Nauza decoder ambayo itakusaidia kupata huduma ya internet kwa wenye TV za smart ingawa inaweza kutumika pia kwenye Laptop na desktop, inatumia line za mitandao yote ya simu. Being yake ni 50000 tu.
Nawasalimu wanajukwaa wote kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pia nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa mwezi mtukifu wa Ramadhani.
Niende moja kwa moja kwenye topic, lengo la uzi huu ni kuhusu hili suala zima la vifurushi au mabando katika mitandao ya simu.
Kama tunakumbuka kuna...
Wadau,
Kutokana na hali halisi ya vifurushi kwa sasa kuwa haieleweki , naomba tufahamishane kwa wale wanaojua njia mbalimbali mbadala za kuendelea kuwa mtandaoni bila gharama , kwa mfano wifi hotspots ambazo mtu anaweza kwenda kukaa na kutumia internet bure , hii inaweza ikawa katika public...
Internet sio anasa, internet sio jambo la option, internet ni ulimwengu kama ulivyo ulimwengu wa kifizikia,
Watu waanasoma mtandaoni
Watu wanafanya biashara mtandaoni
Watu wanaburudika mtandaoni
Watu wanasoma mtandaoni
Watu wanapata taarifa mtandaoni
Watu wanajuliana hali na kuendeleza mambo...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Uamuzi huo unaweza kuwa habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao, tangu kutangazwa kwa bei hizo mpya mapema leo Ijumaa...
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Kama upo Dar maeneo ya Kariakoo, Mjini posta, Msasani, Peninsular, Upanga, Kinondoni ya Morocco, Mikocheni, Masaki, O'bey, n.k Kuna fiber za kutosha kama zuku, Raha, Gofiber, n.k
Fibre ni internet ya waya, unavutiwa waya hadi sehemu ulipo nyumbani kwako, ni internet ya waya lakini kuna kifaa...
Safaricom will Friday launch Kenya’s first fifth-generation (5G) mobile internet services targeting major urban centres, making it the inaugural operator to offer commercial and superfast services in the region.
The firm last year completed testing and trials for the upgraded network as the...
I hope this was a teachable moment.
From it, they will grow through what they went through and do better going forward.
They say if you know better, you do better.
So I’m crossing my fingers that they will publicly acknowledge the error of their ways and promise us to do better and use some...
Wakuu salama humu?
Naombeni msaada katika hili. Mahali nilipo huduma ya internet kupitia mitandao ya simu haipatikani na ikitokea inasoma E kiasi kwamba siwezi fanya cha maana kwa kutumia mtandao.
Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganishiwa wireless internet ili niwe natumia wi-fi...
Yaan leo ndio nimechoka km hali ndio hii hii serikal sidhan km ipo kwamaslah ya wananch bali ipo kwa maslah yake yeye yenyewe
Majuzi juz apo nilimsikia spika akisema kuwa sijui wapandishe kodi ili vijqna wasipate mda wa juingia mitandaon bali wafanye kaz sikujali sn nikapuuza ile taarifa...
Umeshawahi kuwa mhanga wa kifurushi chako kuisha kabla haujakusudia kiishe? Pengine umekuwa ukilalamika kuwa baadhi ya mitandao inakumalizia data zako, na hii inaweza kusababishwa na kutofahamu kiwango cha data kinachotumika kwa matumizi ya kawaida mtandaoni.
Si rahisi kuweka makadirio ya moja...
Wasaalam wanajukwaa hili.
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,nimekuwa nikitumuia simu janja yangu ku-share internet na PC yangu kwa kutumia njia ya hotspot lakini cha kustaajabisha tangu jana nashangaa PC yangu hai-connect internet kama ilivyokuwa hapo awali. Tafaddhali mwenye kujua suluhisho...
Starlink ni hasa?
STARLINK ni mkusanyiko wa satellite za internet iliyobuniwa na kuwa chini ya mwanasayansi mashuhuli Elon Musk na timu yake ya SPACE X.
Mkusanyiko huo wa satellite za internet hufanya kazi kwa kushirikiana toka satellite moja had nyingine ili kutuma mawimbi ya mtandao huku...
Tuwekane sawa, ukiwa unatumia simu ya mkononi ndani mwako, na radi zinapiga nje, hata uweke 4g radi haidhuru simu. Radi haipiti katika mawimbi ya simu (radio waves). Radi ni umeme, hivyo husafiri sehemu zipitishazo umeme tu. Jiachie na internet ukiwa ndani ya nyumba yako, ila simu isiwe charging tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.