internet

  1. ronnycharlz

    Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  2. M

    Tigo mmebadilisha bei za vifurushi vya internet vya wiki?

    Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19. Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=? nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha...
  3. BenKaile

    Wito fanya ufutaji wa akaunti zako kwenye applications au kompyuta kabla huja uninstall programu husika

    Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama simu na kompyuta iwe ya mezani au mipakato jaribuni sana kuwa na umakini ikiwa utaacha kutumia...
  4. CONTROLA

    Watumiaji wenye matumizi makubwa ya Internet nawaomba kidogo/Heavy Internet users

    Ni katika kuelimishana tu na kushtuana kama ilivyokua kipindi kile wakati nikijiona mjanja kulipia DSTV package na kupata vitu vizuri kumbe kuna wajanja wanakula channel zangu za DSTV kwa kutumia huduma za cable, FTA DISH, nk nk. Baada ya kusanuka nikaingia ulimwengu ule nilijishangaa sana kwa...
  5. Masokotz

    Airtel Kwa hii spidi yenu ya internet HAPANA

    Kwa kweli ninahuzunika sana Inakuaje mnakuwa na internet slow kiasi hiki? Iwe mjini au pembezoni kote ni Jau kabisa. Fanyeni kitu bwana nyie ni mtandao wa watu wazima mnatakiwa muwe na mambo mazuri. Mnashindwa nini sasa? This is too much. Hii post nimeanza kuandika sijua saa ngapi ila ndo...
  6. Android

    Ajira ya online: Unaweza kuandika Kiingereza, unayo laptop au computer na unayo access ya internet?

    Utangulizi Ni kampuni ndogo ya IT inayojishughulisha na ku manage website na ku manage kurasa za mitandao ya kijamii ya makampuni na watu binafsi, hivyo tunahitaji kuongeza watu zaidi kwenye timu yetu kwa ajili ya kutusaidia shughuli za kila siku. Ajira Wanahitajika watu wanne kwa ajili ya...
  7. Planett

    Tatizo la Intaneti mtandao wa Airtel

    Wakuu hivi ni mimi ambae nakumbana na hili tatizo la internet kwa hawa airtel!? Maana natumia like 10 minutes mtandao unakata hadi nitoe modem then niweke tena. Na upande wa simu hivyohivyo hadi nizime data then niweke on tena. Kama kuna tatizo mbona hawatupi taarifa ili tusipoteze fedha zetu...
  8. I am Groot

    Ujumbe kutoka Vodacom: Internet imerejea kama kawaida yaahidi kufidia mb's zilizopotea

    Huduma ya INTANETI sasa imerejea. Tunaendelea kuomba radhi kwa usumbufu ulioupata leo. Vodacom tunaahidi kufidia MB zako ulizopoteza kuanzia kesho asubuhi. Ila kwa uhalisia bado haifungui chochote bado isipokuwa Facebook tu labda.
  9. P

    Internet ya Halotel ni matatizo!

    Halotel wana matatizo makubwa na huduma yao ya internet. Ni kwamba speed ya internet hubadilika kila siku, mfano leo na jana speed ni ndogo kiasi hata google webpage huwezi ku download. Mimi nina line ya chuo na huwa najiunga na vifurushi vya mwezi lakini haisaidii. Ukipiga simu Customer Care...
  10. majebsmafuru

    Scholarship internet links

    Na nyinyi jaribuni bahati zenu kwa kuomba scholarships nje.. Tanzania (Chevening Scholarship) | Chevening Tanzania - University of Liverpool Tanzania | University of South Wales Your country International Scholarships for Students from Developing Countries Tanzania Embassy Site | EDUCATION...
  11. Analogia Malenga

    Nchi zenye speed kali ya internet duniani

    Singapore ndio nchi yenye speed kali ya internet ina wastani wa 60.39Mbps. Taarifa hizi zilikusanya na M-Lab, ikiwa ni ushikiano wa New America's Open Technology Institute, Google Open Source Research, Princeton University's PlanetLab na wabia wengine, Kumi bora ya Nchi kumi zenye speed ni: 1...
  12. N

    Trump anataka kukata internet Iran

    USA ni mwisho wa safari they own internet .Trump amesema tukitoa internet tutawamaliza. Obama alikata internet siku moja kuwaadhibu North Korea.walitapatapa in a day.
  13. Mekatilili

    Mobile Internet Connectivity Index Ranking

    Watalia hujuma!
  14. A

    Mbona internet ya Dodoma ni Vodacom tu?

    Mimi ni mgeni Dodoma. Kwenye mitandao natumia zaidi Halotel na Tigo kutokana na unafuu wa gharama. Nilipofika hapa internet inasumbua mno kiasi kwamba siwezi kustream na kuangalia video kwenye internet, wakati mwingine hata kuingia JF natakiwa kusubiri muda kidogo. Awali nilijua simu...
  15. H

    ZUKU fiber unlimited home internet

    Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu. huduma kwa sasa ni uhakika kwa maeneo yafatayo upanga,kariakoo,msasani,masaki, kinondoni,mikocheni na oysterbay. kwa...
  16. S

    Hivi TCRA wanaweza kutupa sababu za msingi kwa nini bei ya internet Tanzania ni zaidi ya mara kumi ya bei ya internet Rwanda?

    Bei za internet ya wastani kwa Tanzania na baadhi ya nchi zinazotuzunguka ni kama ifuatavyo: Source: Worldwide mobile data pricing: The cost of 1GB of mobile data in 230 countries Reference: Worldwide Mobile Data Pricing League | Cost of 1GB in 230 countries - Cable.co.uk Hivi TCRA wanaweza...
  17. Slowly

    Sim card ya TTCL kutounganishwa na internet

    Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe online Application haina sehemu ya huduma Kwa wateja , ina mana kama huna kifurush cha data applctn...
  18. Fursa Pesa

    Wizi wa muda wa maongezi, sms na bando za internet unaofanyika pasipo watu kujua

    Kwa niaba ya watumiaji wa huduma za mawasiliano nchini napenda kuwaomba wamiliki/management ya makampuni ya simu/mawasiliano kuondoa ukomo wa muda katika huduma zao (sms,calls na internet bando). Kutumia kigezo cha muda ni kuingilia uhuru wa mtumiaji huduma kwa kumlazima atumie kwa muda...
  19. The Assassin

    Airtel wamezindua 4G internet connection prematurely, bado hawajajipanga

    Mimi nilianza kutumia mtandao wa airtel baada ya wao kutangaza kuanza mawasiliano ya mfumo wa 4G, nikajua labda wataleta mapinduzi dhidi ya vodacom 4G ambayo nimekua nikitumia kwa miaka zaidi ya 2 iliyopita, ila imekua kinyume na matarajio yangu, 4G ya airtel ni ya hovyo kuliko 3G ya vodacom...
  20. FRANC THE GREAT

    SpaceX launches 60 more Mini-Satellites for Global Internet

    SpaceX launched 60 Starlink satellites as part of mission to bring internet to the world SpaceX launched 60 more satellites Monday as part of CEO Elon Musk's "Starlink" mission to bring high-speed internet to large, remote swaths of the world. SpaceX said in a statement announcing the...
Back
Top Bottom