Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania??
Nimeuliza hivyo kwa maana Masaki na Oyster Bay ndio wanapokaa Think Tanks za nchi na sijasema kwa lengo la kuwakejeli au kutengezea...
Lucas Mwashambwa Shukuru sana utimize umri kama Wassira ili ukiwa unayapitia maelezo yako ushindwe kufuta labda ukapige bomu internet ilipotokea.
Mada zako sasa ni lugha gongana haya tunauza nje kwa kununua umeme nje...
Katika shirika ambalo kampuni za simu nyingi utumia kama shamba la bibi ni TTCL.
Ukija kwenye huduma za fiber yani hawana tofauti na Shirika la maji na mabomba yao kwenye usambazaji.
Kunapotokea njia ndefu za kupeleka fiber yani ni kama zimewekwa tu kupeleka huduma.
Ili linawakumba sana...
Salaam Wakuu,
Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki.
Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake, commentszilikuwa zinapita chini baadhi wakisema miamala inakataliwa, mara inakaa pending muda mrefu...
Wakuu,
Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani?
Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama?
Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena.
Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
Wakuu nahitaji msaada, nina simu yangu Aina ya Sony so41b imekuwa haipandi mtandao wa intranet toka juzi,
Chanzo cha tatizo kuna dogo nilipa alikuwa nataka kufanya mawasiliano na mtu, kumbe aliichezea mfumo wa setting hadi akawa ame backup hivyo kupelekea kila kitu kufutika. Nimejalibu kufanya...
Ni kama miezi kadhaa naona mtandao wa vodacom unazingua kwenye kupiga simu kawaida na internet.
Huko kwenye internet ndiyo utakuta ina load mwaka hadi MB zinakata.
Najiuliza hili tatizo ni kwangu tu au na Kwa wengine mnaotumia voda mna changamoto hiyo?
Wakuu.
Nimewaita mara moja, mimi ni mdau mzuri wa mitandao ya Simu hususani mtandao pendwa wa Airtel ila kwa siku za hivi karibu mtandao wa Airtel umekua na sintofahamu hususani kwenye upande wa Internet, nataka kuwauliza wahusika kimetokea nini?
Mtandao wa Airtel umekua mziiiiiiiiiito...
Choose Vodacom as your dedicated internet partner and get speeds of up to 1 GB per second and a cost-effective data plan to suit your internet needs.
Benefits
-24/7 internet connection
-Best-available technologies for city and remote
-Speeds of up to 1 GB per second
-Data plan to suit your...
Habari zenu jamani! Mimi kuna rafiki yangu kanipigia leo akilia sana kwa sababu katapeliwa na hii account inaitwa @unlimited_bundlez instagram. Namba yake ya simu ni 0698128458. Mkiiona hio account na namba nawaombeni msijaribu kufanya mawasiliano na hio namba. Ili kujihadhari na watu kama hawa...
Jamani Wana jF naomba kuuliza haya mabando ya halotel yanayouzwa
6000/= _5gb
10,000/=_10gb
20,000/= _20gb
yanapatikana wapi kwa bei ya jumla na unaanza kununua GB ngapi ili itusaidie sisi content creators na wafanya biashara.
Yanapatikana wapi na yanatolewa kwa vigezo Gani?
Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi.
1. Tumia Mitandao...
Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
Na huu ni ukaguzi wangu binafsi kutokana na eneo nililopo. Hapa nitatoa kitu kinajulikana km customer feedback.
Awali ya yote mimi ninatumia mitandao yote ya simu yaan Airtel, Yas zamani Tigo/Zantel, Vodacom na Halotel.
Sasa kwa eneo nililopo nimejaribu kufanya tafiti zangu binafsi ili...
TANGAZO TANGAZO
HlHabari njema kwa vituo vya afya au shule za serikali
Kuna huduma ya internet kutoka Vodacom, unachagua package mnawezeshewa.
Huduma hii kuwezeshewa ni bure kabisa.
Vigezo
✅Tin namba ya shule/kituo cha afya cha serikali
✅Kitambulisho cha muwakilishi anaefuatilia
✅ Barua ya...
Naomba mnisaidie, kwa miezi kadhaa kabisa nikinunua kifurushi cha mwezi cha internet kinaisha hata wiki hainaisha wakati Natuma jioni tu Tena kwa Kiasi kidogo kwani mchana huwa ni atumia WiFi ya ofisini.
Vipi nyie wenzangu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.