Habari zenu wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu naomba kufahamu abc za namna ya kuanzisha hii huduma hapa mjini.
Kwa anayefahamu gharama za ujumla na vibali husika.
Shukran.
Habar wadau
Nina computer yangu hapa kuna hii cable inaitwa ethernet sijawah itumia kabisa kwa internet sasa naomben kujua nawrzaje supply internet kwenye PC au router via ethernet cable kupitia simu au moderm.
Nawasilisha
Kwa wale wapenzi wa kudownlaod movies, games na mafaili yenye ukubwa sana imekua pigo kwetu baada ya mtandao pekee uliokua umebakia na kifurushi kizuri cha internet cha usiku halotel ile unlimited kwa 1500 kuondolewa na kushushwa mpaka GB 5 tu.
Je, wadau ni mtandao gani mwingine uliobaki ambao...
Kenya recorded the highest internet penetration rate in Africa in the year 2020. This is according to a ranking by Internet World Stats (IWS), showing that 87.2 percent of the country’s population was connected to the internet.
Figures from the Communication Authority (CA) indicate that in...
Nikiri kufaidika na michango yenu kwa jukwaa hili.
Kuna kifaa kinaitwa Respby pi (pichani) nataka kutumia kuanzisha program ya kuaccess masomo bila internet.
Naomba kujuzwa kinapatikana wapi, kinafanyaje kazi? Kama ni mradi kuna maelezo marefu. niko tayari tuandae kikao maalum kujadili...
Sijui kama kuna tatizo kwenye simu yangu au kuna tatizo kwenye mtandao wa Airtel. Leo nimenunua vifurushi vya internet vya thamani 1GB lakini havikuchukua hata masaa matatu vikawa vimeisha.
Nikiangalia matumizi sioni kitu ambacho nimekifanya cha kuweza kumaliza GB moja nzima ndani ya masaa...
As President Bill Clinton mocked the Chinese president Jiang Zemin for his nation’s naivety in attempting to control the internet, the great firewall of China as it was pejoratively known, the crowd joined. At the time, in 2000s, this response was sensible considering how unknown the internet...
Airtel Airtel Airtel .
Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili.
Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako.
Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuhukumu Mhandisi Baraka Mtunga (43) na Rajabu Katunda (42) kulipa faina ya Sh. Milioni 1.5 kwa kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) zaidi ya Sh...
Habari ndugu zangu na shida moja kwanzia mitandao irud mimi kwangu speed ya internet kwenye pc ni ndugu saana haijalishi nitumie WIFI(SIMU) au moderm ila kabla ya hapo ilikuwa ina speed nzur tu tena zaid ya sanaaa ila baada ya michaguz yao speed hakuna kabisa
Screenshot chat between an angry lady and her boyfriend that has surprised internet users
Relationship nowadays are turning into something else. Guys now feel their girlfriends are obligated to them all because they are in a relationship with them.
See the revealing shocking conversation...
Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo
Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni
Hapo shida ni nini wakuu
Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani.
Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao.
Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana.
Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote.
Wengine...
Julai 2016, Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa (UN) lilitambua na kuweka wazi kuwa Upatikanaji wa Matandao ni haki ya msingi ya binadamu.
‘Internet’ ni moja kati ya namna ya kuongeza uwazi kwa kuongeza ushirikishwaji wa wananchi katika kujenga jamii inayojali demokrasia...
Wakuu habari.
Natoa ombi maalum kwa makampuni ya simu yote nchini ambayo yalikata au yalisitisha upatikanaji wa internet kwa baadhi ya social media Kama Whatsapp , Instagram, Twitter , Facebook and so on.
Siku ili mliyotindiganya mambo watu tulikuwa tumejiunga na mabundle ya internet, wengine...
Hii nchi ina maadui wengi sana wa kiuchumi na kisiasa ambao hawaitakii mema. Hivyo serikali iwe makini.
Hizi ni nyakati mbaya sana maana mitandao inatumika vibaya na mara nyingi hutumika hata kuiba siri za nchi na kueneza propaganda za uongo.
Tumeshuhudia wadukuzi wakifanya udukuzi kwa...
Watanzania tusingekuwa wanafiki, basi wote tungepaza sauti kupinga kitendo kilichofanywa na Serikali kwa kutoa amri ya kulimit internet access, lakini kwa sababu ya hofu, watu wengi wanaumia moyoni huku wakiamua kushangalia na kupongeza ushindi wa kishindo kwa Chama cha Mapinduzi.
Lakini tuseme...
Kuandaa maandamano ni fani kunahitaji mipango madhubuti, hata kama una ajenda muhimu huwezi kukurupuka na kutangaza leo au kesho kuna maandamano, Seif alikuwa na ajenda lakini hakuwa na mipango madhubuti aliongozwa na mihemuko, hasira na jazba.
Wataalamu wa mipango ya maandamano wanasema ili...
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.