internet

  1. F

    Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  2. M

    Ni kama Vile CCM wanamsaidia Mbowe kwa kupunguza kasi ya Internet au?

    Tangu jana Lissu aanze kutrend naona kama kumetokea shida ya ghafla ya Mtandao. CCM wanamsaidia Mbowe au?
  3. snipa

    Pentesting; Jinsi ya kuexploit na kuaccess Free Unlimited Internet kwenye Android na iOS kwakutumia Tunneling Apps.

    Hello Ni wakati sasa tunajifunza jinsi ya kutafuta loopholes kwenye ISP yeyote unayehitaji, katika makala hii tuenda kujifunza jinsi Gani tunaweza tumia udhaifu wa ISP na kupata free internet access unlimited na capped (yenye ukomo) N:B; huu Uzi ni Kwaajili ya elimu pekee na sio vinginevyo...
  4. G

    Nawezaje kutumia line inayotumika kwenye router ya unlimited internet kwenye simu au pocket router?

    Hizi router zimekuwa mzigo kubeba, nimemiss kutembea na pocket router inayobebeka mfukoni Mwanzoni nilidhani line imefungiwa kusoma kwenye imei moja tu lakini nimetest kwenye router kama yangu ya mtu mwengine inakubali. Nimetesti kwenye pocket router matoleo mawili tofauti, mtandao unaofanana...
  5. G

    Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

    N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara. Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando Suluhisho ni huduma ya unlimited...
  6. A

    KERO Kampuni za Mawasiliano zimeshindwa kuhakikisha huduma bora ya Mtandao Tarafa ya Mashati, Rombo

    Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro. Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
  7. G

    Epuka kuuziwa mbuzi kwenye gunia, Google pixel hairuhusu nchi za Africa kutumia 5g, Tafuta simu nyingine ukitaka ku-enjoy internet

    Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !! Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
  8. G

    Starlink katuma maombi hajaruhusiwa. Internet ina speed na gharama nafuu lakini ni ngumu kuruhusiwa kwasababu haiwezi kuzimwa wala kublock Twitter

    Naandika uzi huu kwasababu naona watu wakilipukwa kwa furaha kujiandaa kutumia Starlink, internet yenye kasi, isiyo na kikomo, gharama ndogo na inashika mpaka maporini kama kingamuzi cha dstv / azam Ni mara ya pili sio mara ya kwanza starlink wanatuma maombi , mara ya kwanza walituma lakini...
  9. Mwl.RCT

    Megabits vs. Megabytes: Understanding Your Internet Speed

    Megabits vs. Megabytes: Understanding Your Internet Speed Ever wondered why your gigabit internet doesn't download games at a thousand megabytes per second? The difference between megabits (Mb) and megabytes (MB) is a common source of confusion when discussing internet speed and download rates...
  10. G

    Ni umri gani mtoto apewe simu ya kitochi cha mawasiliano? Ni umri upi apewe smartphone yenye internet?

    Toa pendekezo, sababu, elimu na tahadhari Kuanzia umri gani mtoto apewe kitochi cha kuwasiliana N umri upi apewe smartphone
  11. Cannabis

    Wanajeshi wa Korea ya Kaskazini wapatwa na uraibu wa kutazama pornografia baada ya kupewa internet isiyo na vikwazo na Urusi

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama picha za ngono, kulingana na ripoti ambayo haijathibitishwa na afisa wa Pentagon. Kwa mujibu wa...
  12. NyegereBOY

    Tengeneza hadi 50,000/= kwa siku kwa kufanya biashara ya kuuza internet kupitia WiFi kwenye maeneo yenye mkusanyiko

    Habari wanajanvi Naomba niwapeleke Moja Kwa Moja kwenye lengo husika kama kichwa kinavyosema. Kuna hii fursa ambayo sisi tumeona tuiite fursa mpya kutokana na uhitaji mkubwa ulionao na upatikanaji wake mdogo. Baada ya kufanya tafiti na kutenga muda mrefu wa kujifunza kuhusu uwekezaji au...
  13. G

    Mnaoichukia Israel msitumie Smartphone, Laptop, Googlr, n.k. makampuni giant ya kompyuta na Internet huitegemea Israel kwenye kubuni

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  14. matunduizi

    Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake. 1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya...
  15. M

    Free vpn for internet

    WAkuu kutokana na tigo kupiga lock baadhi ya vpn zilizokua zinatrend hapa kati basi imeniwia vigumu kwa upande wangu,kwahivyo kwa yeyote mwenye vpn ya bule kwa sasa naomba anitumie inbox plz!!!asiweke hadharani watu wabaya wasije wakachomesha tena
  16. I

    Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  17. D

    Ni Vpn ipi nzuri kwa kupata free internet?

    Nilikua naomba kuuliza ni Vpn gani nzuri ambayo watu hutumia kupata free internet?
  18. Eli Cohen

    Kwa sasa kama una addiction na intaneti katika simu, itabidi upate therapy maana utafilisika

    Siku hizi kila mtu anaogopa meseji ya asilimia 75. Matter of fact, siku hizi watu wananunua bando la internet roho zikiwa jujuu maana hawakawii kutuma ya meseji ya bando limeisha. Vifurushi vimekuwa ghali, internet imekuwa kama "luxury good" sasa so kama una uraibu utajikuta umetumia pesa...
  19. Kangosha

    Hongereni TTCL kwa kuboresha huduma ya Internet

    Tangu wiki iliyopita naona huduma za internet kwa TTCL zimeboreshwa Sana. Yaani mtandao upo faster isivyo kawaida. Hongereni TTCL.
  20. G

    Biashara kiganjani. Hivi ndivyo unavyoweza kunasa wateja kwa kutumia internet na kujiingizia kipato

    N:B: Lazima uwe na ujuzi au maarifa ya kutatua shida, sio kuminya tu simu. Tafuta ujuzi au maarifa ya kumtatulia mtu shida kwa uhakika na uaminifu. mfano mimi hii ni kazi part time, najihusisha na mini logistics, niliwahi kuandika humu >> link << Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako...
Back
Top Bottom