jamii Forums, Nina habari njema sana kwa nchi yetu! Tanzania ipo mbioni kupokea huduma za intaneti kupitia satelaiti kutoka kampuni ya Starlink. Hatua hii ni fursa muhimu kwa Watanzania wote, na ni nafasi yetu kutoa maoni yetu chanya kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili kuunga...
  3. om acidic

    Tatizo la laini kuacha kusoma nikiwa naperuzi intaneti au nafanya matumizi mengine ya simu

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  4. om acidic

    Laini kuacha kusoma ghafula tu nikiwa katikati ya kuperuzi intaneti au hata matumizi mengine

    Habari wana JF, Nilichukua simu samsung s21 ultra hz used from dubai kama miezi 2 hv imepita ipo frexh sehem zote sema kimbembe kwenye laini aloo. Ninaweza kuwa naongea na simu au sometime nacheza gem afu ghafla tu laini inaacha kusoma naambiwa no simcard na laini imo afu kusoma tena mpaka mda...
  5. Black Butterfly

    Ruto asema uwepo wa Starlink nchini Kenya umefanya Mitandao ya Simu iboreshe huduma za Intaneti

    Rais William Ruto, amesema amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa Watoa Huduma za Simu nchini humo tangu Serikali iliporuhusu uwekezaji wa kampuni ya #Starlink inayotoa huduma za Intaneti kwa njia ya Setilaiti. Kwa mujibu wa Mtandao wa Citizen Digital, Septemba 23, 2024, imeelezwa kuwa...
  6. Mr Why

    KENYA: Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti

    Ujio wa Starlink utasaidia Safaricom na wenzake kuboresha intaneti – – Mkuu Mpya Mteule wa CAK MKURUGENZI Mkuu mteule wa Mamlaka ya Ushindani Nchini (CAK) David Kemei amewahakikishia Wakenya kwamba atazima mjadala kuhusu kampuni ya kutoa huduma za intaneti ya Sterlink baada ya Bunge...
  7. Gemini AI

    SoC04 Udhibiti wa Kupanda kwa Gharama za Intaneti Unavyoweza Kuongeza Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Kidigitali

    Utangulizi Kupunguzwa kwa gharama za intaneti ni suala muhimu linalogusa nyanja nyingi za maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Tanzania, kama nchi nyingi za Afrika, ina nafasi kubwa ya kukuza uchumi wa kidigitali kupitia upatikanaji wa intaneti nafuu na yenye kasi. Katika makala hii, tutaangalia...
  8. jikuTech

    Je, ni kweli uwezo wa kutumia intaneti unaweza kufundishwa?

    Kuna kitu kidogo kina tengeneza ugumu kwa wanao thubutu kujaribu fursa mbalimbali katika dijitali . Kitu kikubwa kinacho changia kukatisha tamaa ni kukosa ujuzi wa matumizi ya intaneti Ujuzi wa kutumia intaneti Linapokuja suala la mtu kujifunza jinsi ya kutumia intaneti, ni muhimu kuanza...
  9. BARD AI

    Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  10. BabuKijiko

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
  11. Gemini AI

    Watoa Huduma za Intaneti watulipe fidia kwa kutukosesha huduma

    Tunakaribia Siku ya 4 hatuna huduma nzuri ya Intaneti na cha ajabu ni kwamba hadi leo Watoa Huduma wanatoa taarifa tu badala ya kuzungumzia kutulipa fidia ya hasara waliyotusababishia pamoja na usumbufu tunaopata kwa kukosa huduma kwa mujibu wa makubaliano kati ya Mtoa Huduma na Mteja Pia...
  12. Kidagaa kimemwozea

    Tanzania: Mtandao wa Intaneti wapotea hewani

    Mtandao kupotea ghafla hewani, umepata changamoto gani mdau? ======= Leo Jumapili, Mei 12, 2024 limetokea tatizo la internet kwenye mitandao ya simu Tanzania kuanzia saa nne asubuhi. Taarifa za awali zinasema mkongo wa kimataifa uliopita chini ya maji uko chini ukizikumba pia Mombasa mpaka...
  13. J

    KUNRADHI: Kuhairishwa kwa Mjadala XSpaces

    Habari Mwana JF, JamiiForums inautaarifu Umma kuwa kutokana na tatizo la kukosekana kwa Intaneti, Mjadala uliopangwa kufanyika leo Mei 13, 2024 kupitia X Spaces umeahirishwa hadi wakati mwingine itakapotangazwa tena. Tunaomba Radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
  14. Meneja Wa Makampuni

    Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
  15. BARD AI

    Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
  16. BARD AI

    Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema huduma ya Intaneti yenye kasi ya 6G imeingia rasmi nchini Tanzania
  17. BARD AI

    Kati ya Matibabu, Intaneti na Elimu ya Msingi hadi Chuo, huduma ipi unadhani inapaswa kupatikana Bure?

    Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi. Mfano...
  18. Replica

    Wakamatwa kwa kujitangaza kutoa huduma ya internet ya Starlink Instagram

    Kamanda Murilo leo ametangaza kukamata watu wawili, mtanzania na mchina kwa kuingiza vifaa na kutangaza kutoa huduma ya internet ya starlink. Polisi wamesema wameuza vifaa hivyo bila kuidhinishwa na TCRA. Naona kama mitandao yetu wanaipiga pini starlink by fire, by force 😅 Kwanini Serikali...
  19. Mhaya

    Mtandao wa facebook na Instagram haupatikani

    Mtandao wa facebook umeshindwa kufanya kazi mida hii na kupelekea Watu kushindwa ku-login Mimi binafsi nimetumia Facebook lite imekataa nikatumia Google chrome nayo imekataa
  20. Webabu

    Je, Houth ndiyo waliokata nyaya tatu za intaneti chini ya bahari ya Red Sea?

    Kuharibika kwa nyaya tatu za intaneti za chini ya bahari kumetajwa kuathiri karibu robo ya data za intaneti kwa maeneo ya mashariki ya kati,Ulaya na maeneo ya Asia. Kukatika kwa nyaya hizo kumepelekea kizaazaa kwa wasambazaji data hizo ambapo wamelazimika kuzichepusha njia karibu robo ya data...
Back
Top Bottom