internet

  1. kyesha

    Computer internet

    Msaada jinsi ya kuunganisha internet kutoka kwenye iphone kwenda kwenye computer Nikijaribu ku connect hata USB option sioni
  2. Author

    Mtandao upi uko Poa kwenye internet mikoani kati ya Vodacom na Tigo

    Habari Wana JF, Nataka kuwa B2B (Business to Business) customer kwenye moja ya mitandao niliyoitaja hapo juu ambapo nitakuwa nanunua kifurushi kila mwezi. Huwa natumia sana kwenye internet. Naomba kufahamu ni mtandao gani mzuri sana kwenye internet. Nipo Mbeya Natanguliza shukrani wadau
  3. Nazi Nakaranga

    TTCL kupata fursa ya kupeleka internet nchini Burundi, wewe kama mtumiaji wa internet unaonaje huduma hapa nchini?

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) na Kampuni ya Mkongo wa Taifa ya Burundi (BBS) wamesaini mkataba wa miaka 10 wenye thamani ya TZS Bil. 13.8. Burundi sasa itaanza kunufaika kwa mawasiliano ya uhakika ya simu kwa kushirikiana na Tanzania.
  4. chrismukasa

    What does the rise of popular Online Forums across Africa say about the need for Freedom of Expression?

    Rise and Popularity of Online Forums across Africa: The rise and popularity of online forums across Africa speaks volumes on peoples preference of freedom and how main stream social media has failed at this. I have personally learnt so much from these unfiltered sources of information and would...
  5. Baby Nimah

    Mwanamuziki wa kizazi kipya, Casso aachana na Rose Ndauka aliyekuwa anasimamia kazi zake

    ROSE NDAUKA, CASSO WAMWAGANA Rose Ndauka MSANII wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka na mwanamuziki wa Kizazi Kipya aliyekuwa akimsimamia kazi zake Said Kassim a.k.a Casso wamemwagana rasmi baada ya kutofautiana kimaslahi. Akizungumza na Za Motomoto, Casso anayetamba na ngoma mbalimbali...
  6. Invisible

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Bitsoup Bitsoup is a growing favorite amongst P2P downloaders. As the trend towards private torrent sharing continues, you will need to signup and join as a member to participate in the Bitsoup swarm. Snarf It! (born from previous Suprnova influences) BiteNova (formerly known as Bi-Torrents...
Back
Top Bottom